Napendekeza kwenu kuwa Ridhiwani Kikwete atatufaa sana Urais baada ya Magufuli

Mleta uzi sehemu salama uliyotakiwa kuwepo ni Mirembe tu, tena 'chini ya uangalizi' wa Dr bingwa
 
Ni bora hata ungesema Paul Makonda kidogo inaingia akilini kwa sababu uchapakazi wake ulikuwa unaonekana kuliko kumpendekeza huyo mla bata aje kuwa Rais.
Mkuu tutajikuta yunaongozwa hadi na 'waporaji' wa mali za watu mchana kweupe.
 
Ili akawateke wagombea wa vyama vingine siyo ?

Halafu labda kama ulikuwa hujui sasa ndio ushachokoza majambo , huyo kijana makandokando yake yakiwekwa humu utatamani ardhi ipasuke ukajifiche , mnapolipwa ili kuwatakasa wenye tope tafakarini kwanza
 
haswaa.inasikitisha.mentally slavery still in roots.
 
Itapendeza sanaaaaa. Kwanza kijana ni mtulivu kama babaake
 
Ukiacha kuzaliwa na baba Rais na kwamba hii nchi haipaswi kuingia katika mfumo wa kurithishana madaraka ya umma vijana wengi wanazo sifa hizi ulizozitaja, tupe sifa za ziada kwake.
 
Kwangu Magufuli aongezewe walau miaka kumi ili amalizie hizi mega project mana zina manufaa mapana kwa Taifa letu
 
Bangi sio nzuri kwa afya ya akili
 
Unachovuta au kunywa nakushauri achana nacho kabisa.
Umetumia controlled substance bila shaka kabla hujaandika huu uzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…