Napendekeza Magufuli awe Rais wa maisha, tufute vyama vingi

Nina unga mkono hoja mimi kama mwana chama mpya wa CCM atuongoze sisi na malaika akiwemo malaika mtoa roho
 
Nadhani hili halihitaji hata kura za maoni.Twendeni na hii movement #Magu4life...ikiwezekana ndo iwe hoja ya Kwanza kabisa kwenye bunge la Ccm linaloanza.
 
Hizi hela tunazopoteza kwenye uchaguzi zingesaidia kujengea water reservoirs na watu wapate maji salama ya kunywa.
Bichwa kuuuuubwa kichwani hamna kitu, tutaona hayo anauoyaita maendeleo kama yatapatikana
 
Mfalme kapigiwa kura nyingine na malaika
 
Leo nilikuwa na vijana mahala fulani wakaja wakaomba tuwape vinywaji wakiwa na bendera zao za mboga mboga, tukawaambia wawaambie mboga mboga wawanunulie.......


Vijana mtaikumbuka nafasi iliyopotea kwa uvivu wa kuto kwenda vituoni kupiga kura
 
Wewe ni mjinga kumbe
 
Bichwa kuuuuubwa kichwani hamna kitu, tutaona hayo anauoyaita maendeleo kama yatapatikana

Watz wanaipenda sana ccm ndio maana wapo majumbani wanafurahia ushindi wa ccm kwa amani. Kinyume na hapo wangekuwa mabarabarani wanaandamana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…