Napinga Dkt. Harrison Mwakyembe kuwa Mwenyekiti wa Tume ya kuchunguza kufeli kwa wanafunzi wengi wa Law School

Nimesoma weeeee !! lakini sijaelewa ulichoandika yaani !
 
Mwaisa hana credibility.

Hata hivyo lengo la hizi tume za uchunguzi katika mifumo ya serikali sio kupata majibu au ukweli uliojificha.....

....bali ni kuzima mjadala kwa kuonesha kuwa serikali imechukua hatua.

Mnaibiwa ndugu wadanganyika.
Kuna tetesi kwamba hizi tume za uongo zisizo na majibu ndio zitakazoangusha serikali yao
 
Naunga hoja mkono. Lakini huenda jamaa walivyompukutisha unga wakati ule safari hii atakuwa mkweli.
 
Mwanafunzi aliyefaulu sio aliyefeli
 
Duuh acha wapambane na hali yao kama mazombi vile
 
Hiyo imetokea marekani mwezi huu, prof. Anayehusika na somo alitimuliwa kazi.
 
Lakini kweli, mtu usome digirii zote nne alafu kilaza mmoja akugonge swali kifala tu kisa we mbunge
 
Alile kaakoooooo
 

Nakujibu hivi: Kwanza siyo kweli kuwa mchele wa Kyela ndiyo mchele mtamu duniani. Mchele wa Kyela ya sasa hovi ni kati ya michele ya ovyo sana duniani maana unapandwa kwa kurumia mbolea za chumvi chumvi, kama unabisha njoo hapa mimi nipo Kyela.

Pili kwa kutokumwamini Dr Mwakyembe kwa sababu ulizozitoa inaonesha kabisa wewe ni mmoja wa hao waliofeli mtihani huo maana sababu ulizozitoa za kumkataa Dr aliyebobea katika sheria tena aliuesoma wakati ule na siyo wa sasa, hazina mashiko yoyote!

Uzuri ni kwamba hata kama unapinga uteuzi wake, yeye tayari yupo kazini tunachosubiri ni ripoti yake na tume yake!
 

Bajeti haitoshi, hao hao wanatosha!
 

Nakupa heko! Umeongea point tupu! Hongera sana, nilitaka nichangie hivyo hivyo ila umeshamaliza aisee!
 

Nje wapi, Burundi!
 
Kuna tetesi kwamba hizi tume za uongo zisizo na majibu ndio zitakazoangusha serikali yao

Hizo tetesi za kuangusha serikali zipo tangu 1995 lakini cha ajabu hakuna aliyewahi kuiangusha serikali hadi karne ijayo hata kwa mtalimbo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…