Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #21
swadaktaZanzibar ni nchi na ina shirikisho lake la mpira wa miguu, hivyo TFF kupeleka mashindano Zanzibar ni ujuha na kujipendekeza kusiko na mfano!
Tanganyika kumejaa watu mafala wengi sana!
Ni aibu sanaKaria anajipendekeza tu, mechi tangu preliminary round zimefanyika Bara,halafu fainal inapelekwa nje ya mipaka ya mpira wetu
Nakuunga mguuView attachment 2996920
Kuipeleka fainali ya FA Zanzibar ni sawa na kuipeleka fainali hiyo Kenya, Somalia ama Uganda, hakuna timu yoyote kwenye Nchi ya Zanzibar inayosimamiwa na TFF kama zilivyo Nchi nilizozitaja
Wala hakuna sababu yoyote ile iwe ya kijinga au ya maana ya kupeleka fainali hiyo Zanzibar
Sisi wapenda soka wa Tanganyika tuliojiandaa kwenda viwanja vya Tanganyika kuangalia fainali hiyo hatutakubali na kuna mpango wa kwenda Mahakamani kuzuia jambo hilo haramu.
Rais wa TFF hana Mamlaka yoyote ile ya kuamua kuliendesha soka la Tanzania atakavyo yeye kwa sheria za mfukoni mwake
Ni kweli kwamba sisi ni Wajinga lakini siyo Wajinga kiasi hicho.
Karia anajipendekeza kwa mama kiz mkaazi...apewe 4 mingine.....katiba TFF iheshimiweView attachment 2996920
Kuipeleka fainali ya FA Zanzibar ni sawa na kuipeleka fainali hiyo Kenya, Somalia ama Uganda, hakuna timu yoyote kwenye Nchi ya Zanzibar inayosimamiwa na TFF kama zilivyo Nchi nilizozitaja
Wala hakuna sababu yoyote ile iwe ya kijinga au ya maana ya kupeleka fainali hiyo Zanzibar
Sisi wapenda soka wa Tanganyika tuliojiandaa kwenda viwanja vya Tanganyika kuangalia fainali hiyo hatutakubali na kuna mpango wa kwenda Mahakamani kuzuia jambo hilo haramu.
Rais wa TFF hana Mamlaka yoyote ile ya kuamua kuliendesha soka la Tanzania atakavyo yeye kwa sheria za mfukoni mwake
Ni kweli kwamba sisi ni Wajinga lakini siyo Wajinga kiasi hicho.
Joined 15 May 2024, labda ndio maana huna adabu, Sheria za jf zinakataza kutaja majina ya watu, halafu mbaya zaidi wewe umetaja uongo.Muda utaongea nini we Mukya? Usiwe mjuaji kwenye kila jambo na kupinga pinga tu.
HatutakubaliKaria anajipendekeza kwa mama kiz mkaazi...apewe 4 mingine.....katiba TFF iheshimiwe
Anavunja barafuKaria anajipendekeza kwa mama kiz mkaazi...apewe 4 mingine.....katiba TFF iheshimiwe
Hilo ni jambo lingineZanzibar ni Tanzania mkuu, Unasemaje Zanzibar ni kama Kenya hivi Wachezaji wa Zanzibar wanaochezea bara ni wachezaji wa ndani au wa nje?.
Mihemko tu na chuki binafsi
Inasikitisha sanaKupitia uzi huu nimegundua kuwa watanganyika ni watu wanalazimisha muungano wakati wazanzibar hawautaki. Wazanzibar wakija bara hakuna masharti na wanaishi vizuri tu ila mtanganyika akienda Zanzibar unakutana na ubaguzi. Watanganyika ni full kujipendekeza kwa wazanzibar huu ni ujinga mwingine.
Katiba ya Zanzibar haina tofauti na Katiba ya Yanga au Simba au Katiba ya SACCOS yoyote ile. Dola ni Tanzania na ndo nchi. Zanzibar ka Mkoa wenye upendeleo kama wa mtoto wa kike.ZANZIBAR WANA KATIBA YAO HUKU NI KUJIPENDEKEZA
Zanzibar wana Zanzibar football Association (ZFA) kwanini hii TFF isifanye kazi kote kote kama kuna muungano uliokamilika?Zanzibar ni Tanzania mkuu, Unasemaje Zanzibar ni kama Kenya hivi Wachezaji wa Zanzibar wanaochezea bara ni wachezaji wa ndani au wa nje?.
Mihemko tu na chuki binafsi
Mambo ya mpira hayapingwi mahakamani ijapokuwa hata mm sijapenda nilitaka Mwanza ccm kilumbaView attachment 2996920
Kuipeleka fainali ya FA Zanzibar ni sawa na kuipeleka fainali hiyo Kenya, Somalia ama Uganda, hakuna timu yoyote kwenye Nchi ya Zanzibar inayosimamiwa na TFF kama zilivyo Nchi nilizozitaja...