Napendekeza kuwe na mikopo ya milion 2.5 kwa vijana ambao wanamaliza vyuo kama mtaji

Ujinga mtupu, hayo ulosema yapo applicable uko duniani sio uku afrika sisi Bado tupo zama za kale, tuanze kuinuka kidogo kidogo ndo njia nafuu na rahisi
 
Mtaji siyo tatizo, hizo Hela zitapotea, tatizo ni binadamu mwenyewe na mifumo wezeshi ya kufanya biashara
 
Nmeweka kipengele cha sustainability plan hapo watarudsha Hela watake wasitake
Tatizo ni aina ya mifumo ya uwezeshaji na utashi wa kisiasa
Hata mimi nafahamu kuhusu revolving fund

Asilimia 80 ya mafanikio kwenye biashara yanamtegemea mfanya biashara ama mjasiriamali, asilimia 20 ni mjasiriamali na yanayo mzunguka kwa Africa, (Tanzania), hii assilimia 20, ina nguvu hata kuua biashara
 
Asilimia 100
 
Kwa akili hizihizi za vijana wa kibongo? Dhamana? Itakua kuongeza inflation tu kikenge
 
Mil 2.5 si watanunua iphone macho matatu?graduates wengi changamoto

pia hio hela ndogo,labda mil 10, ila kwa mikoani hio ni mtaji mzuri,na inawezekana kama ulivosema hapo
 
Mil 2.5 si watanunua iphone macho matatu?graduates wengi changamoto

pia hio hela ndogo,labda mil 10, ila kwa mikoani hio ni mtaji mzuri,na inawezekana kama ulivosema hapo
Ataetapanya Hela afungwe miaka miwili jela, nchi zote zilizoendelea zilikua na Sheria Kali, zisizo za kiutu na ngumu Kwa watu waovyo Ovyo wasiojitambua
 
Akalishwe kwa milioni 2 zingine bure? Itakua akili au matope?
Uko jela akalime sio kukaa bure ikibidi waanzishe mashamba makubwa ya kilimo na ufugaji maana kutakua na uhakika WA free labor
 
Ataetapanya Hela afungwe miaka miwili jela, nchi zote zilizoendelea zilikua na Sheria Kali, zisizo za kiutu na ngumu Kwa watu waovyo Ovyo wasiojitambua
utafunga wangapi? jela hazitoshi, pia suluhu ni kuweka mfumo wa mkopo usio n riba kabisa na sharti upitie mafunzo kama veta yaani viwanda vinavozalisha lasivo watanunua iphone 19
 
Umeandika upuuzi. Pesa zipo benki kwa nini wasiende kukopa huko, kwa udhamini wa serikali?.
Halafu hiyo 2.5m ni pesa kichele tu: itaongeza umasikini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…