Wapinzani waache kushiriki chaguzi.
Wawekeze nguvu kushinikiza uwepo wa taasisi huru zaidi ya ilivyo sasa.
Migomo lazima iwe sustainable.Waligomea serikali za mitaa mwaka jana kwa kuwa wao akina mbowe, lissu, lema, mdee hawashiriki. Uchaguzi huu wakasema SASA BASI
Mbona unatoa takwimu ambazo mwenyewe binafsi huna uhakika. Umetumia kigezo gani kutoa takwimu zenye utata kiasi hiki, hayo ni mawazo yako na kama ungepata mda wa kutathmini usingeweza kusema hivyo. WaTanzania wengi wanaakili timamu, hizo takwimu zako si za kweli.Watz wengi wetu, tumebarikiwa roho nzuri, sura ndiyo usiseme, akili tu ndiyo tukanyimwa maskiiini..!!
Haina haja, ikibaki hv chama kimoja sindio vzr ndugu zako watapata maendeleo lukuki kule bariadi?!.Wapinzani waache kushiriki chaguzi.
Wawekeze nguvu kushinikiza uwepo wa taasisi huru zaidi ya ilivyo sasa.