Vp kuhusu waliompiga Lissu risasi? Maana Jiwe alikataa uchunguzi kufanyika then leo ndiyo tufanye uchunguzi juu ya kifo chakeNashukuru Watanzania wameshtuka na kuhoji. Ni swala la kimsingi kikatiba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vp kuhusu waliompiga Lissu risasi? Maana Jiwe alikataa uchunguzi kufanyika then leo ndiyo tufanye uchunguzi juu ya kifo chakeNashukuru Watanzania wameshtuka na kuhoji. Ni swala la kimsingi kikatiba.
Kama anazingua itakuwa hivyoSasa itakuwa zamu ya delila kuliwa
Si hatujui sisi tunachojua tulikuwa na umeme na maji.Kwani yeye aliua wangapi?
Wananchi au nyie Sukuma gang?Delila anafahamu kilichotokea na uchaguzi mkuu 2025 wananchi wanahitaji majibu ya kifo cha JPM
Wapiga kuraWananchi au nyie Sukuma gang?
Tafuta pesa uone kama hilo la umeme na maji litakuwa tatizo kwako. Pole sukuma gangSi hatujui sisi tunachojua tulikuwa na umeme na maji.
🤝Kitu kizuri nilichokipenda kutoka kwa Magufuli ni Kushift upepo wa siasa ndani ya CCM ambazo ziliegemea zaidi majina ya Wanasiasa wa zamani na watoto wao.
By the way,Magufuli alizidiwa kete na mbaya zaidi alikiwa hana exposure kubwa ya mambo-wahuni wakamchezea keusi kekundu.
Maana sote tunatambua Nchi ni Rais na Katibu Mkuu Kiongozi-so,kwa akili za kawaida sio rahisi hao watu wawili wote wafariki kwa kupishana mwezi 1.Alianza kijazi 17 February,2021 kisha Magufuli 17 March,2021-hivi sio vifo vya kawaida lazima kuna watu katika hilo.
Ila ndio mchezo wa siasa duniani kote,ni either uwawahi maadui zako au wakuwahi.
Wajaribu waone.....Wataapigwa kipigo cha nguruwe poriTETESI: Kanda ya ziwa inaandaa maandamano ya amani ya kuomba kuundwa kwa tume huru ya kuchunguza kifo cha JaPM
Acha kuwasingizia wapiga kura, kura zao ziliibiwa kumbuka hili piaWapiga kura
Kutafuta pesa sawa lakini kuleta umeme na maji alikuwa analeta Jiwe.Tafuta pesa uone kama hilo la umeme na maji litakuwa tatizo kwako. Pole sukuma gang
Kama Jiwe alivyotaka kumuwahi Lissu akafeliKitu kizuri nilichokipenda kutoka kwa Magufuli ni Kushift upepo wa siasa ndani ya CCM ambazo ziliegemea zaidi majina ya Wanasiasa wa zamani na watoto wao.
By the way,Magufuli alizidiwa kete na mbaya zaidi alikiwa hana exposure kubwa ya mambo-wahuni wakamchezea keusi kekundu.
Maana sote tunatambua Nchi ni Rais na Katibu Mkuu Kiongozi-so,kwa akili za kawaida sio rahisi hao watu wawili wote wafariki kwa kupishana mwezi 1.Alianza kijazi 17 February,2021 kisha Magufuli 17 March,2021-hivi sio vifo vya kawaida lazima kuna watu katika hilo.
Ila ndio mchezo wa siasa duniani kote,ni either uwawahi maadui zako au wakuwahi.
Maadui wa Magufuli si walikuwa Chadema! Ndio waliomuua??Kitu kizuri nilichokipenda kutoka kwa Magufuli ni Kushift upepo wa siasa ndani ya CCM ambazo ziliegemea zaidi majina ya Wanasiasa wa zamani na watoto wao.
By the way,Magufuli alizidiwa kete na mbaya zaidi alikiwa hana exposure kubwa ya mambo-wahuni wakamchezea keusi kekundu.
Maana sote tunatambua Nchi ni Rais na Katibu Mkuu Kiongozi-so,kwa akili za kawaida sio rahisi hao watu wawili wote wafariki kwa kupishana mwezi 1.Alianza kijazi 17 February,2021 kisha Magufuli 17 March,2021-hivi sio vifo vya kawaida lazima kuna watu katika hilo.
Ila ndio mchezo wa siasa duniani kote,ni either uwawahi maadui zako au wakuwahi.
Nimecheka kwa nguvuuuu sanaKama ni kweli kuna aliyemuua huyo muuaji apewe tuzo ya heshima
Delila anafahamu kilichotokea na uchaguzi mkuu 2025 wananchi wanahitaji majibu ya kifo cha JPM
Kwa kadri mambo yanavyoenda nashauri uwepo uchunguzi huru. Inawezekana tukawa tunamchukia Magufuli lakini tukiacha wawepo watu ambao wanaweza muondoa Rais madarakani kwa njia hiyo.
Basi tufahamu hatupo salama na hatutakuwa salama. Leo hii tunaweza furahi au kasirika lakini tuangalie siku zijazo. Nadhani ili watu wawe na amani inapaswa kuwepo Tume Huru ya mchanganyiko, watu ithibitishe kilichomuua Dr. Magufuli ni nini, kisha maisha yaendelee.
Lakini tuangalie sana ikiwa kunaweza kukawa na jamii fulani inataka watu wake tu ndiyo watawale, basi tusijedhani tutakuja kuwa salama au kuendelea nchini. Haijalishi dini na kabila zetu, haijalishi vyama vyetu.
Hizi ramli chonganishi zenu zitafanya mtu atumbuliwe soon.
Chapa kazi na uvae barakoa kama una changamoto za kiafya, ukileta ujuaji yatakukuta ya Jiwe,,,Huna mda mchfu we na nani, eti uvae barakoa huy mama yako mwenyewe umemuona anavo vaa barakoa ?,,, ni mpumbavu
Wewe andika unachojisikia kwasababu tecno ni yako hata kama uliongwa.Tumeishaamua uchunguzi ni lazima.Chato ardhi bado ni kubwa mnaweza kuzikwa nae wote makajenga empire yenu huko kuzimu