wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Kunyoa para na kulima bustani mkuu.Kwani kitu gani cha maana munafundishwa huko JKT??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kunyoa para na kulima bustani mkuu.Kwani kitu gani cha maana munafundishwa huko JKT??
Napendekeza serikali iweke kipengele cha cheti cha JKT kwenye matangazo yote ya kazi katika Taasisi za kiserikali na utumishi.
Hii italeta maana ya vijana wetu kupitia, mafunzo haya ya JKT. Na italeta hamasa kwa wale ambao hawapendi kwenda kulitumikia Taifa huko JKT.
Waweke na kadi ya UVCCM na CCM kwa sababu wote wanaenda kutekeleza ilani ya chama cha mapinduzi🐒
Hivi unafahamu serikali inachukua F6 wachache Sana kwenda JKT? Kifupi wanaoachwa ni wengi kuliko wanaochaguliwa kwenda JKT. Hivyo suala lako halitakuwa kigezo.Napendekeza serikali iweke kipengele cha cheti cha JKT kwenye matangazo yote ya kazi katika Taasisi za kiserikali na utumishi.
Hii italeta maana ya vijana wetu kupitia, mafunzo haya ya JKT. Na italeta hamasa kwa wale ambao hawapendi kwenda kulitumikia Taifa huko JKT.
Vipo vingi sana!Kwani kitu gani cha maana munafundishwa huko JKT??
Hakna zaidi ya mateso makali kwa watoto wa watu lol.Kwani kuna kitu gani cha maana huko JKT??
Kabisaaa yaan, hasa ile kwa mujibu wa sheria (f6) ifutwe tyuuh. Haina maana yeyote lol.JKT ifutwe tu maana sioni umuhimu wake. Kuna jipya gani mnafundishwa huko JKT?
Mkitoka huko mnaishia kuwa walinzi tu na kulialia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kunyoa para na kulima bustani mkuu.
Kabisaaa yaan, hasa ile kwa mujibu wa sheria (f6) ifutwe tyuuh. Haina maana yeyote lol.
Naunga mkono hoja!
Waliopitia jkt wapewe kipaumbele kwa sababu,
Mosi, wamefundishwa UVUMILIVU na USTAHIMILIVU wa kuishi maisha ya aina yoyote katika mazingira yoyote. Kwahiyo hata kule vijijini ambako watumishi wanapakimbia wakipelekwa wao kwa mafunzo waliyopata tuna expect watafanya kazi bila shida yoyote!
PILI, itaongeza hamasa kwa vijana kwenda kushiriki mafunzo ya jkt bila kukosa kwa watakaokuwa wamechaguliwa
TATU, itasaidia kumotivate vijana kuwa wazalendo na wenye kulipenda Taifa leo
NNE, vyeti vya jkt wanavyopewa havina matumizi kwahiyo kama kigezo cha mafunzo ya jkt kitazingatiwa basi na vyeti navyo vitakuwa vimepata matumizi kwa Njia hiyo!
😅😅😅😅😅😅😅😅Ni pendekezo.Mawazo yasiyo na tija hayo, kurudishana nyuma tuu