FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
-
- #21
Ndio wanilindie kwa sababu nailipia kodi, au kodi kazi yake nini? Au hiyo bima ni bure?Kwa hiyo wakulindie simu yako ya milioni moja isiibiwe, kwa nini usiikatie bima kama unaona ina thamani kubwa.....
Basi na sisi wenye baiskeli za phoenex tutaomba polisi watufungie sensor ili wawe na uwezo wa kui track pale itakapoibiwa....Ndio wanilindie kwa sababu nailipia kodi, au kodi kazi yake nini?
Hata ukiassemble, lazima utafunga na mashine yake ambayo ndio ina IMEI, na haitafanya kazi unless iwe imetambulika na TRA ndio TCRA wairuhusu kufanya kazi, sasa una-assemble simu halafu haifanyi kazi, labda kama ni urembo.
Simu za Calliber hiyo tayari zina-inbuilt GPS, haufungiwi na polisi.Basi na sisi wenye baiskeli za phoenex tutaomba polisi watufungie sensor ili wawe na uwezo wa kui track pale itakapoibiwa....
Ndio zinafanya kazi kwa sababu IMEI imeruhusiwa na TCRA, sasa ulitaka isifanye kazi kwani TCRA wameifungia?hapo umechanganya kidogo.
IMEI sio kikwazo kusema ushindwe kutumia simu.labda kuripotiwa na kampuni labda zimeibiwa.
ukisema hivo nitashangaa maana napokea simu toka south africa,nairob na canada na zinafanya kazi
Ndio zinafanya kazi kwa sababu IMEI imeruhusiwa na TCRA, sasa ulitaka isifanye kazi kwani TCRA wameifungia?
TCRA haiusiki na kodi ndio, ila kwa kushirikiana na TRA watafacilitate hilo. Kipindi cha kuzuia simu feki, TCRA (kwa kushirikiana na mitandao ya simu) walifungia IMEI zote ambazo ni fake duplicate, hivyo TCRA wanauwezo wa kufungia IMEI when and if needed kwa sababu yeyote. Mfano kwa simu feki waliweza kufungia, halikadhalika kwa simu ambayo haijalipiwa kodi TRA, watafungia wakihitajika.TCRA ishugulikii imei kwa kulipa kodi.
kuna idara ya umoja wa inazoshikilia nakala zote duniani kuzipa usajiri simu zote zitakazo zalishwa na viwanda na database itatolewa kila nchi !
sawa na passport unapopata basi dunia database yako kila ufikapo inajulikana
Laini zamani ilikuwa unanunua na kutupa kama vocha tu, ila sasa hivi ni lazima usajili laini, kwahiyo lazima tuendane na mazingira.TV kumiliki mpaka ukajisajili wizara ya mambo ya ndani ilikuwa hata magari pia
Ova
Jiulize moja. Gari ikiibiwa, TRA wanahusikaje? Sio kazi ya TRA kusimamia simu kutoibiwa. Cha.msingi weka bima simu yako ili ikiibiwa au kupotea ulipwe.
Criteria gani itatumika kudetermine kwamba hii simu ni ya Milion Moja?? Maana gari ni easy kwa kuwa ni Kubwa, Na kuna utaratibu maalumu wa kuingiza gari na kutumia nchini. SImu kwa asili yake mtu anaweza akawa amepewa zawadi, au akaingia nayo kama vile anaitumia, etc sasa kwakuwa nyingi hazitakuwa na document za Purchase na information za value.Kadi iwe na jina la mmiliki na taarifa zake zingine zote, na sehemu ya details ijazwe taarifa muhimu za simu kama IMEI, model, make, color na specification zingine zote. Pia pajazwe number of previous owners nk. nk.
Iphone 13plus inauzwa 3 mil +, ni criteria gani imetumika kujua hiyo bei?Criteria gani itatumika kudetermine kwamba hii simu ni ya Milion Moja?? Maana gari ni easy kwa kuwa ni Kubwa, Na kuna utaratibu maalumu wa kuingiza gari na kutumia nchini. SImu kwa asili yake mtu anaweza akawa amepewa zawadi, au akaingia nayo kama vile anaitumia, etc sasa kwakuwa nyingi hazitakuwa na document za Purchase na information za value.
Ni idea yenye lengo zuri, lakini implementation yake haijanyooka kama ulivyoeleza.
NI wewe Ndo umesema, Na mimi naweza kusema kwamba inauzwa Laki 7;ni criteria gani imetumika kujua hiyo bei?
Hivi dona bado ni chakula cha kuliwa na binadamu?Mawazo baada ya kushiba dona.
Tutaenda dukani kuuliza, as simple as thatNI wewe Ndo umesema, Na mimi naweza kusema kwamba inauzwa Laki 7;