Mwanamaji
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,905
- 4,518
Duuh, mbinguni tutafika tumechoka sana. Haya sawa mkuu, tuendelee kuishiNi kweli kila ulichoandika isipokuwa huna jicho la 3
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh, mbinguni tutafika tumechoka sana. Haya sawa mkuu, tuendelee kuishiNi kweli kila ulichoandika isipokuwa huna jicho la 3
Hapo hapo Ilulu....zilicheza timu za GSMKwa ufala uliofanyika juzi pale ilulu, tutarajie kuona mengi, binafsi maji yakizidi unga naachana kabisa na ushabiki wenyewe naanza kuangalia game za mbele tu ..
Kilitokea Nini aseeKwa ufala uliofanyika juzi pale ilulu, tutarajie kuona mengi, binafsi maji yakizidi unga naachana kabisa na ushabiki wenyewe naanza kuangalia game za mbele tu ..
We jinga kweli, umesikia wapi Yanga inamilikiwa na GSM? nyie kama mmeamua kuuza timu yenu kwa mudi mtulie mmilikiwe.Hawa ni wadhamini wa Yanga na kiukweli ndio wamiliki wa Yanga, sasa hii habari kwamba wanaingia mkataba na NBC wa Ushirikiano wa kuendesha ligi kuu ni pigo kubwa sana kwa timu zingine.
Hii ni kwa sababu hawa GSM ni wafia Yanga ambao wako tayari kufanya lolote ili kuibeba Yanga, hawa kwa namna yoyote hawapaswi kudhamini ligi hii, najua kuna baadhi yenu mtasema mbona Azam kadhamini mambo mengi kwenye soka, ni hivi msiifananishe Azam na GSM, hawa GSM ni watu wa mipango ya muda mrefu ya kuibeba Yanga tu, hawawezi kukubali timu nyingine iinuke.
Halafu hawa NBC mbona ni mapema sana kuchemsha, imekuwaje fasta tu waombe kolabo?
Naanza kuutilia shaka mpango huu na naamini hata TFF hawakuujua.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28],usimfanyie hivyo.Kumbe kwenye soka weweni wa kutupwa dustbin tu
Yaani mwenyewe umekaa umefikiri weee ukaona hili ndiyo bonge la issue la kutuambia. Kweli we kiaziHawa ni wadhamini wa Yanga na kiukweli ndio wamiliki wa Yanga, sasa hii habari kwamba wanaingia mkataba na NBC wa Ushirikiano wa kuendesha ligi kuu ni pigo kubwa sana kwa timu zingine.
Hii ni kwa sababu hawa GSM ni wafia Yanga ambao wako tayari kufanya lolote ili kuibeba Yanga, hawa kwa namna yoyote hawapaswi kudhamini ligi hii, najua kuna baadhi yenu mtasema mbona Azam kadhamini mambo mengi kwenye soka, ni hivi msiifananishe Azam na GSM, hawa GSM ni watu wa mipango ya muda mrefu ya kuibeba Yanga tu, hawawezi kukubali timu nyingine iinuke.
Halafu hawa NBC mbona ni mapema sana kuchemsha, imekuwaje fasta tu waombe kolabo?
Naanza kuutilia shaka mpango huu na naamini hata TFF hawakuujua.
Kama. Akili ziko kichwani kweli, Yani ml. 12.ni mshahara wa Farid Mussa. Sasa tuhangaike Nini? Mkataba huu ulishasainiwa siku nyingi, Leo ndo unarasimishwa. Sasa kushinda au kushindwa katika Kesi yoyote si kawaida?Hakuna lolote hapo zaidi ya kupunguza makali ya kushindwa kesi ya B.M,gsm ni makanjanja kama walivyo wengine
Kwenye upande wa mpira wewe ni mbumbumbu na dhalimu kama mwendazakeHawa ni wadhamini wa Yanga na kiukweli ndio wamiliki wa Yanga, sasa hii habari kwamba wanaingia mkataba na NBC wa Ushirikiano wa kuendesha ligi kuu ni pigo kubwa sana kwa timu zingine.
Hii ni kwa sababu hawa GSM ni wafia Yanga ambao wako tayari kufanya lolote ili kuibeba Yanga, hawa kwa namna yoyote hawapaswi kudhamini ligi hii, najua kuna baadhi yenu mtasema mbona Azam kadhamini mambo mengi kwenye soka, ni hivi msiifananishe Azam na GSM, hawa GSM ni watu wa mipango ya muda mrefu ya kuibeba Yanga tu, hawawezi kukubali timu nyingine iinuke.
Halafu hawa NBC mbona ni mapema sana kuchemsha, imekuwaje fasta tu waombe kolabo?
Naanza kuutilia shaka mpango huu na naamini hata TFF hawakuujua.
NBC ni mdhamini mkuu, kampuni nyingine yoyote inaweza kuwa mdhamini mwenza.
Umenipa jina la Mwendazake hadi nimetetemeka , usinifanyie hivyo mkuuKwenye upande wa mpira wewe ni mbumbumbu na dhalimu kama mwendazake
Mkuu sijakupa jina la mwendazake bali nmekufananisha na yule sadist au inshort wewe kwenye soka ni kama mataga tuUmenipa jina la Mwendazake hadi nimetetemeka , usinifanyie hivyo mkuu
Ushindani upi huo chief wakati juzi tu kuna wanaume walipambana kikundi cha wahuni kikapewa tuta la mchongo.Tuwapokee tu,wameleta hela kwenye ligi,hela zifikie vilabu na wachezaji wanufaike,inaongoza ushindani kwa timu na ligi kwa ujumla
Ndugu yangu wewe huwa unapinga kila kitu.Hawa ni wadhamini wa Yanga na kiukweli ndio wamiliki wa Yanga, sasa hii habari kwamba wanaingia mkataba na NBC wa Ushirikiano wa kuendesha ligi kuu ni pigo kubwa sana kwa timu zingine.
Hii ni kwa sababu hawa GSM ni wafia Yanga ambao wako tayari kufanya lolote ili kuibeba Yanga, hawa kwa namna yoyote hawapaswi kudhamini ligi hii, najua kuna baadhi yenu mtasema mbona Azam kadhamini mambo mengi kwenye soka, ni hivi msiifananishe Azam na GSM, hawa GSM ni watu wa mipango ya muda mrefu ya kuibeba Yanga tu, hawawezi kukubali timu nyingine iinuke.
Halafu hawa NBC mbona ni mapema sana kuchemsha, imekuwaje fasta tu waombe kolabo?
Naanza kuutilia shaka mpango huu na naamini hata TFF hawakuujua.
Wanaingia mkataba na bodi ya ligi sio NBC. Hii basic fact haiko sawa na mengineyo uliyoandika hayana maanaHawa ni wadhamini wa Yanga na kiukweli ndio wamiliki wa Yanga, sasa hii habari kwamba wanaingia mkataba na NBC wa Ushirikiano wa kuendesha ligi kuu ni pigo kubwa sana kwa timu zingine.
Hii ni kwa sababu hawa GSM ni wafia Yanga ambao wako tayari kufanya lolote ili kuibeba Yanga, hawa kwa namna yoyote hawapaswi kudhamini ligi hii, najua kuna baadhi yenu mtasema mbona Azam kadhamini mambo mengi kwenye soka, ni hivi msiifananishe Azam na GSM, hawa GSM ni watu wa mipango ya muda mrefu ya kuibeba Yanga tu, hawawezi kukubali timu nyingine iinuke.
Halafu hawa NBC mbona ni mapema sana kuchemsha, imekuwaje fasta tu waombe kolabo?
Naanza kuutilia shaka mpango huu na naamini hata TFF hawakuujua.
Aiseee !!!Mkuu sijakupa jina la mwendazake bali nmekufananisha na yule sadist au inshort wewe kwenye soka ni kama mataga tu
Hakuna ambacho sikijui ila wewe ndio hujanielewaNdugu yangu wewe huwa unapinga kila kitu.
Nimekufuatilia kila mahali unachoandika ni kupinga tu. Siyo kwenye mahusiano,siyo kule Celebrities,siyo kwenye siasa,na huku tena wewe ni kupinga tu.
Kingine nilichokigundua,wewe ni mwana CHADEMA,yaani hiyo nayo inakufanya upinge kila kitu.
Tatizo ni,mara nyingi unabisa usivyovijua.
Ni hivi,GSM hajaingia mkataba wa ushirikiano na NBC. NBC hajachemsha kudhamini ligi.
GSM ameingia mkataba na TFF wa kuwa mdhamini mwenza.
Msimu uliopita alikua ni Vodacom na KCB kama sikosei.
Leo,wakati wa utiaji saini,hapakua na muwakilishi yeyote kutoka NBC,bali TFF na GSM tu.
Azam pia ni mdhamini mwenza wa NBC,wakati NBC ndiyo mzamini mkuu wa ligi.
Azam anadhamini kwa haki ya matangazo.
Suala la Azam kudhamini ligi kwa haki ya matangazo,hakuingiliani kabisa na yeye kua na timu katika ligi. Timu ina management yake,na kampuni ina management yake.
Kadhalika kwa Yanga na GSM.
Hivyo,kabla ya kubisha au kupinga,elewa kwanza.
Hata Mo kesho akienda TFF na mo 29 sabuni za gest akasema anaweka mzigo,hatokataliwa.
NB:Azam pia ni mdhamini mkuu wa kombe la shirikisho(A C C),ni timu yake huwa inashiriki na inakula za uso kawaida tu.