Napendekeza Magufuli awe Rais wa maisha, tufute vyama vingi

Napendekeza Magufuli awe Rais wa maisha, tufute vyama vingi

Umesahau kitu kimoja kwakua mabeberu wanatufatilia sana, bora tuvunje kabisa mahusiano ya kibalozi hasa USA na Uk na nchi nyingine za ulaya, tubaki na china tu, pia tujitoe WB na IMF, maana sisi ni matajiri,
 
Mipango yenu ya kutawala milele Kama nyie ni malaika tutaona...kwa kua Mungu huyu ambae ana mamlaka zote Yuko na anaona mliyoyatenda kwa udhulumati kuzulumu haki ya wananchi kumchagua kiongozi wanayemtaka ...lazma tufunge na kuomba ili atende jambo na lazma atatujibu kabla mipango yenu haijakamilika shwain kabisa ccm.
 
Naiona Tz mbaya , sijui nani kapandikiza hii tamaa ya madaraka ya ajabu namna hii.Nawachukia hata wale wote wanaofungamana na ccm. Natamani wapatwe na majipu mwili mzima wale wote wanaofurahia udhalimu huu.
 
kuna Tanzania ya mitandaoni na ile ya uhalisia.. na kote kuna marais, uhalisia magufuli na mitandaoni lissu..
 
FB_IMG_16039827807982193.jpg
 
Umesahau kitu kimoja kwakua mabeberu wanatufatilia sana, bora tuvunje kabisa mahusiano ya kibalozi hasa USA na Uk na nchi nyingine za ulaya, tubaki na china tu, pia tujitoe WB na IMF, maana sisi ni matajiri,
Wazo zuri sana hilo mkuu.

Nadhani 'THE ALMIGHT' alichukue wazo hilo.
 
Mipango yenu ya kutawala milele Kama nyie ni malaika tutaona...kwa kua Mungu huyu ambae ana mamlaka zote Yuko na anaona mliyoyatenda kwa udhulumati kuzulumu haki ya wananchi kumchagua kiongozi wanayemtaka ...lazma tufunge na kuomba ili atende jambo na lazma atatujibu kabla mipango yenu haijakamilika shwain kabisa ccm.
Na J2 hii mtaniona kanisani nimepiga magoti kwa unyenyekevu kabisaa nikisema MNIOMBEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE.
 
Utani utani wako utashangaa mawazo yako yamekubaliwa utaanza tena kulia, badala ya kutoa hoja kueleza ubaya wa jambo hili wewe unakejeli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga mkono hoja.

Hata awe kama Museven pale Uganda
Ama awe kama Kagame Rwanda
Ama awe kama Putin kule Rusia
Ama awe kama Kiduku kule K/Kaskazini.

Tujutawalie wenyewe nchi yetu.

Nikupanga mipango yote endelevu wenyeweee.

Maana hizi kampeni zinatupotezea pesa na Gharama na huku Mshindi anajulikana.

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona unatoa takwimu ambazo mwenyewe binafsi huna uhakika. Umetumia kigezo gani kutoa takwimu zenye utata kiasi hiki, hayo ni mawazo yako na kama ungepata mda wa kutathmini usingeweza kusema hivyo. WaTanzania wengi wanaakili timamu, hizo takwimu zako si za kweli.
Mbona hizo takwimu zimekuuma sana
 
Umesahau kitu kimoja kwakua mabeberu wanatufatilia sana, bora tuvunje kabisa mahusiano ya kibalozi hasa USA na Uk na nchi nyingine za ulaya, tubaki na china tu, pia tujitoe WB na IMF, maana sisi ni matajiri,
Uwepo wa vyama vingi unachelewesha maendeleo
 
Back
Top Bottom