Sensa naifahamu vizuri, sikatai kwamba ni nyeti, ila wajumbe wa nyumba 10 wanazifahamu zaidi nyumba zao kuliko mtu mwingine yeyote, wanawafahamu vizuri hata watu wanaoishi, na pengine anazo namba za simu za watu wote walio chini ya nyumba zake 10. Ni rahisi zaidi yeye akakaribishwa hata sebuleni, akajaza fomu huku wakicheka na kunywa chai na wenyeji, huku wakipeana story za ugomvi wa khadija na Jesca jana yake, zoezi hili litaenda vizuri sana kwa kutumia wajumbe. We tulia hivyo hivyo, majibu yake mtayapata jumatatu ijayo.
Ingekuwa mimi ndiye nina mamlaka, hizo pesa ningezipiga by 20% ,kisha naenda kuziweka kwanza mahali, halafu 20% nawapa wajumbe wa nyumba 10 , 60% inayobaki ningezipeleke kwenye ujenzi wa ma-flyover jiji kote la Dar.