Napinga Mikel Arteta kupewa mikoba ya Wenger sababu hana uwezo

Nadhani mleta uzi utakua umempa mikoba yako sasa, maana sio kwa vipigo hivi tunavyopata asee mixer visasi.
 
You need to stop writing this mumbo jumbo article and stop pretending to be Football pundit when we know you are nothing but a cheap bi.tch.
 
Watu wanaonaga mbali, hii 2018 na hamis77.
 
na tumeufufua mkuu
 
Ni kweli hana uwezo wowote hii ligi yenyewe anagombania top 4 tu anaweza kumaliza nafas ya 4 au akaenda europa kabisa arse8 hawajawahi kuwa na akili
Kwa huu uandishi wako nimeshajua wewe ni timu gani...
 
Ni kweli hana uwezo wowote hii ligi yenyewe anagombania top 4 tu anaweza kumaliza nafas ya 4 au akaenda europa kabisa arse8 hawajawahi kuwa na akili
🤣🤣🤣🤣🤣Hapo unaugulia maumivu ya kipigo, sisi hatuna shida na kombe mbona hizo nongwa zenu kombe chukueni nyie sisi tunakomaa kushinda mechi zetu, Kila mechi kwetu ni fainali halafu FA watajua wenyewe watampa nani, wakiamua kutupa sisi tunachukua ila hatuna shida naloo🤣🤣🤣
 
Usinikoromee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…