Napendekeza iundwe Tume Huru ya kuchunguza kifo cha Hayati Magufuli

Mtu anatumia moyo wa plastic miaka yote alafu ushangae akifariki? Tuacheni mahaba ya kisiasa, maadam wapinzani tukisema anaumwa mkatukejeli na kutuita wachawi then endeleeni na msimamo huo huo hatutaki unafiki
 
Point yake ni kwamba leo tutaona ni sawa tu kwa sababu ni Magufuli ila kesho mfano rais ni mwengine halafu watu kwa sababu zao binafsi wakaamua kurudia kumuondoa madarakani rais wa wakati huo kwa njia ile ile ya kwa Maguful
Kama rais ameingia madarakani kwa kura halali tutahoji, sio kwa rais aliyekuwa madarakani kwa kunajisi uchaguzi.
 
ishia hapo hapo inatosha jiangalie na maoni yako mambo ya Mungu hayachunguziki
 
Point yake ni kwamba leo tutaona ni sawa tu kwa sababu ni Magufuli ila kesho mfano rais ni mwengine halafu watu kwa sababu zao binafsi wakaamua kurudia kumuondoa madarakani rais wa wakati huo kwa njia ile ile ya kwa Magufuli.
Sawa tu yeyote anayeua akiuliwa poa tu
 
Wameanzia kwake yeyeote atakayefuata mfano wake lazima yamkute ya kumkuta
 
Magufulu planted the seeds of his own destruction. Ikiwa kama aliondoshwa kama conspiracy theorists mnavyosema, tambueni kwamba hiyo ni kwasababu alitengeneza maadui wengi kwasababu ya kuwa na ego.

Hizo ndo kanuni za maisha tangu dunia iumbwe. Watu waliumizwa sana na utawala wa Magufuli halafu mbaya zaidi akaiba uchaguzi mchana kweupe.

Yaani upore haki ya mamilioni ya watu mpaka sasahiv nchi inateseka imepata wabunge viazi... Magufuli aliharibu mwenyewe.. Mimi binafsi sina interest zozote na kutaka uchunguzi wa kifo chake.
 
Pia uwepo uchunguzi wa Mambo haya hapa 👇
 

Attachments

  • Fi40J.jpeg
    95.5 KB · Views: 4
Foul play or not, just glad the mf is gone. Far as I'm concerned, they can take the current one too, and the next.
 
Kama rais ameingia madarakani kwa kura halali tutahoji, sio kwa rais aliyekuwa madarakani kwa kunajisi uchaguzi.
Hiyo ni hoja nyengine kabisa, Magufuli alitambulika kuwa ni rais wa Tanzania sasa hayo ya kura halali au si halali ni mada nyengine na ndio maana kumekuwa na kilio cha tume huru.
 
Hiyo ni hoja nyengine kabisa, Magufuli alitambulika kuwa ni rais wa Tanzania sasa hayo ya kura halali au si halali ni mada nyengine na ndio maana kumekuwa na kilio cha tume huru.

Hata wanaopindua nchi huitwa marais.
 
Kuna ile mada ya ugomvi wa watoto wa mjini na bush.
 
Hata mbuyu ulianza kama mchicha. Kazi ndiyo imeshaanza hivyo
Hiyo kazi imeanzishwa na nani na kwa maslahi yapi? Kama ccm wenyewe ndio waliyofanya hiyo kazi bado utategemea ccm tujiondoa wenyewe madarakani?
 
Pumbavu kabisa. Nyie mnawaza Uchaguzi wakati watanzania wapo kwenye kipindi kigum cha Adha lukuki nyie mnawaza uchaguzi.

Huu ndio ujinga unaofanya watanzania bado wasiviamini vyama vya upinzani.

Badala ya kuwasemea watanzania juu ya hali iliyopo sasa nyie MNA weka ujinga wenu wakuwaza uchaguzi.
 
Hata wanaopindua nchi huitwa marais.
Ndio narudia kusema kwamba hoja yako ni mada nyengine kabisa, watu wanataka tume huru na katiba mpya ili kuondoa chanzo cha tatizo la kura zisizo halali ila wewe unaona tatizo ilikuwa ni Magufuli tu ndio umeshikilia?
 
Kiporo cha ugali maharage kinakusumbua
 
Ndio narudia kusema kwamba hoja yako ni mada nyengine kabisa, watu wanataka tume huru na katiba mpya ili kuondoa chanzo cha tatizo la kura zisizo halali ila wewe unaona tatizo ilikuwa ni Magufuli tu ndio umeshikilia?

Nimeshikilia Magufuli maana ndio wanataka kifo chake kichunguzwe, wakati yeye alipokuwa madarakani alikuwa anazuia kitendo hicho kwa wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…