JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Upuuzi mtupu,kwanza hakuna uwezekano wa kila kijana kwenda jkt,nchi Haina uwezo wa kugharamia.Napendekeza serikali iweke kipengele cha cheti cha JKT kwenye matangazo yote ya kazi katika Taasisi za kiserikali na utumishi.
Hii italeta maana ya vijana wetu kupitia, mafunzo haya ya JKT. Na italeta hamasa kwa wale ambao hawapendi kwenda kulitumikia Taifa huko JKT.
Mimi nimetoa pendekezo tu,
Pili,kama taasisi inataka engineer au doctor,mafunzo ya kulima,na kupiga kwata yanasaidia nini kwenye kazi yake?
Sasa hv tupo kwenye karne ya sayansi,na virtual technology,robotics,wewe unawapereka vijana jeshini kujifunza kulima,kufuga,kupiga kwata,na upuuzi mwingine wa mwaka 47,hayo madudu yatawasaidia nini kwenye maisha,tuliamibishwa wakitoka huko wataweza kujjisjiri kwenye kilimo Na ufugaji,hakuna kitu wanaishia kulanda landa mjini kama kuku wasio na vichwa na kupiga raia.
Program ya jkt ni nzuri,ila iboreshwe iwe ya kisasa.
Ni bora kuweka mafunzo ya lugha za kigeni kama kifaransa,kigerman,na mafunzo ya IT shuleni kuliko kupoteza muda na rasilimali huko polini