Napinga fainali ya FA kufanyika Zanzibar, Kisoka Zanzibar ni Nchi nyingine wala haina timu kwenye michuano hiyo

Napinga fainali ya FA kufanyika Zanzibar, Kisoka Zanzibar ni Nchi nyingine wala haina timu kwenye michuano hiyo

View attachment 2996920

Kuipeleka fainali ya FA Zanzibar ni sawa na kuipeleka fainali hiyo Kenya, Somalia ama Uganda, hakuna timu yoyote kwenye Nchi ya Zanzibar inayosimamiwa na TFF kama zilivyo Nchi nilizozitaja

Wala hakuna sababu yoyote ile iwe ya kijinga au ya maana ya kupeleka fainali hiyo Zanzibar

Sisi wapenda soka wa Tanganyika tuliojiandaa kwenda viwanja vya Tanganyika kuangalia fainali hiyo hatutakubali na kuna mpango wa kwenda Mahakamani kuzuia jambo hilo haramu.

Rais wa TFF hana Mamlaka yoyote ile ya kuamua kuliendesha soka la Tanzania atakavyo yeye kwa sheria za mfukoni mwake

Ni kweli kwamba sisi ni Wajinga lakini siyo Wajinga kiasi hicho.
Nakuunga mguu
 
Karia anajipendekeza kwa mama kiz mkaazi...apewe 4 mingine.....katiba TFF iheshimiwe
 
Muda utaongea nini we Mukya? Usiwe mjuaji kwenye kila jambo na kupinga pinga tu.
Joined 15 May 2024, labda ndio maana huna adabu, Sheria za jf zinakataza kutaja majina ya watu, halafu mbaya zaidi wewe umetaja uongo.
Mnatakiwa kuzijua sheria za jf kabla hamjaanza kuandika upumbavu
 
Kupitia uzi huu nimegundua kuwa watanganyika ni watu wanalazimisha muungano wakati wazanzibar hawautaki. Wazanzibar wakija bara hakuna masharti na wanaishi vizuri tu ila mtanganyika akienda Zanzibar unakutana na ubaguzi. Watanganyika ni full kujipendekeza kwa wazanzibar huu ni ujinga mwingine.
 
Inasikitisha sana
 
Erythropoietin leo umeongea kitu cha msingi sana. Katika hili nakuunga mkono ni ujinga tu ndio unaliongoza soka letu! Ina Tanganyika yote wamekosa kiwanja cha kuipeleka hiyo fainali? Tena fanyeni haraka kwenda mahakamani! Upumbavu mtupu!
 
Naona hakuna shida sana kama TFF wameona wana maslahi ya kifedha wakipeleka hiyo final huko ughaibuni Zanzibar.

Nchi za wenzetu makombe kama haya final zinaweza kuchezwa nje ya nchi. Mfano Egypt FA final kwa mwaka jana 2023, ilifanyika uwanja wa Al Awwal uliko Riyadh huko Saudi Arabia.

Hii inasaidia maslahi ya kifedha lakini pia kujenga ushawishi wa timu za Egypt huko Uarabuni penisula

So kwa maoni yangu ni sawa hizi final kufanyika Zanzibar ili kujenga ushawishi wa timu za Tanganyika huko Zanzibar lakini pia kusadia vilabu vyetu kimaslahi.
 
ZANZIBAR WANA KATIBA YAO HUKU NI KUJIPENDEKEZA
Katiba ya Zanzibar haina tofauti na Katiba ya Yanga au Simba au Katiba ya SACCOS yoyote ile. Dola ni Tanzania na ndo nchi. Zanzibar ka Mkoa wenye upendeleo kama wa mtoto wa kike.
 
Lakini pia Kwa maslahi ya Mapato Babati isingekuwa sehemu sahihi maana uwanja wa Babati hauna hata jukwaa la kukaa mashabiki.
 
Zanzibar ni Tanzania mkuu, Unasemaje Zanzibar ni kama Kenya hivi Wachezaji wa Zanzibar wanaochezea bara ni wachezaji wa ndani au wa nje?.

Mihemko tu na chuki binafsi
Zanzibar wana Zanzibar football Association (ZFA) kwanini hii TFF isifanye kazi kote kote kama kuna muungano uliokamilika?

Wachezaji wa Zanzibar wanaocheza bara wanacheza kisiasa tu, kwani inapotajwa kikosi cha Taifa stars huishia kuchukua wachezaji wanaoshiriki tu ligi kuu ya Tanzania bara?
 
View attachment 2996920

Kuipeleka fainali ya FA Zanzibar ni sawa na kuipeleka fainali hiyo Kenya, Somalia ama Uganda, hakuna timu yoyote kwenye Nchi ya Zanzibar inayosimamiwa na TFF kama zilivyo Nchi nilizozitaja...
Mambo ya mpira hayapingwi mahakamani ijapokuwa hata mm sijapenda nilitaka Mwanza ccm kilumba
 
Back
Top Bottom