Napendekeza Katiba ya CCM irekebishwe ili Dkt. Magufuli aendelee kuwa Mwenyekiti hadi atakapoamua kung'atuka kama Nyerere

84& zilitoka wapi bwashee kama siyo kwa wananchi?

Narudia tena, Magufuli hategemei kura yoyote ya mwananchi akiwa na madaraka, bali anaagiza tu anataka atangazwe kwa kura asilimia ngapi.
 
Hata Nyerere alikuwa binadamu bwashee!
 
Wenzio wanapima kina cha maji kwa kuingiza kijiti.....
ww unaingiza kalio?
 
Hao wananchi hawawezi kuamua mambo ya kitoto kama hilo, sema wanachama wa CCM ndio wataamua kuendelea na mwenyekiti wao au no.
Wanachama wa CCM ni wananchi wa Tanzania
 
Mwenyekiti wa chama bila kuwa na dola mkononi ni kujitafutia matatizo tu, kwa sababu mwenye dola anaweza kukupoteza fasta ukiingia kwenye anga zake
 

Peleka mapendekezo yako Chato. Jamii Forums inahusika vipi na mambo yenu ya chumbani? 😡
 
sasa si uwakilishe kwenye vikao rasmi vya chama? hapa unataka tukusaidie nini ambacho mumeo ameshindwa kukitekeleza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…