King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Nop..ilipangwa vyema kabisa
Daaah hatari sana nilijua lilikuwa "Buyu" la kawaida kumbe "Mafioso" walifanya yao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nop..ilipangwa vyema kabisa
Kazi nzuri iliyotukuka maana ile simbilisi ilikuwa ovyo sanaKama alikufa natural death sawa,ila kama aliuawa aliyemuua alifanya kazi nzuri sana
Aliiletea dharau Corona nayo ikapita nayeKitu kizuri nilichokipenda kutoka kwa Magufuli ni Kushift upepo wa siasa ndani ya CCM ambazo ziliegemea zaidi majina ya Wanasiasa wa zamani na watoto wao.
By the way,Magufuli alizidiwa kete na mbaya zaidi alikiwa hana exposure kubwa ya mambo-wahuni wakamchezea keusi kekundu.
Maana sote tunatambua Nchi ni Rais na Katibu Mkuu Kiongozi-so,kwa akili za kawaida sio rahisi hao watu wawili wote wafariki kwa kupishana mwezi 1.Alianza kijazi 17 February,2021 kisha Magufuli 17 March,2021-hivi sio vifo vya kawaida lazima kuna watu katika hilo.
Ila ndio mchezo wa siasa duniani kote,ni either uwawahi maadui zako au wakuwahi.
Watapigwa kama ngoma hadi wachakaeWajaribu waone.....Wataapigwa kipigo cha nguruwe pori
Wajaribu waone..nipo nimekaa paleeeeDunia ya leo sio ya kutisha wananchi.Hao kanda ya ziwa wakiamua hakuna wa kulizima sema wameamua kupotezea tu.
Alikuwa mganga wa mvua?Kutafuta pesa sawa lakini kuleta umeme na maji alikuwa analeta Jiwe.
Ko Kwako umeme na maji ni Bora kuliko uhai wa watuSi hatujui sisi tunachojua tulikuwa na umeme na maji.
Wenyewe walishukuru ibilisi kurudi kuzimuDunia ya leo sio ya kutisha wananchi.Hao kanda ya ziwa wakiamua hakuna wa kulizima sema wameamua kupotezea tu.
Weka ushahidiNo ile haikua ajali, they just kill him
Kwanini tuanze na Lissu na si Ulimboka au mwengine yeyote?Naunga mkono hoja yako ila tuanze kwanza na uchunguzi wa waliompiga risasi Lissu
Point yake ni kwamba leo tutaona ni sawa tu kwa sababu ni Magufuli ila kesho mfano rais ni mwengine halafu watu kwa sababu zao binafsi wakaamua kurudia kumuondoa madarakani rais wa wakati huo kwa njia ile ile ya kwa Magufuli.Magufuli hakuwa muumini wa uchaguzi wa vifo au madhila ya wapinzani wake, sasa unataka watu wachunguze kifo chake ili iweje? Ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga fullstop.
Hayo aliongea yeye na huu uchunguzi wanaoungelea wengine."Lolote litakalonipata linipate kwa ajili ya watanzania" likampata halafu watu mnahoji
Tuanze kwanza na tume huru dhidi ya mashambulizi ya Tundu Lisu kwanzaKwa kadri mambo yanavyoenda nashauri uwepo uchunguzi huru. Inawezekana tukawa tunamchukia Magufuli lakini tukiacha wawepo watu ambao wanaweza muondoa Rais madarakani kwa njia hiyo.
Basi tufahamu hatupo salama na hatutakuwa salama. Leo hii tunaweza furahi au kasirika lakini tuangalie siku zijazo. Nadhani ili watu wawe na amani inapaswa kuwepo Tume Huru ya mchanganyiko, watu ithibitishe kilichomuua Dr. Magufuli ni nini, kisha maisha yaendelee.
Lakini tuangalie sana ikiwa kunaweza kukawa na jamii fulani inataka watu wake tu ndiyo watawale, basi tusijedhani tutakuja kuwa salama au kuendelea nchini. Haijalishi dini na kabila zetu, haijalishi vyama vyetu.
Utawala wa awamu hipi au rais yupi hakuwa ibilisi nchi hii au umezaliwa utawala wa Rais Magufuli ndo maana unaropoka tu.??Hivi unakumbuka watu waliofunikwa kwanye mashimo ya mgodi wa Bunyahuru kisa tu awataki kutoka,unakumbu watu walivyokula kichapo mtwara kisa tu wanadai gesi yao,unakumbuka kichapo zanzibar mpaka watu wakawa wakimbizi Mombasa kidongo chekundu,unakumbuku Dr Olimboka kilichokuta kisa tu mgomo wa madaktari,Unakumbuka mabomu Arusha kwenye mkutano wa Chadema.Sasa wewe endelea kuongelea Magufuri kwa maneno ya kinafiki kama hauna kichwa.Wenyewe walishukuru ibilisi kurudi kuzimu