Napinga ACT-Wazalendo kushiriki kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) huko Zanzibar

Wamewaangusha wafuasi wao ! Sababu ya ulaji....
 
soon taarifa itakuwa "kamati kuu cdm yawasamehe mdee na wenzake,waendelea na ubunge wao kama kawaida,erthrocyte azimia,Bak na bujibuji watoroka jamii forum "😂😂😂😂😂😂😂😂

Wanaweza kuamua hivyo, lakini wajue rasmi hatutajitokeza tena kupiga kura. Tulikuwa tunangoja tu juzi wakosee wawapitishe hao wabunge wahuni.
 
Wanaweza kuamua hivyo, lakini wajue rasmi hatutajitokeza tena kupiga kura. Tulikuwa tunangoja tu juzi wakosee wawapitishe hao wabunge wahuni.
mkuu uvumulie tu hizi ndio siasa za hapa tz , hamna namna😡
 
Ujinga walioufanya Act wazalendo ni wa kipumbafu sana , hawana sababu zozote za maana zaidi ya kuendekeza njaa , ndio maana midka yote Maalim Seif Sharifu Hamad anashinda anapigwa chini Kisha anapewa mpunga ananyamaza hizi habari zitakuwa za kweli kwa uamuzi huu wa kipuuzi .
 
Sasa maalim ndio mwaka wake wa mwisho huu mnataka afe njaa?bora amalizie akistaafu awe na mzigo na heshma yake ibaki pale pale
Act kama act hawakutaka ila maalim alitaka sa na na kimetokea alichotaka kimoyomoyo
 
ABDUL NONDO ANAKUNYA UHARO TWITA ETI WANAKWENDA suk KLIPONYA TAIFA! UNALIPONYA TAIFA KWA KUBARIKI MAUAJI, WIZI, UKATILI...
 
Mbowe amekuzalisha akaacha kumtunza mtoto ?!.
Pole sana mkuu hizi ndio siasa usipate hasira sana,!

Kila siku tunawaonya acheni kuweka matumaini yenu kwa wchumia tumbo hao, unaona sasa ulivyo na stress
 
Waache waoane
 
Mkuu tupowe wote. Pili naomba nitowe tawire kwako kama mkuu mwenzangu. Leo Mimi amepanda kichwani Bi kirembo. Nadhani utanielewa.

Haya mambo hayataki jazba yanataka utulivu

Tokea mwanzo binafsi nilishasema ACT washiriki SUK ikiwa uchaguzi hautarejewa. Maoambano yana sura nyingi na in lazima yaendelee kwa njia tofauti

Kwanza ifahamike ACT haiko kwenye maridhiano na CCM, IPO pale kikatiba licha ya uchafu uliofanywa. Sio hisani. Kitendo cha CCM kukataa dhana ya maridhiano kabla ya kuunda serikali kunaipa Uhuru ACT kama chama kuendelea na mipango take.

Pili mazingira ya Zanzibar in ya kipekee na yanahitaji busara na maono. Ajenda za Zanzibar hazifikiwi kwa kususia kila kitu. Kunahitajika multiple approaches. Wazanzibari kwenye mapambano ya kisiasa hawafanani na yoyote Tanzania hii. ACT INA bahati kwa sasa kuungwa mkono na wazanzibari. Hawa kwa kuwa wana ajenda yoyote watakayemkubali basis huyo atazimudu siasa. Yamepita mengi na in wazanzibari tu ambao hupata maafa zaidi kuliko wengine kila uchaguzi.

Kama in kususa hawa in wazoefu, kama in kuandamana hawa ni mabingwa, kama ni kuuwawa hawa ni wengi yamewakuta, kuteswa, kunajisiwa n.k. hapa tusiitizame ACT na Zitto tu, tuwatazame wazanzibari ambao kwa sasa wanaiunga mkono ACT. Hawapaswi kudharauliwa ACT kwa kutanguliza maslahi ya wazanzibari ambao ni wahanga was siasa, Bali tuwatie moyo waendeleze mapambano ndani na nje. Kwa hili worry not, naamini chombo kina manahodha hodari.

Tatu hakuna ambacho hakijafanyika. Huko nyuma wazanzibari wamegoma na kususa sana. Kuonesha kwamba Zanzibar chapter inajitegemea kuhusu ajenda, wakati huko nyuma wanasusa na kugomea, bara ilikuwa shwari hata wazo LA kugoma halikuwepo na vyama vikiwaacha wazanzibari peke yao. Hoja hapa ni kwamba wasihukumiwe kwa hili ilimradi mbinu za mapambano zinatofautiana kutokana na wakati, eneo na fursa. Zanzibar kuna fursa japo dhaifu.

Hapa hakutaki shutuma, kunataka utulivu ili usipoteze game.
 
Eleza kwa ku relax Mkuu tunakuelewa, wala usikaze saana
 
Pole sana mkuu hizi ndio siasa usipate hasira sana,!

Kila siku tunawaonya acheni kuweka matumaini yenu kwa wchumia tumbo hao, unaona sasa ulivyo na stress
Sasa kama ni wachumia tumbo, mbona mnafanya usajili huko na kuwagawia vyeo ?!. Angekuwa mchumia tumbo mngemharibia vitega uchumi vyake ?!.

Kama hujui Ccm ndiyo haiwezi kuwa hai nje ya madaraka. Ndiyo iliyojaza wanafiki na wachumia tumbo
 
Sasa kama ni wachumia tumbo, mbona mnafanya usajili huko na kuwagawia vyeo ?!. Angekuwa mchumia tumbo mngemharibia vitega uchumi vyake ?!.

Kama hujui Ccm ndiyo haiwezi kuwa hai nje ya madaraka. Ndiyo iliyojaza wanafiki na wachumia tumbo
Hii michezo wewe bado mdogo sana kuielewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…