Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
- Thread starter
-
- #21
..mpinzani yeyote wa Raisi aitwe shetani.
Ukiona hivyo, ujue. Imekuingia barabara mwanangu. Ni suala la kuwa na akili tekenyeshi na tunduizi ndilo limenisukuma kuwaza hivyo na pia tokana na misifa anayomwagiwa.Wewe ni tahira, kataa nikupe ushahidi
Naunga mkono hoja
Ukiona hivyo, ujue. Imekuingia barabara mwanangu. Ni suala la kuwa na akili tekenyeshi na tunduizi ndilo limenisukuma kuwaza hivyo na pia tokana na misifa anayomwagiwa.stop this madness
Ukiona hivyo, ujue. Imekuingia barabara mwanangu. Ni suala la kuwa na akili tekenyeshi na tunduizi ndilo limenisukuma kuwaza hivyo na pia tokana na misifa anayomwagiwa.Matumizi mabaya ya akili
Kabudi anasemaje ukimuulizaKatika kuonyesha imani, mapenzi, utii, kumkubali, kumtakia mema yote makubwa na madogo, kumhusudu, kumsifia na kumtukuza, napendekeza rahis wetu mtukufu mwenye maono, mpendwa na mpendeka, akapendeza, mwenye akili na busara nyingi, uwezo, utakatifu, ukuu, utukufu, vyote visivyo vya wa kawaida kutokana na mema na makubwa mengi aliyofanya au tuseme miujiza, aitwe Mungu yaishe ili afurahi, tufurahi, kuridhika sisi na viumbe wake wote wakubwa na wadogo hasa chawa na kunguni. Amina.
UMEYATIMBA NYOKO WEWE.Katika kuonyesha imani, mapenzi, utii, kumkubali, kumtakia mema yote makubwa na madogo, kumhusudu, kumsifia na kumtukuza, napendekeza rahis wetu mtukufu mwenye maono, mpendwa na mpendeka, akapendeza, mwenye akili na busara nyingi, uwezo, utakatifu, ukuu, utukufu, vyote visivyo vya wa kawaida kutokana na mema na makubwa mengi aliyofanya au tuseme miujiza, aitwe Mungu yaishe ili afurahi, tufurahi, kuridhika sisi na viumbe wake wote wakubwa na wadogo hasa chawa na kunguni. Amina.
Ndio yeye ssaNa shetani atakuwa nani??
Poa. Kwa Kibantu si ni Mungu lakini?Rais wetu aitwe goddess. Unaonaje mleta mada?
Mungu mamahalaf kwenye sala tuwe tunamuita mungu baba au mungu mama
Tundu Lissu..Na shetani atakuwa nani??
"Kajenga hiki, kanunua kile, kapiga mwingi, kasambaza dawa, brbr, shle, kaleta maji, mvua ...kila kitu." Mtu wa namna hii, hastahili jina flani, lipi kama sio hilo?! Yy kapendkeza, Chawa toeni pendekezo kama mwaona jamaa kakosea ...nkHamjamuelewa muandishi.
Muandishi kachoka na uchawa. Sasa anaona ni Bora liwe Moja tu, aitwe Mungu Ili kelele zipungue. Hamaanishi kua aitwe Mungu Kwa mema, ila ni ki Shari. Kwamba sawa basi.