Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
SIo Kila msomi lazima avumbue kitu Hilo la Kwanza.Hivi Vyuo huwa mnasomea nini? Kama hata kuwaza kufanya kitu mnashindwa
Hiyo 2.5m nikikupa utaifanyia biashara gani itakayonirudishia hela yangu kwa wiki 3 bila Riba?
Au utalala mazima
Tuache utani kabisa wa hivyo
Bora tuwape wachunga Mbuzi
Sio kwa ubaya lakini
Kuna kijana huko Namibia anaitwa Simon Petrus kamsome
Amevumbua kupiga simu bila SIM card wala network bali kupitia Radio waves
Leteni ubunifu mfadhiliwe
Huna akiliPumbavu
Ni kweli wanaovumbua sio wasomi wote hiyo ni logicSIo Kila msomi lazima avumbue kitu Hilo la Kwanza.
Pili, kwahyo unaridhia utapanyaji wa hela hovyo?
Tatu, Kwa maisha ya kitanzania 2.5 Milion ni nyingi sana katika kuondoa umaskini wa vijana hasa kuanzia biashara ya aina yoyote ya kawaida yenye manufaa kwake na kwajamii
Nne, Kwaakili hiz zako tutakua ombaomba daima uku wachache wakila keki ya taifa milele na milele
Halmashauri zinatoa mikopo. Jifunzeni kufanya kazi kwa vikundi ili mnuafaikeKatika kupunguza changamoto ya malalamiko ya Ajira kwa wimbi kubwa la ukosefu wa ajira Kwa vijana wanaomaliza vyuo vya kati na vikuu, utoaji wa mikopo hii itasaidia kupunguza malalamiko na kuchochea kasi ya uchumi wa nchi
Swali hizo hela zitatoka wapi?
Jibu ni hili
1. Kupunguza matumizi ya anasa kama magari ya million 400 serikali, na wanunue ya milioni 30-40
2. Posho zisizo na umuhmu Kwa wafanyakazi wa serikali
3. Mishahara, posho na kiinua mgongo vya wabunge kupunguzwa Kwa asilimia 60
4. Kuweka tozo ya shilingi mia Kwa wiki kwa watumiaji wa Simu
5. Tozo ya shilingi 20 Kwa Kila muamala unaozidi 2000 katika mitandao ya Simu
6. Kuanzishwe mfuko wa kuraise fund Kwa kila taasisi ya serikali na mashirika binafsi kila baada ya miezi sita Target iwe ni kukusanya bilioni 5+ kwakila awamu,jumla Kwa mwaka bilioni 10+
7. Ruzuku ya bilioni 50 kutoka serikali kuu
8. Kuomba misaada na ufadhili kutoka Kwa wadau wa kimataifa target ikiwa ni 15+
Jinsi ya kuendesha program
1. Iundwe taasisi itayosimamia utoaji wa fedha
2. Graduate wote wapate, kusewe na mtu kukosa Ili kuongeza uwazi
Makadirio ya makusanyo Kwa mwaka
Bilioni 200 Kwa mwaka na wanufaika watakua elf 80 tu
Urejeshaji wa mkopo
1. Baada ya miezi sita ya kupewa mtaji utaanza kurejesha elfu 40 Kila mwezi
2. Ukibahatika kuajiriwa utakatwa kwenye mshahara elf 50 Kila mwezi
3. Ukifirisika au ukila mtaji na ukashindwa kurejesha Kwa MUDa stahiki adhabu ni jera miaka 2 bila kesi kusikilizwa mahakamani
4. Biashara ziwe na bima Ili kupambana na matatizo ya moto, wizi na uncertainty zozote kwenye biashara hili mkopaji asishindwe kipitia kurejesha kutoka na matatizo hayo
HILI SWALA NI WAZO LAKINI KWA NATURE YA NGOZI NYEUSI HILI HALITAWEZEKANA KAMA ILIVONGUMU PAPA KUSILIMU
Hiyo mikopo kupata ni ngumu mnoHalmashauri zinatoa mikopo. Jifunzeni kufanya kazi kwa vikundi ili mnuafaike
TUANZE hapo kupunguza umaskini ulokithiriNi kweli wanaovumbua sio wasomi wote hiyo ni logic
Na sijasema mvumbue wote
La pili siridhii utapanyaji wa Mali ya Umma hasha
Huo ni mfumo mlioukubali na mpaka mnaowapa ridhaa ya kukaa bungeni na kutunga sheria mnawaacha wafanye wanavyotaka
3, labda 2.5 ni nyingi kwa biashara ndogo ndogo lakini unaamini so called wasomi itawatosha kwa kuanza biashara?
Kile kilimo cha umwagiliaji kiliishia wapi kwenye Wizara ya Kilimo?
Ni wangapi walifanya mpaka sasa na kufaidika au walikimbia wote
Vijana wengi ni wavivu, tuambiane ukweli
Na hitimisho ni kuwa sema mtakuwa ombaomba daima kwa sababu mmekubali hayo Maisha ya bila mabadiliko
Haya mawazo yako yanawezekana kwenye nchi zilizoendelea ambazo zina Charitable Funds ambazo huwa wanatoa kwa vijana na kufanya chochote wanachotaka
Kama UK charities hizo zipo nyingi tu na hata King anayo tangu akiwq kijana na amesaidia wengi sana
Kwa huko sidhani Mbunge anaweza kutoa maoni haya na nyie ndio mnawachagua
Kweli kabisaTUANZE hapo kupunguza umaskini ulokithiri
Pia miradi mingi ya kilimo ni ya mdomoni tu
huyo dogo najua habari zake amekosa sapoti tu,maana uvumbuz wake ukifanyiwa kaz uta ua ulaji wa mabeberu.Hivi Vyuo huwa mnasomea nini? Kama hata kuwaza kufanya kitu mnashindwa
Hiyo 2.5m nikikupa utaifanyia biashara gani itakayonirudishia hela yangu kwa wiki 3 bila Riba?
Au utalala mazima
Tuache utani kabisa wa hivyo
Bora tuwape wachunga Mbuzi
Sio kwa ubaya lakini
Kuna kijana huko Namibia anaitwa Simon Petrus kamsome
Amevumbua kupiga simu bila SIM card wala network bali kupitia Radio waves
Leteni ubunifu mfadhiliwe
Wengine watahonga80% watanunia simu, kubeti au nguo.
Labda afanye maporini tu ila mijini hata serikali inaweza kumuuwahuyo dogo najua habari zake amekosa sapoti tu,maana uvumbuz wake ukifanyiwa kaz uta ua ulaji wa mabeberu.
kabisa mkuu amesomea shule kama veta huko kwao chakushangaza serikali na jumuiya za teknolojia duniani zimemtupa hazina msaada kwakeLabda afanye maporini tu ila mijini hata serikali inaweza kumuuwa
Yaani ni mpaka wakubali juu
Kama walivyokubali sasa kuwepo na magari ya Umeme.
Nilimsoma juzi huyu Dogo halafu ni ubunifu wake tu wala hakufanya kisa Elimu kubwa.
Hawawezi kumsaidia tena kama hawajamuuwa kabisakabisa mkuu amesomea shule kama veta huko kwao chakushangaza serikali na jumuiya za teknolojia duniani zimemtupa hazina msaada kwake
nilichojifunza ni kwamba ujinias mtu anazaliwa nao tu mfano walogundua bulb,gari,ndege,injini n.k .ni watu walokuwa na elimu dunia ndogo.Hawawezi kumsaidia tena kama hawajamuuwa kabisa
Simu ni soko kubwa sana haiwezekani ikawa bure.
Unaweza kuta hata wazungu wanajua Ila hawataki kufanya kwa sababu za kibiashara
Ila dogo genius
Ni kweli kabisanilichojifunza ni kwamba ujinias mtu anazaliwa nao tu mfano walogundua bulb,gari,ndege,injini n.k .ni watu walokuwa na elimu dunia ndogo.
Mkuu naomba uniunganishe maana na idea nyingi sana Website yao tafadhariNi kweli kabisa
Ubunifu mwingi sana unatokana na watu wa kawaida sana kama Mimi na wewe.
Maisha yanapokuwa magumu unapata idea ya kitu ili yawe mepesi
Hapa UK kuna makampuni mengi tu ambayo ni ya Ideas
Kuna moja naijua inaitwa bright ideas
Kama umewaza kitu na unajua haipo duniani basi unawachorea plan au kuwaandikia na unalipa kama 1.5m ya Bongo
Wanakushauri uwe na wakili wako
Mnaandikishana unawapa idea
Wao wanaingalia kama inafaa halafu wanakutumia barua kuwa ipo pia.
Unalipia gharama hiyo kidogo
Wao sasa wanaenda kuitengeneza na kuitafutia soko sehemu moja.
Ikipata soko zuri wanaitanua mpaka nchi nzima na baadae kimataifa
Wewe inakuwa ni Trademark ™️ yako na mauzo Una % nzuri tu kwenye mauzo
Kuwa Billionaire ni kunusa tu ikikubali.
Kuna Idea nilipata ila sikuwajua hawa
Baada ya miaka miwili nikaiona madukani