Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
Wewe kweli ni jingalao wazazi na watoto wako. JINGA kweli kweli.Ni ombi langu kubwa kuona ruzuku ya vyama vya siasa ifutwe na badala yake fedha hiyo ikasomeshe watoto yatima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe kweli ni jingalao wazazi na watoto wako. JINGA kweli kweli.Ni ombi langu kubwa kuona ruzuku ya vyama vya siasa ifutwe na badala yake fedha hiyo ikasomeshe watoto yatima
Una TIN no?Ni ombi langu kubwa kuona ruzuku ya vyama vya siasa ifutwe na badala yake fedha hiyo ikasomeshe watoto yatima
Nyingi zina idadi, bottom line is kodi yako haina impact kwenye uchumi wa nchi hii. Hata usipotoa kazi zitaenda tu so acha kujipa umuhim as if una return mabillionNyingi sana tu
Jingalao hilo.Ni ombi langu kubwa kuona ruzuku ya vyama vya siasa ifutwe na badala yake fedha hiyo ikasomeshe watoto yatima
Waambie wakurudishie kodi yako ili uache udomokaya.Ni ombi langu kubwa kuona ruzuku ya vyama vya siasa ifutwe na badala yake fedha hiyo ikasomeshe watoto yatima
Waambie wakupe uwapelekee yatima.Huna haja ya kumangamanga kisa ulilipa kodi uliponunua pipi dukani.Iende kwa yatima itanipa baraka kuliko kupelekwa kwa wanywa konyagi
Pia vipi lipo la chawa,lifutwe liendelee?Vipi goli la mama?
Kwani lipo la chawa linatozwa kodi?Waambie wakupe uwapelekee yatima.Huna haja ya kumangamanga kisa ulilipa kodi uliponunua pipi dukani.
Ni ombi langu kubwa kuona unajiita pumbafulao maana ujinga wako umepitilizaNi ombi langu kubwa kuona ruzuku ya vyama vya siasa ifutwe na badala yake fedha hiyo ikasomeshe watoto yatima
Akiafiki wazo lako utuambieNi ombi langu kubwa kuona unajiita pumbafulao maana ujinga wako umepitiliza
😀😀😀 hiki mkawaambie wale mnaowaita vibarakaNi ombi langu kubwa kuona ruzuku ya vyama vya siasa ifutwe na badala yake fedha hiyo ikasomeshe watoto yatima
Pinga pia kodi yako kutumika kuteka watuuNi ombi langu kubwa kuona ruzuku ya vyama vya siasa ifutwe na badala yake fedha hiyo ikasomeshe watoto yatima
Leta ushaidii hapa mkuuuHaijawahi kitumika bila shaka