Napendekeza iundwe Tume Huru ya kuchunguza kifo cha Hayati Magufuli

Kitu kizuri nilichokipenda kutoka kwa Magufuli ni Kushift upepo wa siasa ndani ya CCM ambazo ziliegemea zaidi majina ya Wanasiasa wa zamani na watoto wao.

By the way,Magufuli alizidiwa kete na mbaya zaidi alikiwa hana exposure kubwa ya mambo-wahuni wakamchezea keusi kekundu.

Maana sote tunatambua Nchi ni Rais na Katibu Mkuu Kiongozi-so,kwa akili za kawaida sio rahisi hao watu wawili wote wafariki kwa kupishana mwezi 1.Alianza kijazi 17 February,2021 kisha Magufuli 17 March,2021-hivi sio vifo vya kawaida lazima kuna watu katika hilo.

Ila ndio mchezo wa siasa duniani kote,ni either uwawahi maadui zako au wakuwahi.
 
🀝
 
Kama Jiwe alivyotaka kumuwahi Lissu akafeli
 
Maadui wa Magufuli si walikuwa Chadema! Ndio waliomuua??
 

Kabla ya huo uchunguzi ,tuanze na uchunguzi wa:-

1. Kuuwawa kwa Ben saanane
2.Kuuwawa kwa Azory Gwanda
3.Kuuwawa kwa Kanguye
4.Kuuwawa kwa Rujwabe
5.Kupigwa Lissu Risasi.
 
,,,Huna mda mchfu we na nani, eti uvae barakoa huy mama yako mwenyewe umemuona anavo vaa barakoa ?,,, ni mpumbavu
Chapa kazi na uvae barakoa kama una changamoto za kiafya, ukileta ujuaji yatakukuta ya Jiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…