Napendekeza iundwe Tume Huru ya kuchunguza kifo cha Hayati Magufuli

Unda wewe na mkeo.
Mbona nyerere,mkapa hamkuunda
 
Kura zao ni kiini macho tu. Tume ndio inaamua mshindi.
Kura sio ishu ccm Tangu 1977 inashinda kwa hongo

Ishu kampeni watapigaje? Sura za wananchi zipoje? Au unahisi ni kama za mitandaoni?

Unafikiri JIWE kwanini kampeni maeneo ya Tunduma hakwenda? Yaliyofanywa kusini Kule ndicho kilichosababisha hata moja mmoja wapo kutokanyaga kpnd chake cha kampeni.
 
Binadamu aliezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi ni miaka 60, akiwa na nguvu ni miaka 70 sasa mnataka aishi miaka mingapi? Kuna wanaozaliwa na kufa sasa hawa nao tuunde tume au?
 
Fanya uchunguzi mwenyewe tunasubiri ripoti yako kisha upeleke watu mahakamani, wenzio tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea balaa hilo na sasa Kazi inaendelea!

Sent from my itel A32F using JamiiForums mobile app
 
Hayat! Hayat!
 
Embu tulieni mtasababisha afufuke.
 
Jee ni Kipaumbele cha Taifa kwa sasa??
 
Hivi ni lini Wasukuma mtakubaliana na amri ya Mungu kuwa kila nafsi itaonja mauti? Maana sijawahi kuona msukuma anakufa na familia/ndugu zake wakaridhika kuwa ni kifo cha kawaida, lazima watafute sababu hata kama ni mzee wa miaka 100
 
Fanya uchunguzi mwenyewe tunasubiri ripoti yako kisha upeleke watu mahakamani, wenzio tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea balaa hilo na sasa Kazi inaendelea!

Sent from my itel A32F using JamiiForums mobile app
Naunga hoja, uchunguzi wa nini? Maana akitokea jeuri mwingine watu wataogopa kumsepesha sababu ya uchunguzi. Kazi iendelee!
 
Mie hata sikuelewagi comments zako most of the time..bye
 
What the heartless dictator did to country's opposition leader Mr Lissu is beyond human imagination leave alone explanation .The despot ruled Tanzania with an iron fist , crashed opposition, muzzled media , killed critics ,stole the election despite that he created a political tantrum
 
Hivi ni lini Wasukuma mtakubaliana na amri ya Mungu kuwa kila nafsi itaonja mauti? Maana sijawahi kuona msukuma anakufa na familia/ndugu zake wakaridhika kuwa ni kifo cha kawaida, lazima watafute sababu hata kama ni mzee wa miaka 100
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Amekufa, amekufa, amekufa! deal with it? Hivi wewe na akili zako zote umeona ni namna gani rais magu alivyokuwa akilindwa? Unadhani ni nani angeliweza kujaribu kumuua mbele ya halaiki yote pale? Na kama lile lilikuwa jaribio la kumuua, ni kwa nini yeye mwenyewe hakusema lolote baada ya tukio? Na hata kama kauliwa wewe unadhani mbali ya walio karibu nae ni nani anaweza kufanikiwa kumuua? jawabu ni kuwa hakuna. Kwa hiyo unataka serikali ijichunguze yenyewe kwa kumuua magu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…