Napinga GSM kuingia mkataba na NBC ili kuendesha ligi kuu ya soka Tanzania

Kwa ufala uliofanyika juzi pale ilulu, tutarajie kuona mengi, binafsi maji yakizidi unga naachana kabisa na ushabiki wenyewe naanza kuangalia game za mbele tu ..
Hapo hapo Ilulu....zilicheza timu za GSM
 
Hawa ni wadhamini wa Yanga na kiukweli ndio wamiliki wa Yanga, sasa hii habari kwamba wanaingia mkataba na NBC wa Ushirikiano wa kuendesha ligi kuu ni pigo kubwa sana kwa timu zingine.

Hii ni kwa sababu hawa GSM ni wafia Yanga ambao wako tayari kufanya lolote ili kuibeba Yanga, hawa kwa namna yoyote hawapaswi kudhamini ligi hii, najua kuna baadhi yenu mtasema mbona Azam kadhamini mambo mengi kwenye soka, ni hivi msiifananishe Azam na GSM, hawa GSM ni watu wa mipango ya muda mrefu ya kuibeba Yanga tu, hawawezi kukubali timu nyingine iinuke.

Halafu hawa NBC mbona ni mapema sana kuchemsha, imekuwaje fasta tu waombe kolabo?

Naanza kuutilia shaka mpango huu na naamini hata TFF hawakuujua.
We jinga kweli, umesikia wapi Yanga inamilikiwa na GSM? nyie kama mmeamua kuuza timu yenu kwa mudi mtulie mmilikiwe.

Kwa Young African huo upuuzi noo.
GSM ni mdhamini tuu.
 
Hawa ni wadhamini wa Yanga na kiukweli ndio wamiliki wa Yanga, sasa hii habari kwamba wanaingia mkataba na NBC wa Ushirikiano wa kuendesha ligi kuu ni pigo kubwa sana kwa timu zingine.

Hii ni kwa sababu hawa GSM ni wafia Yanga ambao wako tayari kufanya lolote ili kuibeba Yanga, hawa kwa namna yoyote hawapaswi kudhamini ligi hii, najua kuna baadhi yenu mtasema mbona Azam kadhamini mambo mengi kwenye soka, ni hivi msiifananishe Azam na GSM, hawa GSM ni watu wa mipango ya muda mrefu ya kuibeba Yanga tu, hawawezi kukubali timu nyingine iinuke.

Halafu hawa NBC mbona ni mapema sana kuchemsha, imekuwaje fasta tu waombe kolabo?

Naanza kuutilia shaka mpango huu na naamini hata TFF hawakuujua.
Yaani mwenyewe umekaa umefikiri weee ukaona hili ndiyo bonge la issue la kutuambia. Kweli we kiazi
 
Hakuna lolote hapo zaidi ya kupunguza makali ya kushindwa kesi ya B.M,gsm ni makanjanja kama walivyo wengine
Kama. Akili ziko kichwani kweli, Yani ml. 12.ni mshahara wa Farid Mussa. Sasa tuhangaike Nini? Mkataba huu ulishasainiwa siku nyingi, Leo ndo unarasimishwa. Sasa kushinda au kushindwa katika Kesi yoyote si kawaida?
 
Hawa ni wadhamini wa Yanga na kiukweli ndio wamiliki wa Yanga, sasa hii habari kwamba wanaingia mkataba na NBC wa Ushirikiano wa kuendesha ligi kuu ni pigo kubwa sana kwa timu zingine.

Hii ni kwa sababu hawa GSM ni wafia Yanga ambao wako tayari kufanya lolote ili kuibeba Yanga, hawa kwa namna yoyote hawapaswi kudhamini ligi hii, najua kuna baadhi yenu mtasema mbona Azam kadhamini mambo mengi kwenye soka, ni hivi msiifananishe Azam na GSM, hawa GSM ni watu wa mipango ya muda mrefu ya kuibeba Yanga tu, hawawezi kukubali timu nyingine iinuke.

Halafu hawa NBC mbona ni mapema sana kuchemsha, imekuwaje fasta tu waombe kolabo?

Naanza kuutilia shaka mpango huu na naamini hata TFF hawakuujua.
Kwenye upande wa mpira wewe ni mbumbumbu na dhalimu kama mwendazake
 
GSM wahuni wale, walishindwa kuwaamini TFF kwenye kesi ya Morisson sasa wanajisafisha.
 
Tuwapokee tu,wameleta hela kwenye ligi,hela zifikie vilabu na wachezaji wanufaike,inaongoza ushindani kwa timu na ligi kwa ujumla
Ushindani upi huo chief wakati juzi tu kuna wanaume walipambana kikundi cha wahuni kikapewa tuta la mchongo.
 
Hawa ni wadhamini wa Yanga na kiukweli ndio wamiliki wa Yanga, sasa hii habari kwamba wanaingia mkataba na NBC wa Ushirikiano wa kuendesha ligi kuu ni pigo kubwa sana kwa timu zingine.

Hii ni kwa sababu hawa GSM ni wafia Yanga ambao wako tayari kufanya lolote ili kuibeba Yanga, hawa kwa namna yoyote hawapaswi kudhamini ligi hii, najua kuna baadhi yenu mtasema mbona Azam kadhamini mambo mengi kwenye soka, ni hivi msiifananishe Azam na GSM, hawa GSM ni watu wa mipango ya muda mrefu ya kuibeba Yanga tu, hawawezi kukubali timu nyingine iinuke.

Halafu hawa NBC mbona ni mapema sana kuchemsha, imekuwaje fasta tu waombe kolabo?

Naanza kuutilia shaka mpango huu na naamini hata TFF hawakuujua.
Ndugu yangu wewe huwa unapinga kila kitu.
Nimekufuatilia kila mahali unachoandika ni kupinga tu. Siyo kwenye mahusiano,siyo kule Celebrities,siyo kwenye siasa,na huku tena wewe ni kupinga tu.

Kingine nilichokigundua,wewe ni mwana CHADEMA,yaani hiyo nayo inakufanya upinge kila kitu.
Tatizo ni,mara nyingi unabisa usivyovijua.

Ni hivi,GSM hajaingia mkataba wa ushirikiano na NBC. NBC hajachemsha kudhamini ligi.
GSM ameingia mkataba na TFF wa kuwa mdhamini mwenza.

Msimu uliopita alikua ni Vodacom na KCB kama sikosei.
Leo,wakati wa utiaji saini,hapakua na muwakilishi yeyote kutoka NBC,bali TFF na GSM tu.

Azam pia ni mdhamini mwenza wa NBC,wakati NBC ndiyo mzamini mkuu wa ligi.
Azam anadhamini kwa haki ya matangazo.
Suala la Azam kudhamini ligi kwa haki ya matangazo,hakuingiliani kabisa na yeye kua na timu katika ligi. Timu ina management yake,na kampuni ina management yake.

Kadhalika kwa Yanga na GSM.

Hivyo,kabla ya kubisha au kupinga,elewa kwanza.
Hata Mo kesho akienda TFF na mo 29 sabuni za gest akasema anaweka mzigo,hatokataliwa.

NB: Azam pia ni mdhamini mkuu wa kombe la shirikisho(A C C),ni timu yake huwa inashiriki na inakula za uso kawaida tu.
 
Hawa ni wadhamini wa Yanga na kiukweli ndio wamiliki wa Yanga, sasa hii habari kwamba wanaingia mkataba na NBC wa Ushirikiano wa kuendesha ligi kuu ni pigo kubwa sana kwa timu zingine.

Hii ni kwa sababu hawa GSM ni wafia Yanga ambao wako tayari kufanya lolote ili kuibeba Yanga, hawa kwa namna yoyote hawapaswi kudhamini ligi hii, najua kuna baadhi yenu mtasema mbona Azam kadhamini mambo mengi kwenye soka, ni hivi msiifananishe Azam na GSM, hawa GSM ni watu wa mipango ya muda mrefu ya kuibeba Yanga tu, hawawezi kukubali timu nyingine iinuke.

Halafu hawa NBC mbona ni mapema sana kuchemsha, imekuwaje fasta tu waombe kolabo?

Naanza kuutilia shaka mpango huu na naamini hata TFF hawakuujua.
Wanaingia mkataba na bodi ya ligi sio NBC. Hii basic fact haiko sawa na mengineyo uliyoandika hayana maana
 
Ndugu yangu wewe huwa unapinga kila kitu.
Nimekufuatilia kila mahali unachoandika ni kupinga tu. Siyo kwenye mahusiano,siyo kule Celebrities,siyo kwenye siasa,na huku tena wewe ni kupinga tu.

Kingine nilichokigundua,wewe ni mwana CHADEMA,yaani hiyo nayo inakufanya upinge kila kitu.
Tatizo ni,mara nyingi unabisa usivyovijua.

Ni hivi,GSM hajaingia mkataba wa ushirikiano na NBC. NBC hajachemsha kudhamini ligi.
GSM ameingia mkataba na TFF wa kuwa mdhamini mwenza.

Msimu uliopita alikua ni Vodacom na KCB kama sikosei.
Leo,wakati wa utiaji saini,hapakua na muwakilishi yeyote kutoka NBC,bali TFF na GSM tu.

Azam pia ni mdhamini mwenza wa NBC,wakati NBC ndiyo mzamini mkuu wa ligi.
Azam anadhamini kwa haki ya matangazo.
Suala la Azam kudhamini ligi kwa haki ya matangazo,hakuingiliani kabisa na yeye kua na timu katika ligi. Timu ina management yake,na kampuni ina management yake.

Kadhalika kwa Yanga na GSM.

Hivyo,kabla ya kubisha au kupinga,elewa kwanza.
Hata Mo kesho akienda TFF na mo 29 sabuni za gest akasema anaweka mzigo,hatokataliwa.

NB:Azam pia ni mdhamini mkuu wa kombe la shirikisho(A C C),ni timu yake huwa inashiriki na inakula za uso kawaida tu.
Hakuna ambacho sikijui ila wewe ndio hujanielewa
 
Back
Top Bottom