Napendekeza Magufuli awe Rais wa maisha, tufute vyama vingi

Hii ndio Demokrasia ya Tanzania🇹🇿. Ushindi wa CCM ni aailimia 99.9 upinzani umeshatoswa baharini.

Bunge liapishwe, katiba ibadilishwe, Magufuli awe rais wa maisha Kama yule wa China.

Tuvunje uhusiano na mabeberu wa magharibi, sisi Ni nchi tajiri wala hatuhitaji kusaidiwa.

Tupige marufuku vyama vya siasa na siasa zote zifanywe na kuratibiwa na CCM tu.

Kila raia aliye na miaka kuanzia 18 na KUENDELEA ni lazima awe na kadi ya CCM na ailipie kwa lazima.

Huduma zote za kijamii zitolewe tu baada ya raia kuonyesha kadi ya CCM.

Yajayo yanahuzunisha.
nakuona ulivyo na hasira kijana.... kwanza pole sana kwa haya ya maajabu tunayoyaona hapa tanzania pili kila jambo lina mwisho wake.. lakini mwisho wa mtu anayejifanya ni mbabe sana huwa ni aibu.... unakumbuka mfano wa kwenye biblia david Vs goliath? kikubwa tujipe moyo kuwa hii ni changamoto kwa wapenda demokrasia duniani.... siamini huu uchaguzi kabisa eti kweli mbowe, zitti, mdee, sugu, msigwa, pro.jay........ hii ni aibu sana tena sana..... aliye mpitisha magu awe mgombea urais ccm mungu amlaani sana! huyu mtu ni mkatili sana
 
Hii ndio Demokrasia ya Tanzania[emoji1241]. Ushindi wa CCM ni aailimia 99.9 upinzani umeshatoswa baharini.

naunga mkono hoja
 
Halafu unakuta mbwa kama wewe huna ata kazi unasifia ujinga tuu pumbavu kweli.
 
nakuona ulivyo na hasira kijana.... kwanza pole sana kwa haya ya maajabu tunayoyaona hapa tanzania pili kila jambo lina mwisho wake.. lakini mwisho wa mtu anayejifanya ni mbabe sana huwa ni aibu.... unakumbuka mfano wa kwenye biblia david Vs goliath? kikubwa tujipe moyo kuwa hii ni changamoto kwa wapenda demokrasia duniani.... siamini huu uchaguzi kabisa eti kweli mbowe, zitti, mdee, sugu, msigwa, pro.jay........ hii ni aibu sana tena sana..... aliye mpitisha magu awe mgombea urais ccm mungu amlaani sana! huyu mtu ni mkatili sana
Ukituliza akili unaweza kuelewa maana ya kilichotokea. Hata hivyo najua hamuwezi kufikri zaidi ya hisia mlizonazo dhidi ya Uchaguzi. Tathmini ya kina inatakiwa kufanyika na kubaini chanzo cha kuenguliwa kwa hao nguli wa Upinzani ni nini. Ukishindwa kufikri vizuri utaona unyanyasaji na kuonewa, kiukweli watu wamepiga kura kwa maamuzi yao kama raia.
Tulizeni akili waeleweni waTanzania wanataka nini na historia yao ikoje. Tatizo la vijana huwa mnakuwa na nguvu za ujana na hisia za ajabuajabu na kuhisi binafsi unaweza kupindua nchi. waTanzania wanamajibu sahihi, kuliko jinsi unavyoweza kupiga kelele humu.
 
Hii ndio Demokrasia ya Tanzania🇹🇿. Ushindi wa CCM ni aailimia 99.9 upinzani umeshatoswa baharini.

Bunge liapishwe, katiba ibadilishwe, Magufuli awe rais wa maisha Kama yule wa China.

Tuvunje uhusiano na mabeberu wa magharibi, sisi Ni nchi tajiri wala hatuhitaji kusaidiwa.

Tupige marufuku vyama vya siasa na siasa zote zifanywe na kuratibiwa na CCM tu.

Kila raia aliye na miaka kuanzia 18 na KUENDELEA ni lazima awe na kadi ya CCM na ailipie kwa lazima.

Huduma zote za kijamii zitolewe tu baada ya raia kuonyesha kadi ya CCM.

Yajayo yanahuzunisha.
Na akifa asioze na akioza owe perfume kabisa. Msisahau kurudisha zidumu fikra za mwenyekiti
 
Migomo lazima iwe sustainable.

Siyo leo unagoma, kesho hugomi.

Hivi kwa mfano hao wapinzani wangeugomea huu uchaguzi, wangepoteza nini?

Na kwa kushiriki, wame-gain nini?
TLP na UDP hawawezi goma kamwe
 
Migomo lazima iwe sustainable.

Siyo leo unagoma, kesho hugomi.

Hivi kwa mfano hao wapinzani wangeugomea huu uchaguzi, wangepoteza nini?

Na kwa kushiriki, wame-gain nini?

Ngabu vyama vingi ni mamluki wa CCM so far chama kinachoweza kugomea uchaguzi ni ki moja kati ya 21.
 
Hii ndio Demokrasia ya Tanzania🇹🇿. Ushindi wa CCM ni aailimia 99.9 upinzani umeshatoswa baharini.

Bunge liapishwe, katiba ibadilishwe, Magufuli awe rais wa maisha Kama yule wa China.

Tuvunje uhusiano na mabeberu wa magharibi, sisi Ni nchi tajiri wala hatuhitaji kusaidiwa.

Tupige marufuku vyama vya siasa na siasa zote zifanywe na kuratibiwa na CCM tu.

Kila raia aliye na miaka kuanzia 18 na KUENDELEA ni lazima awe na kadi ya CCM na ailipie kwa lazima.

Huduma zote za kijamii zitolewe tu baada ya raia kuonyesha kadi ya CCM.

Yajayo yanahuzunisha.
Mshana Jr nini hii..?
 
Tena Natamani awe kama

Fidel Castrol....

Kim Jong Un....

Muammar Gaddafi..

Bashar Al-Asaad....

Shin Jinping...

Nicholaus Maduro.....

Hassan Rouhan....

Ili hawa Maberi wasitozee na demokrasia zao za kishenzi kama walivyo wao washenzi...
 
Watz wanaipenda sana ccm ndio maana wapo majumbani wanafurahia ushindi wa ccm kwa amani. Kinyume na hapo wangekuwa mabarabarani wanaandamana.
Ushindi haufurahiwi majumbani. Shamrashamra zilitakuwa kuwepo mitaani
 
Mshenzi ni wewe mwenyewe mwenye mawazo ya kishenzi ambapo hujui pia hio miwani anayovaa Meko ni made in kwa mabeberu 😀😀
Fala wewe
Tena Natamani awe kama

Fidel Castrol....

Kim Jong Un....

Muammar Gaddafi..

Bashar Al-Asaad....

Shin Jinping...

Nicholaus Maduro.....

Hassan Rouhan....

Ili hawa Maberi wasitozee na demokrasia zao za kishenzi kama walivyo wao washenzi...
 
Tena Natamani awe kama

Fidel Castrol....

Kim Jong Un....

Muammar Gaddafi..

Bashar Al-Asaad....

Shin Jinping...

Nicholaus Maduro.....

Hassan Rouhan....

Ili hawa Maberi wasitozee na demokrasia zao za kishenzi kama walivyo wao washenzi...
Umeona ehh
 
Mshenzi ni wewe mwenyewe mwenye mawazo ya kishenzi ambapo hujui pia hio miwani anayovaa Meko ni made in kwa mabeberu 😀😀
Fala wewe

Kwa hiyo wakitengeneza miwani tukanunua ndiyo maendeleo...

Watu kama nyie ndiyo wakupigwa risasi nyingi kama lisu mfe tu *****....maana hampendi hii nchi ijitegemee yenyewe...

Tena hapa Magufuli bado kawalegezea sana....
Ingekuwa mimi ndiyo rais hata mipaka ya nchi ningefunga kabisa hakuna bidhaa yeyote inaingia kutoka kwa mabeberu....hakuna cha kuagiza sijui simu, magari wala nini...na nna uhakika ningeifunga nchi basi ndani ya miaka kumi tu mmeshapata akili ya kutengeza magari yenu na simu zenu hapa hapa Tanzania...

Yani kila utakachokuwa unatumia kitakuwa Made in Tanzania....

Sasa wewe endelea kuwashabikia wale washenzi wenye ngozi nyeupe wanaokuita wewe nyani alau ukidhani wanakupa maendeleo with no return nyoko wewe 🖕
 
Nyoko mwenyewe

Kama una akili kamwambie Meko arudishe hiyo mitumba ya ndege aliyouziwa na mabeberu fala wewe
Mwambie pia apaki hayo magari anayotembelea maana yote ni made in kwa mabeberu kuku ww

Mwambie pia afunge balozi zote pimbi wewe

Back
Top Bottom