Napinga GSM kuingia mkataba na NBC ili kuendesha ligi kuu ya soka Tanzania

Ukiweza kunya hadharani

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kwenye cheki ya GSM kwa TFF Manara kasimama kama nani?
 
Sasa ikawaje?
Ni kweli NBC hajaomba "colabo" kwa sababu si kazi yake kutafuta mtu, watu, kikundi au kampuni kumsaidia kwenye UDHAMINI WAKE. Mwenye kazi hiyo ni mwenye ligi, yaani TFF; huyu ndiye anayepaswa kuhaha kutafuta wadhamini kwenye ligi yake ili aweze KUIENDESHA VIZURI NA KWA UFANISI. Hawa waliojitokeza, GSM, ni wadhamini tu kama wadhamini wengine, wakiwemo akina AZAM, NBC na TBC. Anaweza kuja mwingine akaamua naye kuidhamini ligi yetu. In fact binafsi nataka kuwa mdhamini na nidhamini ligi hii kwenye eneo la kuzipa timu zote MAJI YA KUNYWA kila zinapo cheza! Ni udhamini murua au vipi!?
 
Game za mbele???? sijakusoma ! na game za nyuma ataangalia nani??? hahahahaahaah
Kwa ufala uliofanyika juzi pale ilulu, tutarajie kuona mengi, binafsi maji yakizidi unga naachana kabisa na ushabiki wenyewe naanza kuangalia game za mbele tu ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…