Napinga GSM kuingia mkataba na NBC ili kuendesha ligi kuu ya soka Tanzania

Napinga GSM kuingia mkataba na NBC ili kuendesha ligi kuu ya soka Tanzania

Inaonekana kama vile NBC alipewa fedha za udhamini na GSM.Benki yenyewe naona ni mdebwedo,
Siyo kweli! NBC kaweka mzigo wa uhakika na kila mhusika karidhia na karidhika nao; tofauti na GSM, ambaye kaweka mzigo wa kitoto kwa nia ya kujitangaza yeye zaidi badala ya kuvinufaisha vilabu vyetu. Hivi mzigo wa 2.1b/= alioweka ni wa miaka mingapi! Nikipata jibu sahihi, then nitashusha mahesabu kuonesha "utoto" wa huo udhamini wa GSM! Na wote mtashangaa na hatimaye kukubalina na hao waliogoma kuvaa hichi kinembo cha GSM kwenye level moja na NBC! Nasubiri.
 
Back
Top Bottom