Napinga: Hivi CAG Ana watu wenye utaalamu na hydropower stations, hakupaswa kutoa msimamo katika Mambo ya kitaalamu

Napinga: Hivi CAG Ana watu wenye utaalamu na hydropower stations, hakupaswa kutoa msimamo katika Mambo ya kitaalamu

Tatizo lako ni kuwa na akili ndogo.... Unavyofikiri wewe, mfano British Airways Boeing 747 ikiharibika inasafirishwa kwenda USA kutengenezwa? Nini kazi ya Engineer wa ndege sasa?

Kwa mfano, ndege imekufa engine na inataa kuwa replaced, unataka kunambia inapelekwaje USA kufungwa engine nyengine?

Una kazia ujinga wa ndani ya boksi tu
Du! hii kweli kali yani Watanzania
tufanye replacement ya engine mpya wala
tusiwapelekee boeing.
huyo engineer wenu wan ndege alifanya kazi kampuni gani ya kutengeneza ndege?.ivi ndege unachukulia kama vile kutengeneza V8.
 
Hukujibu swali. Ndege inataka engine ziwe replaced, inakwendaje USA? au inaweza kuruka bila kuwa na Engine? mashine ya ndege sio V8 ya land cruiser na ndio maana unakuwa na Engineer wa ndege. Engineer wa ndege sio sawa na fundi garage wako wa chini muembe kwamba experience yake amegain kwa kumsaidia fundi mkuu. Mnachukulia poa sana hizi knowledge
 
Kwenye Audit Kuna kitu kinaitwa
"Consider the use of experts" hata mradi wa nuklia Auditor anakagua...hata mradi wa upasuaji wa moyo anakagua
Mwambie, yeye anafikiri mkaguzi anajua pragazijutu tu, hawa wanajua 3"Ees,strategic,forensic,tatration name.....
 
CAG ametoa riport nzuri na kuibua matumizi mabovu na yasiyo na tija katika taasis za Serikali , ambapo wa kulaumiwa ni watu wa chini Sana wa hayati Rais Magufuli, hata leo unaweza kukuta watu wamefanya matumizi mabovu ya serikali na sitegemei Rais Samia kuwa na macho 10000 kumulika kila level na kuona kila Baya huku chini, mifumo ni mibovu Sana.

Tuende kwenye mada yangu, Mradi wa umeme wa maji ni mradi ambao unaweza kupunguza Bei ya umeme na uwekezaji wake unatumia pesa nyingi kwa Mara ya kwanza lakini baada ya hapo ngarama za uendeshaji ni ndogo Sana pamoja na matengenezo, mfano kila Mwezi mitambo ya gesi ya kinyerezi unatumia takriban bil 4 za matengenezo/maintenance ambapo ukilinganisha na mtambo wa kidatu wa maji hata milioni 100 haifiki.

Point yangu ni kuwa CAG nataka kujua ametumia wataalamu gani wa HEP kuweza kujua kuwa upembuzi wa mwaka 1970 haufai, ofisi yake Haina wataalamu hao, na TANESCO walishathibitisha kuwa upembuzi ule bado ungeweza kufanya kazi Hadi leo, kwanza niwaambie, katika mito yote nchini Tanzania hakuna mto wenye maji mengi kushinda ama kukaribia RUFIJI river inapojengwa stiglers , Sasa mtasemaje kwamba hauwezi kuzalisha umeme wa kutosha.

Mi ningeomba wataalamu wa Rufiji basin, tanesco Na wengine wake waongelee Hilo suala sio kila kitu kupinga. Huu mradi una manufaa Tanzania mto ule ndo una maji mengi kuliko yote mlitaka tujenge bwawa wapi?

Hapa CAG Kama unataka tuende kwenye Gesi ambayo ni yetu lakini tunauziwa sawa, TPDC anauziwa Gesi na makampuni ya nje yanayochimba Gesi kwetu halafu wao wanawauzia tanesco kuzalisha umeme, kwa bei kubwa mno, Stiglers tu ndo inaweza kuikomboa tanesco Na watanzania, haya magesi ya muhongo hayafai.
Kama serikali ya awamu ya 5 ingejikita kutengeneza mfumo bora wa uongozi, badala ya ubabe! Kama nguvu kubwa ingewekezwa kwenye katiba mpya na kutunga sheria endelevu za kuwabana hao viongozi wadogo wanao haribu, leo hii legacy mnayo lazimisha, ingekua siyo kitu cha kulazimisha! Kama serikali hiyo ingekua na nia njema, isingetafuta kuwapa kinga ya kutoshitakiwa, speakers na waziri mkuu, badala yake wangeweka sheria za kumwondolea rais kinga hiyo, na hata kuruhusu urais kuhojiwa mahakani! Jiulize kama ni watenda mema waliogopa nini, kujenga mfumo bora wa uongozi, unawabana na kuwawajibisha viongozi?!
 
ofisi ya CAG imekamilika kila idara ndio maana anapita kila kona haruki mahali kwa kisingizio cha kukosa wataalam
 
CAG ametoa riport nzuri na kuibua matumizi mabovu na yasiyo na tija katika taasis za Serikali , ambapo wa kulaumiwa ni watu wa chini Sana wa hayati Rais Magufuli, hata leo unaweza kukuta watu wamefanya matumizi mabovu ya serikali na sitegemei Rais Samia kuwa na macho 10000 kumulika kila level na kuona kila Baya huku chini, mifumo ni mibovu Sana.

Tuende kwenye mada yangu, Mradi wa umeme wa maji ni mradi ambao unaweza kupunguza Bei ya umeme na uwekezaji wake unatumia pesa nyingi kwa Mara ya kwanza lakini baada ya hapo ngarama za uendeshaji ni ndogo Sana pamoja na matengenezo, mfano kila Mwezi mitambo ya gesi ya kinyerezi unatumia takriban bil 4 za matengenezo/maintenance ambapo ukilinganisha na mtambo wa kidatu wa maji hata milioni 100 haifiki.

Point yangu ni kuwa CAG nataka kujua ametumia wataalamu gani wa HEP kuweza kujua kuwa upembuzi wa mwaka 1970 haufai, ofisi yake Haina wataalamu hao, na TANESCO walishathibitisha kuwa upembuzi ule bado ungeweza kufanya kazi Hadi leo, kwanza niwaambie, katika mito yote nchini Tanzania hakuna mto wenye maji mengi kushinda ama kukaribia RUFIJI river inapojengwa stiglers , Sasa mtasemaje kwamba hauwezi kuzalisha umeme wa kutosha.

Mi ningeomba wataalamu wa Rufiji basin, tanesco Na wengine wake waongelee Hilo suala sio kila kitu kupinga. Huu mradi una manufaa Tanzania mto ule ndo una maji mengi kuliko yote mlitaka tujenge bwawa wapi?

Hapa CAG Kama unataka tuende kwenye Gesi ambayo ni yetu lakini tunauziwa sawa, TPDC anauziwa Gesi na makampuni ya nje yanayochimba Gesi kwetu halafu wao wanawauzia tanesco kuzalisha umeme, kwa bei kubwa mno, Stiglers tu ndo inaweza kuikomboa tanesco Na watanzania, haya magesi ya muhongo hayafai.
CAG hakuhitajika kuwa civil engineer kutathimini uhai wa JNHPP hata kidogo! Wanatumia ripoti ya upembuzi ya mwaka 1970/72! Hawakufanya EIA upya? Hakuna economic and financial feasibility! Huo mradi si magumashi tu, by 2026 unaweza ikawa maji hakuna, umeme utazalishwa kwa mkojo wa punda?!
 
Kuna rafiki yangu usiku wa kuamkia leo saa 1 alinitumia msg kunionesha hio ishu akiwa anafurahia. Nikamuuliza swali hadi sasa kashindwa kujibu, je ndege hizo hazina spea hata CAG aseme kuwa hazitengenezeki? Maana 787 ni ndege ya juzi tu katia line ya boeing, hizo bombardie nazo za juzi tu, sasa feni likiharibika, CAG anatwambia haitotengenezeka 😀 Alichoweza kuniambia ni kuwa CAG ndio kasema!
Labda aliongelea moja ya zile Fokker
 
Back
Top Bottom