Hili jambo halina afya kabisa kwa wananchi wa kipato cha chini, Mama Samia anatakiwa kuingilia kati kuwanusuru watu wake, wanaotoa hayo matamko hawatumii usafiri wa public, hawaonji machungu wanayopata wwananchi wa kipato cha chini
Nchi zilizoendelea zimeruhusu makampuni ya usafirishaji kuwa na pick points zao ili wateja wapate unafuu kusafiri,hapa kwetu ni kinyume chake, tumecentralize stand bila kuweka mifumo mizuri wezeshi ya kuwafikisha abiria hapo
Unajua mkuu, mimi sipingi unayosema hata mara moja.Ni kweli. Lakini hapa tunasema wewe unaongea vile ilipaswa kuwa, sivyo ilivyo. Makalla angekuwa sahihi kama angefanya utafiti na kutoa suluhisho lisilowaumiza wadau. Aweke miundombinu sahihi kati ya kituo hiki kikuu na maeneo ya jiji. Kwa mfano, mimi ningefurahi kama mwendokasi ingeungwa moja kwa moja pale kituoni. Mgeni unadrop na kuingia mwendo kasi. Kwa hali ilivyo sasa, pale kituoni ni adhabu wallahi. Ile kushuka mpka upate daladala, unajuta kuja Dar!
Nimekuelewa Sana!Siku zote huwezi kujenga Bar bila kuwashirikisha walevi hiyo stend wadau wa secta ya usafiri hawakushirikishwa ipasavyo
NB: Baada ya miaka 10 ijayo hiyo stand itafanya kazi vizuri kama wataboresha usafiri wa kufika sehwm husika
Naungana nawe Mkuu, ukienda Tanga RATCO ana shuttle buses zinawatowa abiria ofisini kwake mpaka Kange, japo kuwa mara kadhaa wamekuwa wakikamatwa na policeUnajua mkuu, mimi sipingi unayosema hata mara moja.
Msafiri anayefika mwisho wa safari yake, anatakiwa apokelewe vizuri kumalizia safari yake hadi sehemu anakofikia.
Kiungo hiki ni muhimu sana kwa mtu anayesafiri, kama ilivyo kwa yule anayeanza safari ndefu, anavyotakiwa kuwa na utulivu anapoanza safari yake.
Hakuna jibu rahisi hapa, kwa sababu tunajua ufinyu wa uwezo tulionao kwa sasa. Tungeweza kwa mfano kupendekeza pawepo na "shuttle Bus" toka maeneo mbalimbali ya mji yakichukua na kuleta wasafiri kituo kikuu cha mabasi Mbezi, lakini pamoja na uwezo wa watu binafsi kuifanya kazi hiyo, miundombinu ya barabara inaweza kuwa kikwazo kikubwa, na hata hapo Mbezi Luis penyewe hapakujengwa kukiwepo na mipango ya aina hiyo!
Taxi zipo? Bei ni kikwazo?
Mimi situpi lawama kwa Makalla, kwa sababu yeye sasa hivi hana uwezo wa kubadili chochote, bali kupiga siasa tu!
Kuna tofauti gani na wanachofanya sasa?Kwa nn wazo lisiwe wamiliki wa mabus wawe na coaster maalum za kuwasogeza abilia maeneo ya mjini na kuwapeleka stand asubuhi?
Viwango vya huduma za jamii Dubai ikiwemo usafiri vipo very well coordinated and organised, huwezi linganisha na ugoro wa MbeziUmewahi kufika dubai mkuu?
Off point!Maendeleo yana ghalama yake, Isipotumika hzo changamoto za usafiri zitatatuliwa vipi?Ata ubungo huko awali haikua karibu na mji kama ilivyo leo
Amos Makalla ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na Mfadhili wa zamani wa bendi ya FM ACADEMIA ya Kinondoni, bila kufanya utafiti wowote ule leo ametoa amri ya kulazimisha mabasi yote ya mikoani kuanzia safari zao kwenye kituo kikuu cha mabasi ya mikoani cha Mbezi Luis, kinachoitwa kituo cha mabasi cha Magufuli na kushushia abiria wake hapohapo.
Lengo kuu la kauli yake hii ni kujaribu kukusanya watu ili kuneemesha wafanyabiashara waliojazana kwenye stendi hiyo bila mpangilio wowote, Makalla anaamini kwamba abiria wote wakishushwa ama kuanzia safari zao hapo basi watanunua bidhaa za wamachinga waliojazana hapo, hivi ndivyo akili yake ilivyomtuma, kwamba abiria wakomeshwe ili kufurahisha wafanyabiashara, amesahau kwamba abiria ni bora kuliko wamachinga kwenye mustakabhali wa Safari, hata hivyo sikubaliani naye.
Mbezi Luis eneo ilikojengwa Stendi ya Mabasi ya Mikoani ni nje kabisa ya jiji la DSM , kulazimisha Mabasi yaliyokuwa yanaanzia safari zake Mbagala, Tandika au Kigamboni kuacha kazi hiyo na kulazimisha sasa lazima yote yaanzie Nje ya jiji ni sawa na unyama , kwamba sasa aliyekuwa anapandia basi Mbagala akodi teksi kwa zaidi ya gharama ya tsh elfu 30 ili kulifuata basi Mbezi Luis, kwa vile tu Amos Makalla kajisikia hivyo haikubaliki na ni lazima ipingwe kwa nguvu zote.
Alichotakiwa kufanya Mh RC ni kuhakikisha kwamba basi lolote kutoka kwenye yard yoyote ile binafsi linakoanzia safari lisiondoke DSM bila ya kupita Stendi kuu ama lishushe litakako ila ni lazima lije stendi kuu, Vinginevyo Mh Makalla atamke hadharami Maslahi yake binafsi atakayopata kwa kuwatesa abiria wa Kigamboni, Vikindu , Chamanzi, Mbagala, Tandika na kwingineko waliokuwa wanapata ahueni ya kuanzia safari kwenye maeneo yao ya karibu.
Naomba kuwasilisha.
Five years kitakuwa bora zaid mkuu kumbuka stand ilivyo shift toka kisutu to ubungoNimekuelewa Sana!
Yaani badala ya kusolve tatizo tumeongeza tatizo juu ya matatizo!!
Sidhani kama hiyo stendi itaendelea kufanya kazi in the next 5 years.
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Siku zote huwezi kujenga Bar bila kuwashirikisha walevi hiyo stend wadau wa secta ya usafiri hawakushirikishwa ipasavyo
NB: Baada ya miaka 10 ijayo hiyo stand itafanya kazi vizuri kama wataboresha usafiri wa kufika sehwm husika
Mpuuzi huyu mkuu wa mkoa, yaani mie naenda moshi nakaa tegeta na nimekata tiketi ya dar express inapita mlango wa nyumbani kwangu niende mbezi??? Pumbavu!Amos Makalla ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na Mfadhili wa zamani wa bendi ya FM ACADEMIA ya Kinondoni, bila kufanya utafiti wowote ule leo ametoa amri ya kulazimisha mabasi yote ya mikoani kuanzia safari zao kwenye kituo kikuu cha mabasi ya mikoani cha Mbezi Luis, kinachoitwa kituo cha mabasi cha Magufuli na kushushia abiria wake hapohapo.
Lengo kuu la kauli yake hii ni kujaribu kukusanya watu ili kuneemesha wafanyabiashara waliojazana kwenye stendi hiyo bila mpangilio wowote, Makalla anaamini kwamba abiria wote wakishushwa ama kuanzia safari zao hapo basi watanunua bidhaa za wamachinga waliojazana hapo, hivi ndivyo akili yake ilivyomtuma, kwamba abiria wakomeshwe ili kufurahisha wafanyabiashara, amesahau kwamba abiria ni bora kuliko wamachinga kwenye mustakabhali wa Safari, hata hivyo sikubaliani naye.
Mbezi Luis eneo ilikojengwa Stendi ya Mabasi ya Mikoani ni nje kabisa ya jiji la DSM , kulazimisha Mabasi yaliyokuwa yanaanzia safari zake Mbagala, Tandika au Kigamboni kuacha kazi hiyo na kulazimisha sasa lazima yote yaanzie Nje ya jiji ni sawa na unyama , kwamba sasa aliyekuwa anapandia basi Mbagala akodi teksi kwa zaidi ya gharama ya tsh elfu 30 ili kulifuata basi Mbezi Luis, kwa vile tu Amos Makalla kajisikia hivyo haikubaliki na ni lazima ipingwe kwa nguvu zote.
Alichotakiwa kufanya Mh RC ni kuhakikisha kwamba basi lolote kutoka kwenye yard yoyote ile binafsi linakoanzia safari lisiondoke DSM bila ya kupita Stendi kuu ama lishushe litakako ila ni lazima lije stendi kuu, Vinginevyo Mh Makalla atamke hadharami Maslahi yake binafsi atakayopata kwa kuwatesa abiria wa Kigamboni, Vikindu , Chamanzi, Mbagala, Tandika na kwingineko waliokuwa wanapata ahueni ya kuanzia safari kwenye maeneo yao ya karibu.
Naomba kuwasilisha.
Gharama za kutoka nyumbani abiria anakotokea hadi Magufuli bus stand kuwahi gari inayoondoka saa 12 alfajiri zinaweza kuwa kubwa kuliko nauli yabkutoka dar kwenda Arusha
Hili ni la kufanyia kazi
Aliyejenga hakujua hilo??
NB: sinza inaishia mto ng'ombe, ukivuka mto ng'ombe kuja barabara ya morogoro huko sio sinza ni shekilango, urafiki nkNaunga mkono hoja. Baadhi ta wenye mabasi wenye stendi zao pale Sinza Shekilango kama Kilimanjaro, Dar Lux, Marangu Coach na mengine, wenye mabasi zaidi ya moja kwa route ya Moshi Arusha, njia rahisi kwao ni route ya Bagamoyo Msata, na sio njia ya Chalinze, kuwalazimisha lazima waanzie Stendi mpya ni kuwatesa tuu bure abiria, after all, wengi wa abiria wa mabasi hayo, haswa wale abiria wa 1st Class, sio wa type ya kununua vitu kwa machinga au kula kwa Mama Ntilie! Hivyo kama nia ni kuwasaidia Machinga na mama ntilie, then, hizo ni sababu alizotoa Mkuu wa Mkoa ni sababu za kijinga sana!.
Hatuwezi kuendelea kuendesha nchi kijinga jinga hivi halafu utegemee tutapata mafanikio. Il tuendelee , la kupata maendeleo ya kweli de must stop such nonsense!.
p
Jifunze kutumia akili basi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani hoja zako zimejaa aibu sana
Ndio maana yakeBasi kama hutaki kulipa hizo gharama za kwenda stendi baki na [emoji90] yako nyumbani.
Tunahitilafiana padogo tu. Huoni nilipokujibu nilianza na "Ni kweli"? Hii ni dhahiri ninakubaliana na hoja yako hasa ile ya kuhakikisha mabasi yanashusha na kupakia pale Mbezi. Maana ninaona changamoto ya kila basi kushusha holela. Tunapohitilafiana ni namna ya utekelezaji. Wewe unaona Makalla yupo sahihi kwa kauli yake. Mimi ninaona hayupo sahihi kwa sababu hajaweka mazingira rafiki katika hili. Wewe mwenyewe unaliona hili na umefafanua vema tu kuhusu mazingira ya stend na hali ya jiji kwa sasa. Angepigana kuboresha haya kisha akapiga hilo biti.Unajua mkuu, mimi sipingi unayosema hata mara moja.
Msafiri anayefika mwisho wa safari yake, anatakiwa apokelewe vizuri kumalizia safari yake hadi sehemu anakofikia.
Kiungo hiki ni muhimu sana kwa mtu anayesafiri, kama ilivyo kwa yule anayeanza safari ndefu, anavyotakiwa kuwa na utulivu anapoanza safari yake.
Hakuna jibu rahisi hapa, kwa sababu tunajua ufinyu wa uwezo tulionao kwa sasa. Tungeweza kwa mfano kupendekeza pawepo na "shuttle Bus" toka maeneo mbalimbali ya mji yakichukua na kuleta wasafiri kituo kikuu cha mabasi Mbezi, lakini pamoja na uwezo wa watu binafsi kuifanya kazi hiyo, miundombinu ya barabara inaweza kuwa kikwazo kikubwa, na hata hapo Mbezi Luis penyewe hapakujengwa kukiwepo na mipango ya aina hiyo!
Taxi zipo? Bei ni kikwazo?
Mimi situpi lawama kwa Makalla, kwa sababu yeye sasa hivi hana uwezo wa kubadili chochote, bali kupiga siasa tu!
Kufananisha Uwanja wa Ndege na Stendi ya Mabasi si busara hata kidogo....au Kufananisha Abiria wa Ndege na Basi nako si busara pia.Ni sawa na uwanja wa ndege, ambako ukitaka kusafiri, kama unatokea Kawe, ni lazima utafute usafiri wa kukufikisha JKNIA, na hivyo hivyo, kama unaingia, utapata usafiri toka hapo kukupeleka Kawe.
Mimi naona la msingi zaidi ni Makala kuhakikisha sehemu zote za mji wake zipo huduma za kuwafikisha wananchi Stendi kuu ya mabasi, Mbezi Luis.
Lakini pia inabidi niulize swali hapa: kuna ubaya wowote kwa mfano kuwepo kwa vituo kadhaa vya mabasi mjini Dar, kwa mfano kituo cha mabasi yanayoelekea kusini mwa nchi kikawepo Mbagala; kituo cha mabasi yaendayo Nyanda za juu yakaanzia, tuseme Gongo La Mboto, n'k.?
Vipi, mbona hujachangamkia fursa ya Hotel/Guest maeneo hayo mkuu Erythrocyte!