Wale wamesha break even, wana fungu la kutengeneza ndege wakati wowote na ata wakikopa serikalini wanaweza kuonyesha watapata wapi za kulipia sasa ATCL hawana mwelekeo wa kupata faida, serikali ikiweka pesa yoyote pale kiuhasibu ni ufisadi kama ule wa EPABado hujajibu swali. Etiopia wana 787 deamliner, ya kwao haitenegenezeki pia?
Kwa hiyo ATCL ipo kwa ajili ya kutoa huduma au kwa ajili ya kufanya biashara?Mashirika ya imma yote yanajiendesha kwa hasara hakuna hata moja linajiendesha kwa faida, yanasavaivu kwa ruzuku. Ndomana wanasema c vema serikali kufanya biashara
Kiuhalisia ni Kama huduma kwa mahasara yote hapo Kuna biashara,Kwa hiyo ATCL ipo kwa ajili ya kutoa huduma au kwa ajili ya kufanya biashara?
Yaani tuweke mabilion kwenye huduma isiyo ya lazima? Precession Airways na fastjet tulikuwa tunawapa shilling ngapi? Walikuwa hawatoi huduma bora kwa bei ya chini kuliko hiyo ya atcl? Umesikia habari ya board members wasio na utaalam wa uendeshaji biashara ya ndege? Mradi wa ATCL ni white elephant kama siyo yellowKiuhalisia ni Kama huduma kwa mahasara yote hapo Kuna biashara,
Wenyewe kwa wenyewe, pesa haikupotea hapo, cha msingi wapeane unafuu tu.Unaposikia ndege hazitengenezeki cag ameangalia maeneo mawili la kwanza atcl imekodi ndege kwa wakala wa ndege za serikali,lakini hajalipa pesa bado kwa wakala wa ndege za serikali hadi cag anaandaa ripoti.
Hazikutengenezwa Tanzania hizi ndege, na kwa bahati dunia nzima ilijua kuwa Tanzania wamenunua ndege jinsi serikali ilivokuza hili suala, na zimefika Tanzania.Hoja ya pili ni kwamba atcl ambayo ni shirika la Tanzania lina madeni makubwa nje ya nchi,hivyo service kubwa za ndege zinahitajika kufanyiwa nje ya nchi kwa mabeberu.Sasa ndege zitakamatwa hadi tulipe madeni.
Ikiwa shirika lina madeni kabla ya kununuliwa ndege, na likafufuliwa, haliwezi kutengeza faida overnight.Hoja ya tatu atcl ikipiwa billion 140 kwa ajili ya uendeshaji biashara ya ndege lakini hizo fedha hazijarudishwa serikalini kutokana na shirika kujiendesha kwa hasara.Kwa hoja hizo inamaana hazitengenezeki fedha za matengenezo hakuna na wakikopeshwa tena na serikali kuna uwezekano huko nje zikakamatwa na wadai wetu.
Shirika la umma kama linasaidiwa na serikali liweze kusavaivu si tatizo, kwani ni shirika la wananchi. Faida hawezekani kupatikana overnight kwa shirika ambalo miaka mingi lilikuwa linahujumiwa.Unajua maana ya shirika la umma linalojiendesha kibihashara wewe?
Kama wao wameweza, sisi kwanini basi tusiweze ku break even?Wale wamesha break even, wana fungu la kutengeneza ndege wakati wowote na ata wakikopa serikalini wanaweza kuonyesha watapata wapi za kulipia sasa ATCL hawana mwelekeo wa kupata faida, serikali ikiweka pesa yoyote pale kiuhasibu ni ufisadi kama ule wa EPA
Yaani tuweke mabilion kwenye huduma isiyo ya lazima? Precession Airways na fastjet tulikuwa tunawapa shilling ngapi? Walikuwa hawatoi huduma bora kwa bei ya chini kuliko hiyo ya atcl? Umesikia habari ya board members wasio na utaalam wa uendeshaji biashara ya ndege? Mradi wa ATCL ni white elephant kama siyo yellow
Kwa ndege kulikuwa hakuna ulazima wa kuwa na shirika kwa wakati huu, Ila kwa mradi wa maji ni wa lazma kwa matatizo ya umemeYaani tuweke mabilion kwenye huduma isiyo ya lazima? Precession Airways na fastjet tulikuwa tunawapa shilling ngapi? Walikuwa hawatoi huduma bora kwa bei ya chini kuliko hiyo ya atcl? Umesikia habari ya board members wasio na utaalam wa uendeshaji biashara ya ndege? Mradi wa ATCL ni white elephant kama siyo yellow
Sio kila kitu anachosema CAG tukubali tu, haya Mambo ya umeme ni ya kitaalamu , na hiyo stiglers ndo the cheapest possible source of power we can have now na baadae, magesi ni gharama, diesel ndo usiseme, solar gharama not reliable, wind the same.Mleta mada haelewi maana ya Auditing na hajafahamu vizuri ofisi ya CAG namshauri akasome kidogo.
CAG ametoa riport nzuri na kuibua matumizi mabovu na yasiyo na tija katika taasis za Serikali , ambapo wa kulaumiwa ni watu wa chini Sana wa hayati Rais Magufuli, hata leo unaweza kukuta watu wamefanya matumizi mabovu ya serikali na sitegemei Rais Samia kuwa na macho 10000 kumulika kila level na kuona kila Baya huku chini, mifumo ni mibovu Sana.
Tuende kwenye mada yangu, Mradi wa umeme wa maji ni mradi ambao unaweza kupunguza Bei ya umeme na uwekezaji wake unatumia pesa nyingi kwa Mara ya kwanza lakini baada ya hapo ngarama za uendeshaji ni ndogo Sana pamoja na matengenezo, mfano kila Mwezi mitambo ya gesi ya kinyerezi unatumia takriban bil 4 za matengenezo/maintenance ambapo ukilinganisha na mtambo wa kidatu wa maji hata milioni 100 haifiki.
Point yangu ni kuwa CAG nataka kujua ametumia wataalamu gani wa HEP kuweza kujua kuwa upembuzi wa mwaka 1970 haufai, ofisi yake Haina wataalamu hao, na TANESCO walishathibitisha kuwa upembuzi ule bado ungeweza kufanya kazi Hadi leo, kwanza niwaambie, katika mito yote nchini Tanzania hakuna mto wenye maji mengi kushinda ama kukaribia RUFIJI river inapojengwa stiglers , Sasa mtasemaje kwamba hauwezi kuzalisha umeme wa kutosha.
Mi ningeomba wataalamu wa Rufiji basin, tanesco Na wengine wake waongelee Hilo suala sio kila kitu kupinga. Huu mradi una manufaa Tanzania mto ule ndo una maji mengi kuliko yote mlitaka tujenge bwawa wapi?
Hapa CAG Kama unataka tuende kwenye Gesi ambayo ni yetu lakini tunauziwa sawa, TPDC anauziwa Gesi na makampuni ya nje yanayochimba Gesi kwetu halafu wao wanawauzia tanesco kuzalisha umeme, kwa bei kubwa mno, Stiglers tu ndo inaweza kuikomboa tanesco Na watanzania, haya magesi ya muhongo hayafai.
"NAAAM....!CAG ametoa riport nzuri na kuibua matumizi mabovu na yasiyo na tija katika taasis za Serikali , ambapo wa kulaumiwa ni watu wa chini Sana wa hayati Rais Magufuli, hata leo unaweza kukuta watu wamefanya matumizi mabovu ya serikali na sitegemei Rais Samia kuwa na macho 10000 kumulika kila level na kuona kila Baya huku chini, mifumo ni mibovu Sana.
Tuende kwenye mada yangu, Mradi wa umeme wa maji ni mradi ambao unaweza kupunguza Bei ya umeme na uwekezaji wake unatumia pesa nyingi kwa Mara ya kwanza lakini baada ya hapo ngarama za uendeshaji ni ndogo Sana pamoja na matengenezo, mfano kila Mwezi mitambo ya gesi ya kinyerezi unatumia takriban bil 4 za matengenezo/maintenance ambapo ukilinganisha na mtambo wa kidatu wa maji hata milioni 100 haifiki.
Point yangu ni kuwa CAG nataka kujua ametumia wataalamu gani wa HEP kuweza kujua kuwa upembuzi wa mwaka 1970 haufai, ofisi yake Haina wataalamu hao, na TANESCO walishathibitisha kuwa upembuzi ule bado ungeweza kufanya kazi Hadi leo, kwanza niwaambie, katika mito yote nchini Tanzania hakuna mto wenye maji mengi kushinda ama kukaribia RUFIJI river inapojengwa stiglers , Sasa mtasemaje kwamba hauwezi kuzalisha umeme wa kutosha.
Mi ningeomba wataalamu wa Rufiji basin, tanesco Na wengine wake waongelee Hilo suala sio kila kitu kupinga. Huu mradi una manufaa Tanzania mto ule ndo una maji mengi kuliko yote mlitaka tujenge bwawa wapi?
Hapa CAG Kama unataka tuende kwenye Gesi ambayo ni yetu lakini tunauziwa sawa, TPDC anauziwa Gesi na makampuni ya nje yanayochimba Gesi kwetu halafu wao wanawauzia tanesco kuzalisha umeme, kwa bei kubwa mno, Stiglers tu ndo inaweza kuikomboa tanesco Na watanzania, haya magesi ya muhongo hayafai.
@Statesman aka Crimea ,CAG ni taasisi dada yangu.CAG wetu amekua zaidi hata ya Google,
Kila kitu anajua,
Nimekujibu mda mrefu Sana hutaki kuelewa tu!Bado hujajibu swali. Etiopia wana 787 deamliner, ya kwao haitenegenezeki pia?
Kwanza tukubaliana kuwa stiglers ilifanyiwa upembuzi wakati wa Mwl Nyerere miaka ya 1970, na alipoingia madarakani JPM alichofanya ni kuchukua makabrasha hayo na kuanza kuyafanyia kazi ndiyo maana CAG anasema wametumia study ya 1970, hawajafanya study mpya kulinganyisha na fursa nyingine zinazopatikana kwa nyakati hizo, so he is right.Sio kila kitu anachosema CAG tukubali tu, haya Mambo ya umeme ni ya kitaalamu , na hiyo stiglers ndo the cheapest possible source of power we can have now na baadae, magesi ni gharama, diesel ndo usiseme, solar gharama not reliable, wind the same.
Naelewa Sana ninachoongea, CAG mengine yote yake nimeyakubali Ila hapa Chaka
Tafadhali usinihusianishe na ID ambazo sio zangu,@Statesman aka Crimea ,CAG ni taasisi dada yangu.
Wewe baki Lumumba ukihudumu siasani,wataalamu waachie wataaalamu.
Weledi unarejeshewa hadhi yake na Mh. Rais SSH,tuache wenye weledi wao wafanye kazi yao bila nyie wanasiasa "waganga njaa" kuwaingilia,hakika naamini mtafurahia mioyoni mwenu.