Napendekeza Katiba ya CCM irekebishwe ili Dkt. Magufuli aendelee kuwa Mwenyekiti hadi atakapoamua kung'atuka kama Nyerere

84& zilitoka wapi bwashee kama siyo kwa wananchi?

Narudia tena, Magufuli hategemei kura yoyote ya mwananchi akiwa na madaraka, bali anaagiza tu anataka atangazwe kwa kura asilimia ngapi.
 
Huwezi kubadilisha katiba ya ccm halafu ya nchi isiguswe. Wakati unajua wazi kuwa CCM imehodhi utawala wa nchi na chama hakiwezi kuwa na rais ambae sio mwenyekiti wa chama.

Lakini pia ujue huyo mwenyekiti anaepigiwa chapuo. Nae ni binadamu na uhai ni wa Mungu.

Jambo la akili ni kujenga mifumo mizuri imara ambayo inajisimamia hila kujali alokalia kiti ni nani.
Hata Nyerere alikuwa binadamu bwashee!
 
Wenzio wanapima kina cha maji kwa kuingiza kijiti.....
ww unaingiza kalio?
 
Hao wananchi hawawezi kuamua mambo ya kitoto kama hilo, sema wanachama wa CCM ndio wataamua kuendelea na mwenyekiti wao au no.
Wanachama wa CCM ni wananchi wa Tanzania
 
Mwenyekiti wa chama bila kuwa na dola mkononi ni kujitafutia matatizo tu, kwa sababu mwenye dola anaweza kukupoteza fasta ukiingia kwenye anga zake
 
CCM ni chama dola.

CCM ni chama tawala wala hilo halina ubishi.

CCM ni chama mbeba maono wa taifa hili la Tanzania.

Dr Magufuli ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM na Rais wa nchi yetu ameonyesha uwezo mkubwa sana katika kusimamia misingi ya chama na uzalendo kwa ujumla.

Kwa mageuzi makubwa anayoendelea kuyafanya ndani ya chama ambayo yameonyesha ufanisi mkubwa kwa maendeleo ya taifa, napendekeza katiba ya CCM ifanyiwe marekebisho ili nafasi ya mwenyekiti isiwe na ukomo.

Hii itatoa fursa kwa mwenyekiti Magufuli kuendelea na uongozi hadi atakapoamua kung'atuka kama alivyofanya baba wa taifa Mwalimu Nyerere.

Maendeleo hayana vyama!

Peleka mapendekezo yako Chato. Jamii Forums inahusika vipi na mambo yenu ya chumbani? 😡
 
CCM ni chama dola.

CCM ni chama tawala wala hilo halina ubishi.

CCM ni chama mbeba maono wa taifa hili la Tanzania.

Dr Magufuli ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM na Rais wa nchi yetu ameonyesha uwezo mkubwa sana katika kusimamia misingi ya chama na uzalendo kwa ujumla.

Kwa mageuzi makubwa anayoendelea kuyafanya ndani ya chama ambayo yameonyesha ufanisi mkubwa kwa maendeleo ya taifa, napendekeza katiba ya CCM ifanyiwe marekebisho ili nafasi ya mwenyekiti isiwe na ukomo.

Hii itatoa fursa kwa mwenyekiti Magufuli kuendelea na uongozi hadi atakapoamua kung'atuka kama alivyofanya baba wa taifa Mwalimu Nyerere.

Maendeleo hayana vyama!
sasa si uwakilishe kwenye vikao rasmi vya chama? hapa unataka tukusaidie nini ambacho mumeo ameshindwa kukitekeleza?
 
Back
Top Bottom