Napendekeza Magufuli awe Rais wa maisha, tufute vyama vingi

Napendekeza Magufuli awe Rais wa maisha, tufute vyama vingi

Nina unga mkono hoja mimi kama mwana chama mpya wa CCM atuongoze sisi na malaika akiwemo malaika mtoa roho
 
Nadhani hili halihitaji hata kura za maoni.Twendeni na hii movement #Magu4life...ikiwezekana ndo iwe hoja ya Kwanza kabisa kwenye bunge la Ccm linaloanza.
 
Hizi hela tunazopoteza kwenye uchaguzi zingesaidia kujengea water reservoirs na watu wapate maji salama ya kunywa.
Bichwa kuuuuubwa kichwani hamna kitu, tutaona hayo anauoyaita maendeleo kama yatapatikana
 
Naunga mkono hoja.

Hata awe kama Museven pale Uganda
Ama awe kama Kagame Rwanda
Ama awe kama Putin kule Rusia
Ama awe kama Kiduku kule K/Kaskazini.

Tujutawalie wenyewe nchi yetu.

Nikupanga mipango yote endelevu wenyeweee.

Maana hizi kampeni zinatupotezea pesa na Gharama na huku Mshindi anajulikana.

[emoji23][emoji23][emoji23]
Leo nilikuwa na vijana mahala fulani wakaja wakaomba tuwape vinywaji wakiwa na bendera zao za mboga mboga, tukawaambia wawaambie mboga mboga wawanunulie.......


Vijana mtaikumbuka nafasi iliyopotea kwa uvivu wa kuto kwenda vituoni kupiga kura
 
Hii ndio Demokrasia ya Tanzania🇹🇿. Ushindi wa CCM ni aailimia 99.9 upinzani umeshatoswa baharini.

Bunge liapishwe, katiba ibadilishwe, Magufuli awe rais wa maisha Kama yule wa China.

Tuvunje uhusiano na mabeberu wa magharibi, sisi Ni nchi tajiri wala hatuhitaji kusaidiwa.

Tupige marufuku vyama vya siasa na siasa zote zifanywe na kuratibiwa na CCM tu.

Kila raia aliye na miaka kuanzia 18 na KUENDELEA ni lazima awe na kadi ya CCM na ailipie kwa lazima.

Huduma zote za kijamii zitolewe tu baada ya raia kuonyesha kadi ya CCM.

Yajayo yanahuzunisha.
Wewe ni mjinga kumbe
 
Bichwa kuuuuubwa kichwani hamna kitu, tutaona hayo anauoyaita maendeleo kama yatapatikana

Watz wanaipenda sana ccm ndio maana wapo majumbani wanafurahia ushindi wa ccm kwa amani. Kinyume na hapo wangekuwa mabarabarani wanaandamana.
 
Back
Top Bottom