Napinga kodi yangu kitumika kulipia vyama vyenye kazi ya kuleta taharuki na vurugu kwenye jamii.

Ni ombi langu kubwa kuona ruzuku ya vyama vya siasa ifutwe na badala yake fedha hiyo ikasomeshe watoto yatima
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ hiki mkawaambie wale mnaowaita vibaraka
 
Kodi pia kupelekwa kwenye ununuzi wa V8 kiasi cha 500b ni upumbavu mkubwa,bila kusahau kwenye mpira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…