Napinga Masheikh sita wa Kiislamu kupewa adhabu ya kunyongwa hadi kufa

Nimepita pale mahakamani jana nikamuona yule mama Analia,nikauliza,"Huyu analia nini?". Najua jambo kama lile siyo ajabu, lakini bado nikauliza,"Huyu analia nini?" Nikaambiwa,unajua, hii ni mahakama na yule mama ukimuona analia, basi, labda itakuwa mtoto wake amehukumiwa kifungo.

Wakamwambia yule mama unaweza kwenda ndani ukawaone kabla hawajaondolewa, lakini ukifika kule usilie.
Halafu mtu mmoja akasema, hapana, hawezi kwenda, yule askari hujamuona anafukuza watu?

Hii hukumu, unasema watu wachache wameuawa,na wachache tena,wamejeruhiwa. Haya mambo ya Kanisa kushambuliwa au Msikiti kuchomwa moto,haya mambo viongozi wa dini wanaweza kukutana, wakajadili.
Dini yetu ni moja, Abrahamic Faith.

Kuna sababu gani ya kuwafunga Masheikh ambao wameshakaa miaka kumi jela?

Kuhusu hukumu ya masheikh soma > Arusha: Masheikh 6 wahukumiwa kunyongwa hadi kifo
Ingekua VYEMA.ukaenda kupinga huko mahakamani ,,ni ushauri tu
 
Mashehe dini imewatoa akili wakaanza ugaidi,adhabu inawastahili kwa matendo ovu waliyofanya,uiicheka na magaidi utavuna maovu mengi.

Tuwaone hao waliouawa kanisani, kama sio drama ni nini!

Tuonyeshe hizo maiti zimelipuliwa kama wewe ni kidume
 
Mashekh walikuwa wanampigania Allah ambaye hataki makanisa. Ahadi kuu ya Allah anayepiganiwa ni bikira za wanawake 72 kwa kila mlipuzi wa kanisa ambaye jina lingine anaitwa gaidi.
Sasa bwana Poppy, wewe unateseka na nini mtu ananyongwa awahishwe kufaidi K bikira? tena nyingi (72)!
MASHEKH WANASTAHILI KUONEWA WIVU!
 
Nimepita pale mahakamani jana nikamuona yule mama Analia,nikauliza,"Huyu analia nini?". Najua jambo kama lile siyo ajabu, lakini bado nikauliza,"Huyu analia nini?" Nikaambiwa,unajua, hii ni mahakama na yule mama ukimuona analia, basi, labda itakuwa mtoto wake amehukumiwa kifungo.

Wakamwambia yule mama unaweza kwenda ndani ukawaone kabla hawajaondolewa, lakini ukifika kule usilie.
Halafu mtu mmoja akasema, hapana, hawezi kwenda, yule askari hujamuona anafukuza watu?

Hii hukumu, unasema watu wachache wameuawa,na wachache tena,wamejeruhiwa. Haya mambo ya Kanisa kushambuliwa au Msikiti kuchomwa moto,haya mambo viongozi wa dini wanaweza kukutana, wakajadili.
Dini yetu ni moja, Abrahamic Faith.

Kuna sababu gani ya kuwafunga Masheikh ambao wameshakaa miaka kumi jela?

Kuhusu hukumu ya masheikh soma > Arusha: Masheikh 6 wahukumiwa kunyongwa hadi kifo
Waongee nini mbona una rahisisha mambo! Mtu akisha kua muuaji hakuna dini hapo ni ugaidi
 
Declaration writing under the influence of Hennessy otherwise not interested in Tanzania nonsense in my sobering mind.

Haya ndio mambo wengine tunaona bora kuangaika na maisha ya kijijini kuliko kufuatilia ujinga wa nchi hii.

Kwanza kabisa hao masheikh wanastahili adhabu kali morally, kutokana na walichoshiriki kutenda directly or indirectly.

But then kuhukumu kunyonga watu sita bila ya maiti hata moja ni kielelezo cha ujinga uliopitiliza na namna mahakama zetu zilivyo jaza unqualified judges.

Like seriously ni wapi kwenye penal code ya Tanzania mtu anaweza hukumiwa kifo bila ya maiti, ni vipi watu sita ambao hawajashiriki kuweka bomu unawahukumu kifo (charges zao zinaweza kuwa ‘abetting’ but that’s not enough to charge for murder.

Yaani ni nchi ya hovyo mno.

Kigezo cha kuwa judge ni mwanasheria makini aijalishi umetoka private practice au ulikuwa government prosecutor; muhimu ni umeshinda kesi ngapi katika uwakilishi. Hiki ndio kigezo cha kuzingatiwa kuanza kufikiriwa kuwa judge. Hapo ndio watu kama kina Kibatala wanapoingia, Lissu na wengine kutoka serikalini wanaoshinda kesi nyingi kihalali kuanza kufikiriwa kuwa majaji.

Sio kuokota jitu ambalo halijui sheria vizuri mradi limeteuliwa na raisi linakuwa judge, wakati hiyo sector ni very meritocracy kwenye nafasi za kuteuliwa judge ni lazima kwanza uonyeshe umahiri wako kwenye sheria kwa kuwagalalaza wanasheria wenzako mahakamani kwenye kesi; ndio uanze kufikiriwa kuwa judge.

Yaani hakuna maiti, unless act of terrorism ni automatic death sentence even with that the evidence has to show you directly participated in the act for you to get capital punishment; otherwise it’s a jail sentence.

Yaani hii nchi ni ya hovyo mno; full of incompetent people.
Umeandika hisia zako ambazo siyo sheria ilivyo. Mbaya zaidi, unakuja na lugha za kebehi kwa watu huku ukiwa hujui unachoongea.
Kwa sababu umezungumzia baadhi ya sheria nikujibu hivi, mtu anayemsaidia mtu mwingine kutenda kosa (abetting) adhabu yake ni sawa sawa na aliyetenda hilo kosa, soma kifungu cha 22 Penal Code. Vile vile, hakuna sheria inayosema maiti ilitwe mahakamani ila kinachokuja mahakamani ni taarifa ya kifo. Pitia kifungu cha 4 cha Sheria ya Kuzuia ugaidi ujue ni vitendo gani vinaunda kosa la ugaidi.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Mashekh walikuwa wanampigania Allah ambaye hataki makanisa. Ahadi kuu ya Allah anayepiganiwa ni bikira za wanawake 72 kwa kila mlipuzi wa kanisa ambaye jina lingine anaitwa gaidi.
Sasa bwana Poppy, wewe unateseka na nini mtu ananyongwa awahishwe kufaidi K bikira? tena nyingi (72)!
MASHEKH WANASTAHILI KUONEWA WIVU!
Naunga mkono hoja
 
Wakinyongwa wanakufa wanaenda peponi wanakutana na mabikra 72 na mito ya pombe. Mnawaonea huruma tena?
Tena pombe tamu sio mipombe michungu Kama ya huku duniani
 
Wayazungumze ili hali Kuna watu wamepoteza uhai kwa sababu ya hilo tukio?? Ukishapoteza uhai wa mwenzio hilo jambo linakuwa chini ya jamhuli sio mtu yeyote tena, unamuonea huruma mama anayemlilia mwanae ambaye amehusika kupoteza uhai wa wengine, je humuonei huruma mama ambaye mtoto wake alimzika kwa sababu ya hao wapuuzi?
 
Magaidi siyo watu wa kuchekewa. Hao magaidi, kunyongwa hadi kufa ni adhabu halali kabisa kwa uovu wao.

Jitu linaandaa na kisha linatekeleza uovu wake kwa kurusha bomu kwenye kundi la watu, hilo jitu kweli ni la kuonewa huruma?

Vyombo vya usalama viendelee na uchunguzi. Huenda bado kuna mabaki. Mleta mada anaweza kuwa miongoni. Mtu mwema kabisa huwezi kumwonea huruma gaidi linalotumia mwavuli wa dini ya Kiislam.
Wengine wanashawishiwa na vipesa Uchwala vya wafadhiri kama nchi ya Iran.
Wafadhiri wa Ugaidi.

Wengine ndio hivyo wanajiona wao ni bora sana kuliko wengine baada ya kuchanganyikiwa na mafundisho ya Dini yao.
 
Mashekh walikuwa wanampigania Allah ambaye hataki makanisa. Ahadi kuu ya Allah anayepiganiwa ni bikira za wanawake 72 kwa kila mlipuzi wa kanisa ambaye jina lingine anaitwa gaidi.
Sasa bwana Poppy, wewe unateseka na nini mtu ananyongwa awahishwe kufaidi K bikira? tena nyingi (72)!
MASHEKH WANASTAHILI KUONEWA WIVU!
Dah...!
Huu ni Uzwazwa wa kiwango cha barabara ya vumbi.
 
Declaration writing under the influence of Hennessy otherwise not interested in Tanzania nonsense in my sobering mind.

Haya ndio mambo wengine tunaona bora kuangaika na maisha ya kijijini kuliko kufuatilia ujinga wa nchi hii.

Kwanza kabisa hao masheikh wanastahili adhabu kali morally, kutokana na walichoshiriki kutenda directly or indirectly.

But then kuhukumu kunyonga watu sita bila ya maiti hata moja ni kielelezo cha ujinga uliopitiliza na namna mahakama zetu zilivyo jaza unqualified judges.

Like seriously ni wapi kwenye penal code ya Tanzania mtu anaweza hukumiwa kifo bila ya maiti, ni vipi watu sita ambao hawajashiriki kuweka bomu unawahukumu kifo (charges zao zinaweza kuwa ‘abetting’ but that’s not enough to charge for murder.

Yaani ni nchi ya hovyo mno.

Kigezo cha kuwa judge ni mwanasheria makini aijalishi umetoka private practice au ulikuwa government prosecutor; muhimu ni umeshinda kesi ngapi katika uwakilishi. Hiki ndio kigezo cha kuzingatiwa kuanza kufikiriwa kuwa judge. Hapo ndio watu kama kina Kibatala wanapoingia, Lissu na wengine kutoka serikalini wanaoshinda kesi nyingi kihalali kuanza kufikiriwa kuwa majaji.

Sio kuokota jitu ambalo halijui sheria vizuri mradi limeteuliwa na raisi linakuwa judge, wakati hiyo sector ni very meritocracy kwenye nafasi za kuteuliwa judge ni lazima kwanza uonyeshe umahiri wako kwenye sheria kwa kuwagalalaza wanasheria wenzako mahakamani kwenye kesi; ndio uanze kufikiriwa kuwa judge.

Yaani hakuna maiti, unless act of terrorism ni automatic death sentence even with that the evidence has to show you directly participated in the act for you to get capital punishment; otherwise it’s a jail sentence.

Yaani hii nchi ni ya hovyo mno; full of incompetent people.
Ulitaka maiti ihifadhiwe miaka mingapi mkuu?
Mwanamke akibakwa wakishapima, hata hukumu ikitoka baada ya miaka 10 unataka akae na mbegu kwenye uchi hadi miaka 10 kama ushahidi?
 
Nimepita pale mahakamani jana nikamuona yule mama Analia,nikauliza,"Huyu analia nini?". Najua jambo kama lile siyo ajabu, lakini bado nikauliza,"Huyu analia nini?" Nikaambiwa,unajua, hii ni mahakama na yule mama ukimuona analia, basi, labda itakuwa mtoto wake amehukumiwa kifungo.

Wakamwambia yule mama unaweza kwenda ndani ukawaone kabla hawajaondolewa, lakini ukifika kule usilie.
Halafu mtu mmoja akasema, hapana, hawezi kwenda, yule askari hujamuona anafukuza watu?

Hii hukumu, unasema watu wachache wameuawa,na wachache tena,wamejeruhiwa. Haya mambo ya Kanisa kushambuliwa au Msikiti kuchomwa moto,haya mambo viongozi wa dini wanaweza kukutana, wakajadili.
Dini yetu ni moja, Abrahamic Faith.

Kuna sababu gani ya kuwafunga Masheikh ambao wameshakaa miaka kumi jela?

Kuhusu hukumu ya masheikh soma > Arusha: Masheikh 6 wahukumiwa kunyongwa hadi kifo
Sio kufungwa tu kama wamekutwa na hatia kwa ushahidi usio na shaka basi wanyongwe mpaka kufa
 
Kashfa mbaya zinazochafua viongozi wa Dini.

Mapadre wanajihusisha mara kadhaa na uovu wa Ubakaji watoto wanaowafundisha Mambo ya Dini Yao.

Mashehe wanajihusisha mara kadhaa na vitendo vya Kigaidi.

Tunaomba uongozi wa Dini ya Kikatoriki kukaa chini na kuhakikisha tabia hii haijirudii tena katika wakati ujao la sivyo wananchi tutachukua hatua mkononi.

Tunauomba pia uongozi wa Dini ya Kiislamu kwa taasisi zake Kama Bakwata, Shura ya Maimamu, Shehe Mkuu, kukaa chini na kujitafakari ili kukomesha huu uovu unaojirudia kwa baadhi ya waalimu wa Dini husika. La sivyo wananchi tutachukua hatua mkononi.

Mnaifedhehesha sana jamii kwa matendo yenu maovu sana. Wananchi kwa sasa hatutaki tena kusikia haya matendo maovu tokea kwenu.
 
Back
Top Bottom