Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hawa ni wadhamini wa Yanga na kiukweli ndio wamiliki wa Yanga, sasa hii habari kwamba wanaingia mkataba na NBC wa Ushirikiano wa kuendesha ligi kuu ni pigo kubwa sana kwa timu zingine.
Hii ni kwa sababu hawa GSM ni wafia Yanga ambao wako tayari kufanya lolote ili kuibeba Yanga, hawa kwa namna yoyote hawapaswi kudhamini ligi hii, najua kuna baadhi yenu mtasema mbona Azam kadhamini mambo mengi kwenye soka, ni hivi msiifananishe Azam na GSM, hawa GSM ni watu wa mipango ya muda mrefu ya kuibeba Yanga tu, hawawezi kukubali timu nyingine iinuke.
Halafu hawa NBC mbona ni mapema sana kuchemsha, imekuwaje fasta tu waombe kolabo?
Naanza kuutilia shaka mpango huu na naamini hata TFF hawakuujua.