Napinga Masheikh sita wa Kiislamu kupewa adhabu ya kunyongwa hadi kufa

Nilikushangaa jibu lako la kwanza , bora umegundua watu walikufa na umesahihisha
 
Ulitaka maiti ihifadhiwe miaka mingapi mkuu?
Mwanamke akibakwa wakishapima, hata hukumu ikitoka baada ya miaka 10 unataka akae na mbegu kwenye uchi hadi miaka 10 kama ushahidi?
Hata sijui unaongea kitu gani

Ili kumpa mtu kesi ya mauaji unatakiwa kuthibitisha without reasonable doubt uhusika wake through ‘mens rea’ (malice aforethought “nia”) and ‘actus reus’ (kuhusika moja kwa moja kutenda hilo tendo) na iliyosababisha kifo au vifo vya watu.

Kwenye sakata la hiyo kesi unatakiwa uthibitishe kila muhisika aliehukumiwa kunyongwa alirusha bomu na kuua mtu ndio kuwahukumu kifo.

Otherwise kama uhusika wao ni kwenye ‘mens rea’ nia yao ni kutaka kupeleka madhara tu, na hao ma-mbumbumbu hawajahusika kwenye kurusha mabomu hiyo ni ‘abetting in crime ’ tu; ili uwe na murder case unahitaji both ‘mens and actus reus’.

Wanafunzi wenyewe karibu 90% wana fail mitihani ya kuwa wanasheria, wala sishangai hiyo hukumu ya hovyo.

Politically the decision can be divisive (if the matter is not handled careful).

Personal don’t care if the court is right or wrong; kitendo cha kuchukua maisha ya mtu asie na hatia kwa sababu ya upuuzi uliopo kwenye kichwa cha mtu mwingine; to me justice is ‘tit for tat’ doesn’t mean it’s legally accepted.

That is to say based on the ‘mens rea’ alone I don’t feel pity on their evil intentions.

Lazima tujifunze kuheshimu imani za watu wengine.

Kuhukumu watu kunyongwa kwenye case kama hii ni utata, unless ‘penal code inasema adhabu ya ushiriki wa ugaidi ni kunyongwa either directly or indirectly’.

But the hao masheikh ni useless individual in my books, they deserve what they got.
 
Wangeua ndugu yako, ama kuwasababishieni ulemavu wa kudumu... Sidhani kama ungeandika huu utumbo.
 
Graduate wa MUM,hapa serikali au wafadhili walipoteza fedha za bure.Yaani mahakama iendeshwe kwa kufuata hisia zako.Sisi tumasema magaidi wauwawe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…