balibabambonahi JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 15,771 Reaction score 14,294 Nov 7, 2024 #121 Genius Man said: Muandiko tu linaonesha jinsi jamaa lilivyo jinga jinga mbumbumbu Click to expand... Alichofanya ni kejeli au satire.Hamaanishi kwamba Huyo kiroba anaweza kuitwa Mungu
Genius Man said: Muandiko tu linaonesha jinsi jamaa lilivyo jinga jinga mbumbumbu Click to expand... Alichofanya ni kejeli au satire.Hamaanishi kwamba Huyo kiroba anaweza kuitwa Mungu
Mwl.RCT JF-Expert Member Joined Jul 23, 2013 Posts 14,624 Reaction score 20,666 Nov 7, 2024 #122 Father of All said: aitwe Mungu yaishe ili afurahi, tufurahi, kuridhika sisi na viumbe wake wote wakubwa na wadogo hasa chawa na kunguni. Click to expand... Kulikoni! mpaka umefikia hapa?
Father of All said: aitwe Mungu yaishe ili afurahi, tufurahi, kuridhika sisi na viumbe wake wote wakubwa na wadogo hasa chawa na kunguni. Click to expand... Kulikoni! mpaka umefikia hapa?
Infropreneur JF-Expert Member Joined Aug 15, 2022 Posts 9,830 Reaction score 20,686 Nov 7, 2024 #123 Mizam said: Hamjamuelewa muandishi. Muandishi kachoka na uchawa. Sasa anaona ni Bora liwe Moja tu, aitwe Mungu Ili kelele zipungue. Hamaanishi kua aitwe Mungu Kwa mema, ila ni ki Shari. Kwamba sawa basi. Click to expand... Wana JF wengi hawana hata D mbili. Mada kidogo kama hii wameenda Opi, chaka.
Mizam said: Hamjamuelewa muandishi. Muandishi kachoka na uchawa. Sasa anaona ni Bora liwe Moja tu, aitwe Mungu Ili kelele zipungue. Hamaanishi kua aitwe Mungu Kwa mema, ila ni ki Shari. Kwamba sawa basi. Click to expand... Wana JF wengi hawana hata D mbili. Mada kidogo kama hii wameenda Opi, chaka.