Napinga: Hivi CAG Ana watu wenye utaalamu na hydropower stations, hakupaswa kutoa msimamo katika Mambo ya kitaalamu

Bado hujajibu swali. Etiopia wana 787 deamliner, ya kwao haitenegenezeki pia?
Wale wamesha break even, wana fungu la kutengeneza ndege wakati wowote na ata wakikopa serikalini wanaweza kuonyesha watapata wapi za kulipia sasa ATCL hawana mwelekeo wa kupata faida, serikali ikiweka pesa yoyote pale kiuhasibu ni ufisadi kama ule wa EPA
 
Mashirika ya imma yote yanajiendesha kwa hasara hakuna hata moja linajiendesha kwa faida, yanasavaivu kwa ruzuku. Ndomana wanasema c vema serikali kufanya biashara
Kwa hiyo ATCL ipo kwa ajili ya kutoa huduma au kwa ajili ya kufanya biashara?
 
Pinga kwa data ngoja twende mapumziko kidogo bado dimba la kati linamilikiwa na CAG
IMG_1936.jpg
 
Kiuhalisia ni Kama huduma kwa mahasara yote hapo Kuna biashara,
Yaani tuweke mabilion kwenye huduma isiyo ya lazima? Precession Airways na fastjet tulikuwa tunawapa shilling ngapi? Walikuwa hawatoi huduma bora kwa bei ya chini kuliko hiyo ya atcl? Umesikia habari ya board members wasio na utaalam wa uendeshaji biashara ya ndege? Mradi wa ATCL ni white elephant kama siyo yellow
 
Unaposikia ndege hazitengenezeki cag ameangalia maeneo mawili la kwanza atcl imekodi ndege kwa wakala wa ndege za serikali,lakini hajalipa pesa bado kwa wakala wa ndege za serikali hadi cag anaandaa ripoti.
Wenyewe kwa wenyewe, pesa haikupotea hapo, cha msingi wapeane unafuu tu.

Hoja ya pili ni kwamba atcl ambayo ni shirika la Tanzania lina madeni makubwa nje ya nchi,hivyo service kubwa za ndege zinahitajika kufanyiwa nje ya nchi kwa mabeberu.Sasa ndege zitakamatwa hadi tulipe madeni.
Hazikutengenezwa Tanzania hizi ndege, na kwa bahati dunia nzima ilijua kuwa Tanzania wamenunua ndege jinsi serikali ilivokuza hili suala, na zimefika Tanzania.

Hoja ya tatu atcl ikipiwa billion 140 kwa ajili ya uendeshaji biashara ya ndege lakini hizo fedha hazijarudishwa serikalini kutokana na shirika kujiendesha kwa hasara.Kwa hoja hizo inamaana hazitengenezeki fedha za matengenezo hakuna na wakikopeshwa tena na serikali kuna uwezekano huko nje zikakamatwa na wadai wetu.
Ikiwa shirika lina madeni kabla ya kununuliwa ndege, na likafufuliwa, haliwezi kutengeza faida overnight.
 
Unajua maana ya shirika la umma linalojiendesha kibihashara wewe?
Shirika la umma kama linasaidiwa na serikali liweze kusavaivu si tatizo, kwani ni shirika la wananchi. Faida hawezekani kupatikana overnight kwa shirika ambalo miaka mingi lilikuwa linahujumiwa.
 
Wale wamesha break even, wana fungu la kutengeneza ndege wakati wowote na ata wakikopa serikalini wanaweza kuonyesha watapata wapi za kulipia sasa ATCL hawana mwelekeo wa kupata faida, serikali ikiweka pesa yoyote pale kiuhasibu ni ufisadi kama ule wa EPA
Kama wao wameweza, sisi kwanini basi tusiweze ku break even?
 
Yaani tuweke mabilion kwenye huduma isiyo ya lazima? Precession Airways na fastjet tulikuwa tunawapa shilling ngapi? Walikuwa hawatoi huduma bora kwa bei ya chini kuliko hiyo ya atcl? Umesikia habari ya board members wasio na utaalam wa uendeshaji biashara ya ndege? Mradi wa ATCL ni white elephant kama siyo yellow

Yaani tuweke mabilion kwenye huduma isiyo ya lazima? Precession Airways na fastjet tulikuwa tunawapa shilling ngapi? Walikuwa hawatoi huduma bora kwa bei ya chini kuliko hiyo ya atcl? Umesikia habari ya board members wasio na utaalam wa uendeshaji biashara ya ndege? Mradi wa ATCL ni white elephant kama siyo yellow
Kwa ndege kulikuwa hakuna ulazima wa kuwa na shirika kwa wakati huu, Ila kwa mradi wa maji ni wa lazma kwa matatizo ya umeme
 
Mleta mada haelewi maana ya Auditing na hajafahamu vizuri ofisi ya CAG namshauri akasome kidogo.
Sio kila kitu anachosema CAG tukubali tu, haya Mambo ya umeme ni ya kitaalamu , na hiyo stiglers ndo the cheapest possible source of power we can have now na baadae, magesi ni gharama, diesel ndo usiseme, solar gharama not reliable, wind the same.
Naelewa Sana ninachoongea, CAG mengine yote yake nimeyakubali Ila hapa Chaka
 
CAG ametoa riport nzuri na kuibua matumizi mabovu na yasiyo na tija katika taasis za Serikali , ambapo wa kulaumiwa ni watu wa chini Sana wa hayati Rais Magufuli, hata leo unaweza kukuta watu wamefanya matumizi mabovu ya serikali na sitegemei Rais Samia kuwa na macho 10000 kumulika kila level na kuona kila Baya huku chini, mifumo ni mibovu Sana.

Tuende kwenye mada yangu, Mradi wa umeme wa maji ni mradi ambao unaweza kupunguza Bei ya umeme na uwekezaji wake unatumia pesa nyingi kwa Mara ya kwanza lakini baada ya hapo ngarama za uendeshaji ni ndogo Sana pamoja na matengenezo, mfano kila Mwezi mitambo ya gesi ya kinyerezi unatumia takriban bil 4 za matengenezo/maintenance ambapo ukilinganisha na mtambo wa kidatu wa maji hata milioni 100 haifiki.

Point yangu ni kuwa CAG nataka kujua ametumia wataalamu gani wa HEP kuweza kujua kuwa upembuzi wa mwaka 1970 haufai, ofisi yake Haina wataalamu hao, na TANESCO walishathibitisha kuwa upembuzi ule bado ungeweza kufanya kazi Hadi leo, kwanza niwaambie, katika mito yote nchini Tanzania hakuna mto wenye maji mengi kushinda ama kukaribia RUFIJI river inapojengwa stiglers , Sasa mtasemaje kwamba hauwezi kuzalisha umeme wa kutosha.

Mi ningeomba wataalamu wa Rufiji basin, tanesco Na wengine wake waongelee Hilo suala sio kila kitu kupinga. Huu mradi una manufaa Tanzania mto ule ndo una maji mengi kuliko yote mlitaka tujenge bwawa wapi?

Hapa CAG Kama unataka tuende kwenye Gesi ambayo ni yetu lakini tunauziwa sawa, TPDC anauziwa Gesi na makampuni ya nje yanayochimba Gesi kwetu halafu wao wanawauzia tanesco kuzalisha umeme, kwa bei kubwa mno, Stiglers tu ndo inaweza kuikomboa tanesco Na watanzania, haya magesi ya muhongo hayafai.

I'm also worrying if CAG has a composite team to give out such a technical opinion.
 
"NAAAM....!

Miradi yake mingine inaleta foleni na mingine hasara? Ni rahisi tu, kwa nini tuendelee na Ma-foleni na Ma-hasara? ...Nashauri Vunjeni Madaraja na Flyovers zote, Ng'oeni reli zote especilly SGR, uzeni Ndege zote na vivuko vyote nchini, Uza Meli zote Mpya zilizozinduliwa, kule Ziwa nyasa, simamisheni Ujenzi wa Bwawa la umeme, Gaweni Migodi yote, Binafsisheni Milima, Maziwa na Mbuga.

Bomoa Bandari zote zilizoboreshwa ikiwemo Mtwara, Tanga na Dar, Jengeni moja ya Wachina kwa mkataba wa miaka 100...rudisheni Ada shuleni tukuze uchumi, Wapeni Matajiri Exemptions za kodi, Ruhusuni Makinikia kwenda nje, Vunjeni Masoko mapya ya Madini mikoani, ...Charaza Bakora Machinga mjini, Mwaga wali wa Mama Ntilie.

Vunja vyama vya wakulima na utaratibu wa stakabadhi ghalani, Ruhusuni Uhuru wa Mashoga, Mateja kwa wingi mtaani, madawa ya kulevya n.k....pia Msisahau kuifunga ile Mahakama ya Mafisadi,....kwa uchache tu Hakika hapo sasa pengine Tanzania itakuwa kama ULAYA, Tanzania ya Asali na Maziwa!.

Vunjeni makao makuu Dodoma mrudishe serikali Dar.

Hapo sasa mtakuwa mmemkomoa Magufuli na watoto wake watashinda njaa ili anyooke kabisa.

Nawasilisha
 
CAG wetu amekua zaidi hata ya Google,

Kila kitu anajua,
@Statesman aka Crimea ,CAG ni taasisi dada yangu.
Wewe baki Lumumba ukihudumu siasani,wataalamu waachie wataaalamu.
Weledi unarejeshewa hadhi yake na Mh. Rais SSH,tuache wenye weledi wao wafanye kazi yao bila nyie wanasiasa "waganga njaa" kuwaingilia,hakika naamini mtafurahia mioyoni mwenu.
 
Let us see the study being used to build the project. Kila study inakuwa na assumption zake na hakuna guarantee kuwa matokeo yatakuwa chanya. Ni kama vile mtu anavyo bet. Wangapi wamelima au wamefuga kuku/ngombe na matokeo yakawa kama study/walivyotarajia. Tuanze na example ya ATCL.
 
Bado hujajibu swali. Etiopia wana 787 deamliner, ya kwao haitenegenezeki pia?
Nimekujibu mda mrefu Sana hutaki kuelewa tu!
Hazitengeneki maana hakuna paku tengenezea!? Zita dakwa pia hazina faida ya kujikomboa!
 
Sio kila kitu anachosema CAG tukubali tu, haya Mambo ya umeme ni ya kitaalamu , na hiyo stiglers ndo the cheapest possible source of power we can have now na baadae, magesi ni gharama, diesel ndo usiseme, solar gharama not reliable, wind the same.
Naelewa Sana ninachoongea, CAG mengine yote yake nimeyakubali Ila hapa Chaka
Kwanza tukubaliana kuwa stiglers ilifanyiwa upembuzi wakati wa Mwl Nyerere miaka ya 1970, na alipoingia madarakani JPM alichofanya ni kuchukua makabrasha hayo na kuanza kuyafanyia kazi ndiyo maana CAG anasema wametumia study ya 1970, hawajafanya study mpya kulinganyisha na fursa nyingine zinazopatikana kwa nyakati hizo, so he is right.
 
@Statesman aka Crimea ,CAG ni taasisi dada yangu.
Wewe baki Lumumba ukihudumu siasani,wataalamu waachie wataaalamu.
Weledi unarejeshewa hadhi yake na Mh. Rais SSH,tuache wenye weledi wao wafanye kazi yao bila nyie wanasiasa "waganga njaa" kuwaingilia,hakika naamini mtafurahia mioyoni mwenu.
Tafadhali usinihusianishe na ID ambazo sio zangu,
 
Back
Top Bottom