Napinga ACT-Wazalendo kushiriki kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) huko Zanzibar

Wanaweza kuamua hivyo, lakini wajue rasmi hatutajitokeza tena kupiga kura. Tulikuwa tunangoja tu juzi wakosee wawapitishe hao wabunge wahuni.
🤣🤣

Kaza roho mkuu Tindo.....
Kamanda hakati tamaa katika uwanja wa mapambano....

Peeeeopleeeeeees.....
 
Nakuonyaga lakini kichwa ngumu, sasa unaumia bure
 
Wangefanyaje
 
Upinge usipinge haisaidii kitu zaidi ya kujifurahisha nyuma ya keyboard, ushauri wangu jikite kugawana mbao za mtumbwi unaozama(chadema)
 
Ndio maana MWANASIASA mh.Kikwete akasema "akili za kuambiwa...changanya na zako...mbayuwayu weee......"

Boutrous Boutrous Ghali alishapata kusema "ni mtu mjinga tu huwa anang'ang'ana na kila kitu...."

Ikiwa WATUTSI NA WAHUTU walikalishwa mezani baada ya GENOCIDE....na kuamua KUANZA MOJA itakuwa WANASIASA HAWA WA VYAMA VIWILI VYA ACT NA CCM?!!!

Think Thrice
 
Maamuzi ya kuunda SUK (GNU) 2010 ni kwaajili ya kuilinda Zanzibar sio CCM,CUF wala ACT. Kama hujaelewa hapo ikifika siasa ya Zanzibar tafuta popcorn ule huu mchezo ni mkubwa kwako kuelewa.

NDIO KWA GNU
NDIO KWA ZANZIBAR
Salamu ziwafikie 23 majaliwa suluhu na boss wake
 
Na bado, hata chadema soon wanakula matapishi yao wale madem wao wa viti maalaumu wanaowafanyia maigizo utaskia wamekaa wameyamaliza 😀😀
 
Acha kutupotezea muda tafadhali kwani pengine Tanzania nzima ulibakia peke yako tu kujua kuwa Maalim na Mwami ni 'Vinara' Wakuu wa Unafiki.
 
Kamanda anajaribu kupost porojo zake ili aonekane bado yuko relevant baada lissu kuangukia pua 🤓
nifanye kama unavyodhani wewe ili iweje ? hivi mimi ni wa kutafuta nini hapa jf na ili inisaidie kitu gani ? kama huna hoja Just Shut up
 
Hawa watu nadhani hawajui wanapigania nini! Uchafuzi wote huo, leo wanaungana na wauaji wao kufanya kazi!
Dah.... kikawaida vita vya kisiasa huwa na malengo tofauti tofauti...na ni vita vyenye malengo binafsi hasa kwa wanasiasa....wengine wanapigania madaraka....wengine hali nzuri ya maisha...wengine ukorofi tu...
Sasa kila mmoja akipata anachokitaka basi vita huishia hapo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…