Napinga Masheikh sita wa Kiislamu kupewa adhabu ya kunyongwa hadi kufa

Ingekua VYEMA.ukaenda kupinga huko mahakamani ,,ni ushauri tu
 
Mashehe dini imewatoa akili wakaanza ugaidi,adhabu inawastahili kwa matendo ovu waliyofanya,uiicheka na magaidi utavuna maovu mengi.

Tuwaone hao waliouawa kanisani, kama sio drama ni nini!

Tuonyeshe hizo maiti zimelipuliwa kama wewe ni kidume
 
Mashekh walikuwa wanampigania Allah ambaye hataki makanisa. Ahadi kuu ya Allah anayepiganiwa ni bikira za wanawake 72 kwa kila mlipuzi wa kanisa ambaye jina lingine anaitwa gaidi.
Sasa bwana Poppy, wewe unateseka na nini mtu ananyongwa awahishwe kufaidi K bikira? tena nyingi (72)!
MASHEKH WANASTAHILI KUONEWA WIVU!
 
Waongee nini mbona una rahisisha mambo! Mtu akisha kua muuaji hakuna dini hapo ni ugaidi
 
Umeandika hisia zako ambazo siyo sheria ilivyo. Mbaya zaidi, unakuja na lugha za kebehi kwa watu huku ukiwa hujui unachoongea.
Kwa sababu umezungumzia baadhi ya sheria nikujibu hivi, mtu anayemsaidia mtu mwingine kutenda kosa (abetting) adhabu yake ni sawa sawa na aliyetenda hilo kosa, soma kifungu cha 22 Penal Code. Vile vile, hakuna sheria inayosema maiti ilitwe mahakamani ila kinachokuja mahakamani ni taarifa ya kifo. Pitia kifungu cha 4 cha Sheria ya Kuzuia ugaidi ujue ni vitendo gani vinaunda kosa la ugaidi.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Naunga mkono hoja
 
Wakinyongwa wanakufa wanaenda peponi wanakutana na mabikra 72 na mito ya pombe. Mnawaonea huruma tena?
Tena pombe tamu sio mipombe michungu Kama ya huku duniani
 
Wayazungumze ili hali Kuna watu wamepoteza uhai kwa sababu ya hilo tukio?? Ukishapoteza uhai wa mwenzio hilo jambo linakuwa chini ya jamhuli sio mtu yeyote tena, unamuonea huruma mama anayemlilia mwanae ambaye amehusika kupoteza uhai wa wengine, je humuonei huruma mama ambaye mtoto wake alimzika kwa sababu ya hao wapuuzi?
 
Wengine wanashawishiwa na vipesa Uchwala vya wafadhiri kama nchi ya Iran.
Wafadhiri wa Ugaidi.

Wengine ndio hivyo wanajiona wao ni bora sana kuliko wengine baada ya kuchanganyikiwa na mafundisho ya Dini yao.
 
Dah...!
Huu ni Uzwazwa wa kiwango cha barabara ya vumbi.
 
Ulitaka maiti ihifadhiwe miaka mingapi mkuu?
Mwanamke akibakwa wakishapima, hata hukumu ikitoka baada ya miaka 10 unataka akae na mbegu kwenye uchi hadi miaka 10 kama ushahidi?
 
Sio kufungwa tu kama wamekutwa na hatia kwa ushahidi usio na shaka basi wanyongwe mpaka kufa
 
Kashfa mbaya zinazochafua viongozi wa Dini.

Mapadre wanajihusisha mara kadhaa na uovu wa Ubakaji watoto wanaowafundisha Mambo ya Dini Yao.

Mashehe wanajihusisha mara kadhaa na vitendo vya Kigaidi.

Tunaomba uongozi wa Dini ya Kikatoriki kukaa chini na kuhakikisha tabia hii haijirudii tena katika wakati ujao la sivyo wananchi tutachukua hatua mkononi.

Tunauomba pia uongozi wa Dini ya Kiislamu kwa taasisi zake Kama Bakwata, Shura ya Maimamu, Shehe Mkuu, kukaa chini na kujitafakari ili kukomesha huu uovu unaojirudia kwa baadhi ya waalimu wa Dini husika. La sivyo wananchi tutachukua hatua mkononi.

Mnaifedhehesha sana jamii kwa matendo yenu maovu sana. Wananchi kwa sasa hatutaki tena kusikia haya matendo maovu tokea kwenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…