Napendekeza kazi za kuhesabu idadi ya watu (Sensa 2022) ifanywe na wajumbe wa nyumba 10 , pesa zitakazookolewa zikajenge flyover TAZARA

Hivi we jamaa unaniandikia mimi risala ndefu namna hii maana yake nini sasa, kwani huwezi ku-summarize hoja zako ukaeleweka, unaleta ngonjera hapa. Anyway, ngoja na mimi nakuandalia essay, tulia hapo hapo, now niko busy.
 
Mtu asiyejua kusoma wala kuandika hawezi kupewa ujumbe, hii kali sasa. Kama hii ni kweli, afisa mtendaji na mwenyekiti watawajibika kumjazia fomu zake, maana wao ndio walifanya uhuni wa kumpa ujumbe.
Unashangaa hilo la kutojua kusoma na kuandika kwa mjumbe wa nyumba kumi!!!
Bungeni wanatakiwa wawe na sifa ya kujua kusoma na kuandika tu,yaani K 2,lakini wapo wabunge wasio na hizo K 2.
 
Unashangaa hilo la kutojua kusoma na kuandika kwa mjumbe wa nyumba kumi!!!
Bungeni wanatakiwa wawe na sifa ya kujua kusoma na kuandika tu,yaani K 2,lakini wapo wabunge wasio na hizo K 2.
Mbunge asiejua K2? Mtaje mmoja
 
Nakupinga vikali mno mana nakumbuka kuna mjumbe fulani kule kitaa alikuwa ajui kusoma wala kuandika ulikuwa ukienda kupata huduma ya uthibitisho wa mtaa anakwambia chukua karatasi na kalamu andika aya maneno hapo ukimaliza unamtoa chochote kitu, embu nambie sasa kwa staili hii hawa wajumbe wa nyumba 10 wanaweza kukidhi maitaji kweli kwenye kuesabu watu
 
Wewe unaleta story za kufikirika, unajitungia tu...
 
umeanza kuleta roho mbaya ya kimagufuli acha watu wakapige pesa.
 
Hivi we jamaa unaniandikia mimi risala ndefu namna hii maana yake nini sasa, kwani huwezi ku-summarize hoja zako ukaeleweka, unaleta ngonjera hapa. Anyway, ngoja na mimi nakuandalia essay, tulia hapo hapo, now niko busy.
[emoji23]
 
Kabla ya yote, kwani mimi napata faida gani kuandika maelezo mengi? Au nikipuuza nikaacha kujibu maswali yako nitapungukiwa nini?
 
Siasa ilipoingia kwenye taaluma iliaminisha watu kwamba ikijengwa flyover ya upande mmoja airport kuelekea city center eti foleni zingepungua,wamefanikiwa kupunguza za huko inakoelekea tu,lakini barabara inayotoka ubungo kuepekea bandarini ni kama foleni zimezidi kuliko ilivyokuwa awali.
 
Hivi we jamaa unaniandikia mimi risala ndefu namna hii maana yake nini sasa, kwani huwezi ku-summarize hoja zako ukaeleweka, unaleta ngonjera hapa. Anyway, ngoja na mimi nakuandalia essay, tulia hapo hapo, now niko busy.
Kwani awali nilipokuwa naandika kwa muhtasari kilichokuwa kinakufanya ushindwe kunielewa ni nini? Maswali yako yalijengeka katika misingi eidha ya kutonielewa au kutokujua mambo machache muhimu yahusuyo tasnia ya statistics/demography/population. Baada ya kuona hivyo ilinilazimu kuongeza maelezo ili kujaribu kukujengea uelewa mwepesi kwa kuvigusia vipengele vyote vya muhimu kwenye maswali yako. Hiyo ndo maana iliyo nyuma ya huo uandishi ambayo wewe umeuita risala na ngonjera
 
Hivi we jamaa unaniandikia mimi risala ndefu namna hii maana yake nini sasa, kwani huwezi ku-summarize hoja zako ukaeleweka, unaleta ngonjera hapa. Anyway, ngoja na mimi nakuandalia essay, tulia hapo hapo, now niko busy.
Sawa Mjumbe, nasubiri hiyo imla, ZINGATIA: Ni vema hoja zako zitajikita kwenye fani husika na siyo siasa na maoni hewa yasiyo na msingi egemezi

Kwenye fani ya takwimu kuna kauli mbiu mashuhuri isemayo pasina takwimu/data huna haki ya kuzungumza, kunielewa nilichomaanisha hapo kunalazimu ujue maana ya Statistics "singular/plural"

Fani: Population, Demography, Statistics, Economics, Planning, Tehama
 
Pamoja na nia yako nzuri ya kuokoa fedha tatizo ninaloliona kwa hawa mabalozi ni kwamba kwanza kuna jamii ambazo hawapendi kuhesabiwa hivyo wako tayari wahonge ili iandikwe watoto 2 badala ya 7. Pia kuna issues za wahamiaji haramu mipakani wataingizwa kirahisi na mabalozi kuvuta mpunga.
 
Hivi we jamaa unaniandikia mimi risala ndefu namna hii maana yake nini sasa, kwani huwezi ku-summarize hoja zako ukaeleweka, unaleta ngonjera hapa. Anyway, ngoja na mimi nakuandalia essay, tulia hapo hapo, now niko busy.
Wajibu wako ni kujenga hoja kielimu na si kulazimisha watu wafuate maoni yako hata kama yatakuwa yana tija au hayana. Ni busara kuheshimu maoni ya watu hata kama yatakuwa yanakinzana na yako
 
Ficha ujinga wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…