Napendekeza iundwe Tume Huru ya kuchunguza kifo cha Hayati Magufuli

Katika bibilia kumbukumbu ya torati imeandikwa uhai ya mtu italipwa kwa uhai. Hebu fikiria Ben saanane yuko wapi? Hivi azory gwanda angelikua ni ndugu yako ungesimama na kuandika Haya. Fikiria Tundu Lisu kapata ulemavu Wa maisha na mpaka Leo hatujui ni nani mhusika. Sikupenda magifuli afe ila hizi roho na nafsi za watu honesty lazima tufirie upya.
Nasema uongo ndugu zangu?
 
Aliyekufa kafa, kama wamemuua, kiimani tunawaita hao ni wasababishaji wa umauti wake tu, kama muda wake ungekuwa bado angevuka na hilo..

Km walimuua(kumdhulumu nafsi) watakutana kwa mungu uso kwa macho.. Ile Tit fo tat
 
Unatafutwa na polisi huku.

Keshapagawa hajui kama utawala umebadilika watanzania wanarudi kuwa pamoja
 
WAPO watakao amin mimi binafs ningependa kupata hata kidogo dokezo la chanzo cha ule mosh
Yeye aliugua sio? Na inajulikana aliugua nini. Madaktari wake na hata mke anajua. Familia haijallmika
Halafu japo aliugua hatukujulishwa ikawa minong'ono na sasa inaendelea tena eti aliuawa.
Jamani tuchape kazi na kazi si kufukua makaburi
 
Kuna silaha zina attack mwenye Mapungufu
Sio kwamba alikua anatembea na nyungu kwenye v8.
Akifika sehem ya kuonyea na watu ili apate nguvu anafusha kwanza.
Bila kujua anajibana punzi kwanza!?
 
Habar watanzania lengo langu la kuanzisha huu uzi si kwa Nia Mbaya ila nikutaka tu Kumaliza Maswali ya Watanzania wengi wanao shuku kua Hayat kafanyiwa hujuma.

Baada ya kuona mambo mengi Yanayo endelea kwenye mitandao ya kijamii na mitaani. ni wazi kabisa Baadh ya watanzania walio wengi Wana shuku kifo cha Hayat Magufuli na kudhan kua kifo chake kina Hujuma.

Serikal iheshimu mawazo ya watanzania tunao tilia shaka kifo cha Rais wetu na izingatie kwa kuunda Tume huru ya uchunguzi.

Mimi Binafsi nikikumbuka Tukio la ule Moshi uliomfata Hayat Magufuli Mtwara alipokua kwenye Gari bila kujulikana wapi umetokea na kuzua Taharuki nazid kua na mashaka kua Huenda zile zilikua baadhi ya mbinu za kutaka kujaribu na zilishindwa Lakini waliojaribu hawakuacha.

Pia wasiwas wetu unakua mwingi baada ya Habari kua nyingi za magufuli kafarik kabla hata ya serikal kutangaza huku picha za Gar la mait ambalo lilibeba mwili kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii

Kwanini Kina Tundulisu na kigogo walikua wanapata taarifa na walikua na uhakika kabisa kua mzee lazima afe na asipo na wengine kusema kabisa mzee kafa

Kwanini kifo chake walikitangaza Adui zake uku wakisherekea ushind

Kwanini kabla Magufuli yupo Hai viongoz walianguka kama kuku Tena wa karibu yake ila baada ya yeye kufa Hamna kiongoz hata mmoja alie kufa?

Huwezi kusema ule ulikua uchawi sababu hakuna uchawi na wala siamini uchawi kama upo.

Sasa ili kujiridhisha Basi serikal ifanye uchunguzi na uchunguzi uwe wa wazi ili kufuta hii shauku ya Baadhi ya watu kwani ikiendelea ivi na serikal kukaa kimia huwezi jua Baadaye itakua na madhara gani pia huto jua maadui baadae wanaweza kuutumia huu uvumi kama silaha so nibora serikal ilimalize kwanza ili swala kwani kila siku mambo yanazid kupamba moto.

Video ya tukio la moshi hio apo chini.

Kwan daktari alishasema kifo chache kimetokana na mfumo wa umeme wa moyo? Au hukusikia mkuu
 
Rais Samia alishasema wazi mwenye ushahid wowote juu ya hayo aende apeleke sehem husika waufanyie kaz.
Habar watanzania lengo langu la kuanzisha huu uzi si kwa Nia Mbaya ila nikutaka tu Kumaliza Maswali ya Watanzania wengi wanao shuku kua Hayat kafanyiwa hujuma.

Baada ya kuona mambo mengi Yanayo endelea kwenye mitandao ya kijamii na mitaani. ni wazi kabisa Baadh ya watanzania walio wengi Wana shuku kifo cha Hayat Magufuli na kudhan kua kifo chake kina Hujuma.

Serikal iheshimu mawazo ya watanzania tunao tilia shaka kifo cha Rais wetu na izingatie kwa kuunda Tume huru ya uchunguzi.

Mimi Binafsi nikikumbuka Tukio la ule Moshi uliomfata Hayat Magufuli Mtwara alipokua kwenye Gari bila kujulikana wapi umetokea na kuzua Taharuki nazid kua na mashaka kua Huenda zile zilikua baadhi ya mbinu za kutaka kujaribu na zilishindwa Lakini waliojaribu hawakuacha.

Pia wasiwas wetu unakua mwingi baada ya Habari kua nyingi za magufuli kafarik kabla hata ya serikal kutangaza huku picha za Gar la mait ambalo lilibeba mwili kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii

Kwanini Kina Tundulisu na kigogo walikua wanapata taarifa na walikua na uhakika kabisa kua mzee lazima afe na asipo na wengine kusema kabisa mzee kafa

Kwanini kifo chake walikitangaza Adui zake uku wakisherekea ushind

Kwanini kabla Magufuli yupo Hai viongoz walianguka kama kuku Tena wa karibu yake ila baada ya yeye kufa Hamna kiongoz hata mmoja alie kufa?

Huwezi kusema ule ulikua uchawi sababu hakuna uchawi na wala siamini uchawi kama upo.

Sasa ili kujiridhisha Basi serikal ifanye uchunguzi na uchunguzi uwe wa wazi ili kufuta hii shauku ya Baadhi ya watu kwani ikiendelea ivi na serikal kukaa kimia huwezi jua Baadaye itakua na madhara gani pia huto jua maadui baadae wanaweza kuutumia huu uvumi kama silaha so nibora serikal ilimalize kwanza ili swala kwani kila siku mambo yanazid kupamba moto.

Video ya tukio la moshi hio apo chini.

Ushaambia na anayetakiwa kuunda tume kuwa ni kifo cha kawaida ila kichwa kimejaa propaganda. Kama sheria ipo anzisha ww hiyo tume.
Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Unachoandika hata sikuelewi. Make naanza kujiuliza ni muelewa kweli? Hivi tume inaanzishwa au inaundwa? Na unajua watu wenye mamlaka wenye kuunda tume? Nisiwe najibizana na mtu ambae hata aelewi taratibu mbalimbali za kimfumo.
Naona unajibu tu kujifurahisha. Sijaona point unayoiongea. Bali upo kujibishana lolote linalokuijia unaliandika.
Niseme umeshinda kwa mawazo yako yasiyo ya kisheria bali unavyowaza tu unakisema.
Wewe ndo kichwa chako kimejaa propanganda. Sioni ukijibu hoja kwa taratibu na sheria ila unajibu tu mradi umejibu. (Kuropoka).
Hongera! Ila madai yatume yataendelea siku zote.
 
Habar watanzania lengo langu la kuanzisha huu uzi si kwa Nia Mbaya ila nikutaka tu Kumaliza Maswali ya Watanzania wengi wanao shuku kua Hayat kafanyiwa hujuma.

Baada ya kuona mambo mengi Yanayo endelea kwenye mitandao ya kijamii na mitaani. ni wazi kabisa Baadh ya watanzania walio wengi Wana shuku kifo cha Hayat Magufuli na kudhan kua kifo chake kina Hujuma.

Serikal iheshimu mawazo ya watanzania tunao tilia shaka kifo cha Rais wetu na izingatie kwa kuunda Tume huru ya uchunguzi.

Mimi Binafsi nikikumbuka Tukio la ule Moshi uliomfata Hayat Magufuli Mtwara alipokua kwenye Gari bila kujulikana wapi umetokea na kuzua Taharuki nazid kua na mashaka kua Huenda zile zilikua baadhi ya mbinu za kutaka kujaribu na zilishindwa Lakini waliojaribu hawakuacha.

Pia wasiwas wetu unakua mwingi baada ya Habari kua nyingi za magufuli kafarik kabla hata ya serikal kutangaza huku picha za Gar la mait ambalo lilibeba mwili kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii

Kwanini Kina Tundulisu na kigogo walikua wanapata taarifa na walikua na uhakika kabisa kua mzee lazima afe na asipo na wengine kusema kabisa mzee kafa

Kwanini kifo chake walikitangaza Adui zake uku wakisherekea ushind

Kwanini kabla Magufuli yupo Hai viongoz walianguka kama kuku Tena wa karibu yake ila baada ya yeye kufa Hamna kiongoz hata mmoja alie kufa?

Huwezi kusema ule ulikua uchawi sababu hakuna uchawi na wala siamini uchawi kama upo.

Sasa ili kujiridhisha Basi serikal ifanye uchunguzi na uchunguzi uwe wa wazi ili kufuta hii shauku ya Baadhi ya watu kwani ikiendelea ivi na serikal kukaa kimia huwezi jua Baadaye itakua na madhara gani pia huto jua maadui baadae wanaweza kuutumia huu uvumi kama silaha so nibora serikal ilimalize kwanza ili swala kwani kila siku mambo yanazid kupamba moto.

Video ya tukio la moshi hio apo chini.

umerogwa ww si bure, tunataka tume huru kuchunguza waliotaka kumuuwa tundu lissu
 
Naunga mkono hoja. Lakini iundwe tume ya Kimataifa. La kwanza Ichungunguzwe waliompiga risasi Tundu Lissu, kwani inaelekea wako ha hai na sio ajabu iko siku wakakupiga wewe mwenyewe na baadae Kifo cha Magufuli
 
Mtaani JPM amefahamika kauwawa,

Mnakaa kwenye AC huku hamjui kinachoendelea sababu furaha yenu imepatkana mnasahau wananchi, sijui 2025 watawaangaliaje mtaani.
Mtaani watafanyaje sasa? Wataandamana? Hata hiyo 2025 watafanyaje? Watachagua chama gani?
 
Kuna wakati niliandika uzi kuhusu serikali kuweka wazi kuhusu kifo cha Magufuli na si kutupaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Uzi haukumaliza dakika hata moja ulifutwa. Sielewi kwanini. Nitasema hata tufiche ukweli ipo siku ukweli utajulikana.

Tumejenga utamaduni kwa kuwa kimya watu hawataki kuhoji. Ukihoji ni matusi. Lakini serikali ikiruhusu uchunguzi itasaidia kuondoa hayo yanayosemwa.
Mhe. Rais, alikataza kusiwe na uvumi bali watu wenye ushahidi wapeleke la sivyo hatua kali za kisheria zitachukuliwa.

Ni majuzi tu yule mwanaharakati Msiba alitamka wazi kuwa Magufuli aliuliwa. Mbona serikali ipo kimya haija mhoji msiba atoe ushahidi kuhusu tuhuma za Magufuli kuuwawa. Rais Samia anasema madaktari walitoa taarifa kafa kwa ugonjwa wa moyo, hivyo tusihoji kwa kua madaktari wamesema.

Rais anatufunga mdomo. Kwani mara ngapi madaktari udai mtu kafa kwa hiki, lakini uchunguzi ukifanyika unakuta ni tofauti. Mfano Yasin Arafat taarifa ya madaktari ilikuja kutofautiana na uchunguzi ulofanyika. Ikaonekana aliuwawa kwa sumu.

Nachojiuliza ni kwanin serikali ilificha kuumwa kwa Magufuli, na hata siku alokufa inadaiwa si hiyo. Haya yalisemwa wazi na Tundu Lissu pamoja na Lema.
Wakishirikiana na vyombo vya habari vya Kenya. Lissu katika twiter aliongea magufuli tayari kafa. Lakini vyombo vya ndani vilibaki kimya na serikali pia, ilificha.
Na viongozi walikanusha hasa Waziri Mkuu alidai Rais Magufuli alikuwa mzima na anachapa kazi. Baadae aliye kuwa mkuu wa mkoa Mbeya alisema kaongea na Rasi Magufuli yupo mzima anachapa kazi.

Makamu wa Rais akiwa ziarani Tanga, nae alisema Rais Magufuli hajambo na anawasalimia wananchi. Baadae akatoa kauli mtu ni kawaida kusumbuliwa na mafua ya hapa na pale.
Hii kauli ilileta utata!

Kesho yake Makamu wa Rais akatangaza msiba wa kitaifa. Kuwa Rais Magufuli kafariki.
Huu mtililiko unaleta mashaka na inaonesha serikali ilikuwa inaficha jambo. Kuanzia Rais Samia, Waziri Mkuu na alie kuwa RC Mbeya waombe masamaha kwa kupotosha jamii.

Pia serikali itueleze kwa nini Magufuli alikuwa anaumwa lakini ilifichwa. Wananchi walikosa haki ya kumuombea.
Haya yote yanafanya uhalali kuwa iundwe tume huru kuchunguza kifo cha Magufuli. Haya mambo ya kunyamazishana si haki. Kwanini serikali haitaki uchunguzi? Wakiguswa wanakuwa wakali?
Kunasiku watu watakwenda mahakamani kudai haki ya kuundwa tume huru kuchunguza kifo cha Magufuli.

Hatuwezi kuwa tunanyamaza wakati viongozi wa Taifa wanakufa, pasipo hata kujiridhisha?
Ifikie wakati kuwe na uchunguzi.
Rais Samia, leo watakupamba usifanye uchunguzi, lakini kikulacho siku zote ki nguoni mwako. Kuwa makini, usidhani kushabikiwa na kupigiwa makofi ndo kupendwa.
Huyo magufuli ndio nani mpaka afanyiwe uchunguzi yeye tu?

Hebu tuondoleeni uharo hapa.

Watanzania milioni 60 wanafurahia mtesi wao kufa wewe unaleta habari za uchunguzi
 
Habar watanzania lengo langu la kuanzisha huu uzi si kwa Nia Mbaya ila nikutaka tu Kumaliza Maswali ya Watanzania wengi wanao shuku kua Hayat kafanyiwa hujuma.

Baada ya kuona mambo mengi Yanayo endelea kwenye mitandao ya kijamii na mitaani. ni wazi kabisa Baadh ya watanzania walio wengi Wana shuku kifo cha Hayat Magufuli na kudhan kua kifo chake kina Hujuma.

Serikal iheshimu mawazo ya watanzania tunao tilia shaka kifo cha Rais wetu na izingatie kwa kuunda Tume huru ya uchunguzi.

Mimi Binafsi nikikumbuka Tukio la ule Moshi uliomfata Hayat Magufuli Mtwara alipokua kwenye Gari bila kujulikana wapi umetokea na kuzua Taharuki nazid kua na mashaka kua Huenda zile zilikua baadhi ya mbinu za kutaka kujaribu na zilishindwa Lakini waliojaribu hawakuacha.

Pia wasiwas wetu unakua mwingi baada ya Habari kua nyingi za magufuli kafarik kabla hata ya serikal kutangaza huku picha za Gar la mait ambalo lilibeba mwili kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii

Kwanini Kina Tundulisu na kigogo walikua wanapata taarifa na walikua na uhakika kabisa kua mzee lazima afe na asipo na wengine kusema kabisa mzee kafa

Kwanini kifo chake walikitangaza Adui zake uku wakisherekea ushind

Kwanini kabla Magufuli yupo Hai viongoz walianguka kama kuku Tena wa karibu yake ila baada ya yeye kufa Hamna kiongoz hata mmoja alie kufa?

Huwezi kusema ule ulikua uchawi sababu hakuna uchawi na wala siamini uchawi kama upo.

Sasa ili kujiridhisha Basi serikal ifanye uchunguzi na uchunguzi uwe wa wazi ili kufuta hii shauku ya Baadhi ya watu kwani ikiendelea ivi na serikal kukaa kimia huwezi jua Baadaye itakua na madhara gani pia huto jua maadui baadae wanaweza kuutumia huu uvumi kama silaha so nibora serikal ilimalize kwanza ili swala kwani kila siku mambo yanazid kupamba moto.

Video ya tukio la moshi hio apo chini.

Binafsi sikupenda response kuhusu kifo cha Hayati Magufuli.Hata kama tunasema alikufa kwa tatizo la mfumo wa umeme wa moyoo,hivi kweli hatujui kwamba this can be initiated by remote control,hasa kwa kuwa alikuwa anatumia Pacemaker.Besides, tatizo inawezekana lilitokana na other causes ambazo pia ni externally initiated.

No,nakubaliana na wewe mkuu,ila tunahitaji wataalamu wabobezi sana kwenye mifumo ya namna hii,it is simply too complicated kujua if the Pacemaker was tampered upon.
 
Back
Top Bottom