TANZANIAN NINJA
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 456
- 534
naachaje pesa mzee mwenzanguSijaomba, we umeomba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naachaje pesa mzee mwenzanguSijaomba, we umeomba?
Kwa nini fedha hizo zisijenge barabara ya makete yadi mbeya kupitia tukuyuKwa kupitia serikali za mitaa / vijiji (local government) , wajumbe wa nyumba 10 wapewe fomu za sensa na wapite kwenye nyumba zilizochini yao, wapewe wiki moja tu wawe wameshazitembelea nyumba zote zilizochini yao na kuzijaza fomu zote kwa kila nyumba, wakazikabidhi fomu hizo kwenye ofisi za serikali ya mtaa/kijiji, ofcourse wapewe na posho kidogo.
Afisa mtendaji akusanye zote na kuziwasilisha ofisi ya wilaya/mkoa ya sensa kwa ajili ya majumuisho na uchakataji wa taarifa.
Pesa zitakazookolewa ziende zikajenge flyover pale TAZARA, foleni ya malorry pale imesababisha hali kuwa mbaya sana.
Hata kama wameishia la saba, ili mradi wanajua kusoma na kuandika, sioni tatizoWajumbe wa nyumba 10 wana elimu gani??
Maana hii kazi inahitaji elimu kidogo.
Mwisho kabisa acha ubinafsi.
Kwa kupitia serikali za mitaa / vijiji (local government) , wajumbe wa nyumba 10 wapewe fomu za sensa na wapite kwenye nyumba zilizochini yao, wapewe wiki moja tu wawe wameshazitembelea nyumba zote zilizochini yao na kuzijaza fomu zote kwa kila nyumba, wakazikabidhi fomu hizo kwenye ofisi za serikali ya mtaa/kijiji, ofcourse wapewe na posho kidogo.
Afisa mtendaji akusanye zote na kuziwasilisha ofisi ya wilaya/mkoa ya sensa kwa ajili ya majumuisho na uchakataji wa taarifa.
Pesa zitakazookolewa ziende zikajenge flyover pale TAZARA, foleni ya malorry pale imesababisha hali kuwa mbaya sana.
Wewe una ubinafsi tu.Hata kama wameishia la saba, ili mradi wanajua kusoma na kuandika, sioni tatizo
1.) Sensa ikifanywa kwa zaidi ya siku 2 kuna utofauti wa matokea ya idadi ya watu? Ukizingatia ni jambo linalofanywa mara moja kwa miaka 10?1. Sensa hufanywa kwa muda wa siku moja au mbili tu na si zaidi
2. Sensa ya 2022 ni ya kidigitali
3. Sensa haifanyiki kiholela
4. Sensa hufanyika tofauti na 'population registers - prs'
5. Mchakato mzima wa sensa ni lazima ufuate misingi ya fani ya takwimu
6. Zoezi la sensa linatakiwa kufanywa na watu wenye maarifa na wanaojua kutumia vishkwambi na simu janja kuepusha makosa ya data 'taarifa ghafi'
7. Kadri zoezi la sensa linavyochukua siku nyingi ndivyo uwezekano wa kukusanya data mbovu unavyoongezeka
8. Una maoni mazuri, pole kwa changamoto
Kila mjumbe anazijua nyumba zake na watu wanaoishi ndani ya nyumba hizo, anaweza akakusanya hizo data chap chap very smoothly, tena kwa posho kidogo sana.Wewe una ubinafsi tu.
Hakuna tatizo juu ya kuajiri vijana wa kitz, halafu hao wajumbe wa nyumba 10 ni wangapi nchi hii, huoni utatumia pesa nyingi zaidi kuliko ambavyo ungetumia ukiwapa hao vijana.
Halafu utatumia muda mrefu kama sio mda mrefu basi hizo data 70% zitakua sio sahihi kwasababu ya ufinyu wa muda.
Kuna uzi humu mdau anadaiKila mjumbe anazijua nyumba zake na watu wanaoishi ndani ya nyumba hizo, anaweza akakusanya hizo data chap chap very smoothly, tena kwa posho kidogo sana.
Aisee una ubishi ndgu.Kila mjumbe anazijua nyumba zake na watu wanaoishi ndani ya nyumba hizo, anaweza akakusanya hizo data chap chap very smoothly, tena kwa posho kidogo sana.
Kama wale wenye akili waliokuwa wanapangisha watu foleni kulipia kodi za majengo ilihali kuna luku? Hopeless..; pia kipo kitakachobadilika, i assure you, kama si leo, basi keshoAisee una ubishi ndgu.
Wenye akili washaamua na haitokuja kkubadilika.
Acha tuishie hapa mkuu.
Kila mjumbe ananyumba zake anazozisimamia, hawatoshi kivipi sasa?Hawatoshi...
1. Kufanya sensa kwa zaidi ya siku 2 ni kukiuka misingi ya fani ya takwimu. Na kufanyika kwa siku zaidi hupelekea data kuwa na makosa makubwa kiasi cha kuvuka error tolerance na kukosa reliability. Hilo litapelekea kupata data "matokeo" tofauti na zenye dosari "irrelevant observation, structural error, duplicate, missing value"1.) Sensa ikifanywa kwa zaidi ya siku 2 kuna utofauti wa matokea ya idadi ya watu? Ukizingatia ni jambo linalofanywa mara moja kwa miaka 10?
2.) Kwani wajumbe wakikusanya data na afisa mtendaji akazi-digitize na kuzituma zinakuwa sio za kidijitali?
3.) Kwani tumesema wajumbe wafanye kiholela?
4.) Kwani nani kasema haifanyiki tofauti na ‘population registers’?
5.) Kwani vigezo vya kuhesabu watu zinataka fani gani? Mjumbe anaejua kusoma na kuandika hawezi kujaza fomu husika?
6.) ‘Tablet’ ni computer kama computer zingine, afisa mtendaji atatumia computer yake kulisha data za wajumbe na kuzituma kwa wahusika.
7.) Data zinakusanywa kwa muda ule ule, kinachokua muda ni digitization ya data itakayofanywa na ofisi ya afisa mtendaji, hivyo haziwezi kuharibika
8.) Maoni ni mazuri hutekelezwa
Wajumbe na watendaji pia ni watu, naamini utajibiwa hivyoWewe Utasababisha watu wakose Ajira.
1.) Ukusanyaji wa data unaweza ukafanyika kwa siku mbili, kitachochukua muda ni digitization toka kwenye karatasi kwenda kwenye tarakilishi, hivyo hapatakuwa na tatizo. Hata hivyo, hiyo Misingi unayodai itakiukwa (kama kweli ndio hiyo) , itasababisha vipi data zinazochukuliwa zisiwe za kweli? Kufanya kwa zaidi ya siku 2, kunafanya vipi data zisiwe za kweli?1. Kufanya sensa kwa zaidi ya siku 2 ni kukiuka misingi ya fani ya takwimu. Na kufanyika kwa siku zaidi hupelekea data kuwa na makosa makubwa kiasi cha kuvuka error tolerance na kukosa reliability. Hilo litapelekea kupata data "matokeo" tofauti na zenye dosari "irrelevant observation, structural error, duplicate, missing value"
2. Zitakuwa ni digital, fahamu: sensa ya 2022 mambo yote yatafanyika kwenye mfumo "system - data collections tools/forms", hivyo basi ukusanyaji = uingizaji wa taarifa electronically, data organization & cleansing (editing - imputing - removal unwanted errors eg: extreme value 'outliers') na data processing 'kuchakata' na mazoezi yatakayohitaji kufanyika na wataalamu wa fani ya Tehama, kwa maono yako hao Maafisa Watendaji wa Mitaa/Kata wataweza? Nafanya kazi kwa karibu sana na wajumbe, madiwani na watendaji, nafahamu competency degree yao, wengi ni wenzangu na mimi - hawajiwezi
3. Kitendo cha kutaka kufanya kitu pasina kufuata taratibu elekezi ni kufanya kitu kiholela. Kama sheria, kanuni, taratibu na miongozo itafuatwa basi hawatakuwa wamefanya kiholela
4. Kuhitajia sensa ifanyike kwa mtindo na muundo huo uliowasilisha kunajitofautishaje na population registers?
5. Rejea "qualities/sifa za mkusanya taarifa", na hii ji moja ya nukta muhimu sana kwenye fani ya takwimu ndiyo maana Chuo cha Takwimu Kilichopo Mashariki mwa Africa (EASTC) kinatoa kozi maalumu ya muda mfupi ya ukusanyaji taarifa, unaweza ukapata picha ya wasifu wa mtu aliyefuzu kwa vigezo vya kitakwimu, kigezo kikuu cha kielimu: awe na astashahada au stashahada ya fani ya takwimu, kozi hizo zote 3 zinaratibiwa na EASTC kwa ushirikiano na NBS na Wizara ya Fedha. Vigezo ni vingi na vyote sitavitaja, ila ni zaidi ya kujua kusoma na kuandika, kwani si kila anayejua hivyo pia anajua kusoma "statistical map" - GIS? na mbona hujauliza swali kwa kuwagusia wajumbe wasiojua kusoma na kuandika? Ni wazi unafahamu baadhi ya sifa basic zinazohitajika. Katika statistical investigation hamna sehemu ambapo utmost care inatakiwa izingatiwe kama kwenye data collection - huu ndo msingi mkuu wa takwimu, hivyo makosa mengi yakifanyika kwenye kukusanya data unakuwa umeshaharibu kila kitu: yaani procedures zote zinazofuata zinakuwa void na matokeo/hitimisho litakalotolewa litapotosha "mislead"
6. Anayetakiwa kukusanya na kuingiza taarifa electronically "tarakilishi/kishkwambi/simu janja" ni karani ambaye kwa mujibu wa mfano wako ni mjumbe, ni wajumbe wangapi wanajua kutumia hivyo vifaa? "User experience", achilia mbali wajumbe, je, watendaji wangapi wanaojua kutumia vishkwambi/tarakilishi/simu janja? Tupo kwenye karne ya 21 zama za mapinduzi ya teknolojia, lakini watanzania wanaojua kutumia hivyo vifaa japo "basic au intermediate" roughly hata 1/3 hawafiki kati ya watu milioni 60 approximately, wajumbe ni wanasiasa - wengi wao wasifu wao unafahamika, hata watendaji wa Mtaa/Kijiji/Shehia pia, walau watendaji wa ngazi ya Kata wanajiweza kidogo. Ifahamike pia kwamba fomu huwa ni nyingi na zina maswali mengi, kama hawatatuliza akili kutoa maboko ni Maguire tu
7. Kama litafanyika kwa muda elekezi itapunguza kuondoa discrepancies 'errancy & fallibility", data za sensa hazitakiwi kuwa accurate bali realible. Sensa siyo zoezi la kuchukulia poa, kutenga kiasi kikubwa cha pesa kwa ajili ya zoezi hili tu pekee linatafakarisha mambo mengi
8. Sawa bana [emoji4]
Probably wengi hawataweza.We ukisikia dodoso unaona kitu kimoja cha ajaaaabu, mjumbe hashindwi kujaza fomu. Kama kuna training wapewe, hawashindwi!
Zinatupwa Shimoni vipi na wakati wanufaika ni wananchi hasa graduates?Mi zote huwa zinaniuma, ila hizi ni nyingi sana, karibu trillion 1 zinatupwa shimoni hivi hivi tunaziangalia kweli?!
1.) Ukusanyaji wa data unaweza ukafanyika kwa siku mbili, kitachochukua muda ni digitization toka kwenye karatasi kwenda kwenye tarakilishi, hivyo hapatakuwa na tatizo. Hata hivyo, hiyo Misingi unayodai itakiukwa (kama kweli ndio hiyo) , itasababisha vipi data zinazochukuliwa zisiwe za kweli? Kufanya kwa zaidi ya siku 2, kunafanya vipi data zisiwe za kweli?
2.) kama form4 leaver anaweza kutumia tehama, afisa mtendaji ambae nae ni mwajiriwa wa serikali anashindwaje kutumia tehema?
3.) Huo uelekezi ni upi sasa? Kama tunaamua kuwatumia wajumbe wa nyumba 10 si tutaunda maelekezo mapya amabayo yatafuatwa?
4.) Kwani Kufanya kwa muundo tofauti na ambao nauoendekeza kunakutofautisheje na ‘pipulation registers’, labda ungedadavua hilo
5.) Hizo qualities ulizotaja kwamba awe amehitimu chuo cha statustics, hao form 4 leavers mnaowaajiri kuhesabu watu, wamehitimu lini hiko chuo?
6.) Wewe unasema anatakiwa karani mdio aingize, na mimi nakuambia naoendekeza afisa mtendaji ndio aingize, hawawezi kushindwa kutumia kishkwambi.
7.) Hata tukitumia wajumbe wa nyumba 10, tutaweka muda elekezi na tutaufuta.
8.) Sawa