Napinga kutumbuliwa kwa Mrisho Gambo

Napinga kutumbuliwa kwa Mrisho Gambo

Mleta mada atakuwa na maslahi mapaja na bwana gambo pengine ni mtu na shemeji yake
Wewe ukidharauliwa na walio chini yako hakuna njia ya kuwadhibu wa chini yako? iweje waliovunja Sheria ya kukosa nidhamu kwa boss na boss wote wanaondolewa? Huoni kuwa wa chini wataenda kuwadharau boss zao wakijua ikija tumbua inatumbua wote, CCM mnajenga misingi mibaya ya kutokuwa na nidhamu kwa boss wa juu hii inavuruga misingi ya utawala bora, hivi ikitokea kamanda mroto kumdharau IGP mtamtoa IGP au mtamtoa RPC?
 
Cha kupoteza hakipo lakini kuchangia mawazo juu ya utawala bora, utawala wa kuheshimu boss wako ni muhimu zaidi.

Wahenga walipata kusema hivi: “Heshima ni kwa mdogo na mkubwa”

Mdogo anapaswa kumheshimu mkubwa na mkubwa anapaswa kumheshimu mdogo.

Wote wanapaswa kuheshimiana!

Kwanza ukubwa ni nini si ni mgawanyo wa majukumu tu ?!

Kinyume na hapo ndiyo hali ya hao wanaojiona wakubwa kuanza kuowaonea wadogo!

Unless niwe sijakuelewa vyema uko na maana gani.
 
Labda tujiulize, tatizo ni Gambo na hao wengine au ni mgawanyo wa kazi na utitiri wa vyeo vinavyoingiliana? Nahisi serikali yetu bado ni kubwa mno.
Tatizo la mfumo wa uteuzi ndipo kwenye Tatizo kubwa zaidi DC mkurugenzi wote ni wateuliwa wa mtukufu matokeo yake hujiona wapo sawa na RC
 
Wahenga walipata kusema hivi: “Heshima ni kwa mdogo na mkubwa”

Mdogo anapaswa kumheshimu mkubwa na mkubwa anapaswa kumheshimu mdogo.

Wote wanapaswa kuheshimiana!

Kwanza ukubwa ni nini si ni mgawanyo wa majukumu tu ?!

Kinyume na hapo ndiyo hali ya hao wanaojiona wakubwa kuanza kuowaonea wadogo!

Unless niwe sijakuelewa vyema uko na maana gani.
Sasa Mbona Naibu Rais Daud Bashite alikatazwa kuongelea Ugonjwa wa corona lakini aliendelea kuzungumzia bila kujali Amri ya waziri mkuu au inategemeana na mkuu wa mkoa yupo vipi na mtukufu?
 
Kwa hapo ni sahihi kabisa unachosema!
 
We kenge acha mibange yako!
Aliyewapa ukuu ndie kachukua ukuu wao!
Wewe ni nani hadi unajiinua dhidi ya mkulu?
firigisi mkubwa!
 
Mheshiwa mkuu wa Nchi, umemtumbua Mrisho Gambo kimakosa sana.
Na hapa ninaona kama ameonewa sana.

Gambo alikuwa mkuu wa mkoa. Mkuu wa mkoa ndio top say ya mkoa wa Arusha, iweje Mkurugenzi na DC wasimheshimu?

Tofauti zao kubwa ni za kimadaraka. CED na DC ndio walistahili kumsikiliza Mkuu wao wa mkoa na kuheshimu yale wanayokubaliana.

Iweje mkuu wa Mkoa asimamie nafasi yake then hawa wa chini yake wasimheshimu?? Wamdharau??
Tunajua Mrisho ni mchapa kazi mzuri.

Haya maamuzi sio sahihi.

Gambo alikuwa anasimamia uongozi wake tu na kuheshimiwa.
Aliyetoa ametwaa jina lake linajulikana
 
Aliyetoa ndie ametwaa!!

Anae lala na mama yako ndie baba yako

Hizi ni kanuni za kawaida kabisa wala hazihitaji mjadala
Kah hii theory ni ya kidikteta sana, no time for opinions
 
Mheshiwa mkuu wa Nchi, umemtumbua Mrisho Gambo kimakosa sana.
Na hapa ninaona kama ameonewa sana.

Gambo alikuwa mkuu wa mkoa. Mkuu wa mkoa ndio top say ya mkoa wa Arusha, iweje Mkurugenzi na DC wasimheshimu?

Tofauti zao kubwa ni za kimadaraka. CED na DC ndio walistahili kumsikiliza Mkuu wao wa mkoa na kuheshimu yale wanayokubaliana.

Iweje mkuu wa Mkoa asimamie nafasi yake then hawa wa chini yake wasimheshimu?? Wamdharau??
Tunajua Mrisho ni mchapa kazi mzuri.

Haya maamuzi sio sahihi.

Gambo alikuwa anasimamia uongozi wake tu na kuheshimiwa.

Ukiua kwa upanga.....halafu cheo ni dhamana. Shida kubwa ni kufanya kazi bila kutambua hilo. Najiuliza yeye alikuwa anawaheshimu hao walio chini yake kama inavyotakiwa?
 
Moja ya sifa ya kiongozi mzur ni kuwa na uwezo wa kusolve disputes.. so km yy alishindwa kusolve ugomvi wake na viongozi wenzake hastahili kupewa hizo sifa unazompa/ jipa...let him go hata sisi tunataka kazi bana, acha na wengine wapate shavu!
Sawa lakini RC wengine hukumbwa na changamoto kama za Gambo wanachofanya huamua kuwa wapole tu ili kulinda vyeo vyao lakini mioyoni mwao wanaumia kupelekeshwa na wateuliwa wa mtukufu, Nidhamu ya utawala bora ipo chini sana ni mtu mmoja pekee ambaye mkuu wa wilaya wala mkurugenzi hawezi kumchezea Akili huyo si mwingine ni Daud Bashite tu, RC wengine wanaishi kwa shida tabu mateso
 
Mheshiwa mkuu wa Nchi, umemtumbua Mrisho Gambo kimakosa sana.
Na hapa ninaona kama ameonewa sana.

Gambo alikuwa mkuu wa mkoa. Mkuu wa mkoa ndio top say ya mkoa wa Arusha, iweje Mkurugenzi na DC wasimheshimu?

Tofauti zao kubwa ni za kimadaraka. CED na DC ndio walistahili kumsikiliza Mkuu wao wa mkoa na kuheshimu yale wanayokubaliana.

Iweje mkuu wa Mkoa asimamie nafasi yake then hawa wa chini yake wasimheshimu?? Wamdharau??
Tunajua Mrisho ni mchapa kazi mzuri.

Haya maamuzi sio sahihi.

Gambo alikuwa anasimamia uongozi wake tu na kuheshimiwa.
Nadhani mtoa mada ni Gambo mwenyewe anajitetea. Mteule wa Rais hatakiwi kutenda kama hayo tunayoyasoma na hayajakanushwa na Gambo mwenyewe. Kama Gambo alikuwa ndiye Boss wa mkoa aliyewajibika ipasavyo basi isingefika Mh Rais akamtumbua. Hadi Mh Rais akafika hatua hiyo lazima wasaidizi wake waliridhika wakaridhia mapungufu yake yapumzike kwa amani.
Mimi nimeona kama vile Mh Rais alikuwa amechelewa sana kuchukua hatua hii.
 
Wewe unapoteza nini akitumbuliwa?
Inawezekana anakikampuni uchwara alikuwa anapewa tenda za juu kwa juu ndiyo maana mapovu yanamtoka si bure,angekuwa hana shida angeachwa......kuna watu wanaochunguza kimya kimya na majibu ndiyo hayo.

Vijana mkipewa kazi mnajiona miungu watu........shenzi kabisa
 
Mheshiwa mkuu wa Nchi, umemtumbua Mrisho Gambo kimakosa sana.
Na hapa ninaona kama ameonewa sana.

Gambo alikuwa mkuu wa mkoa. Mkuu wa mkoa ndio top say ya mkoa wa Arusha, iweje Mkurugenzi na DC wasimheshimu?

Tofauti zao kubwa ni za kimadaraka. CED na DC ndio walistahili kumsikiliza Mkuu wao wa mkoa na kuheshimu yale wanayokubaliana.

Iweje mkuu wa Mkoa asimamie nafasi yake then hawa wa chini yake wasimheshimu?? Wamdharau??
Tunajua Mrisho ni mchapa kazi mzuri.

Haya maamuzi sio sahihi.

Gambo alikuwa anasimamia uongozi wake tu na kuheshimiwa.
Nenda direct kamwambie mtia nia kupitia CCM
 
Mchapa Kazi? Akaichape kwa mkewe
 
Back
Top Bottom