Shing Yui
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 15,168
- 38,049
Alikuwa ni zaidi ya adui! Natamani afufuke nimsulubu kama alivyosulubu wengine akishirikiana na genge lake la kihalifuNi mjinga tu asiyejua kwamba Magufuli alikuwa na maadui wengi wa ndani na nje.Na hata wewe,kwa maneno yako haya,ni wazi alikuwa adui yako.