Napinga Mikel Arteta kupewa mikoba ya Wenger sababu hana uwezo

Manchester City - Arsenal
27/01/2023

Chonde chonde mwanakwetu mfuate Arsenal km unaipenda Pesa yako, ukijitia ujuaji utalia machozi ya Paka aliepigwa 3-2 hakuamini anachokiona

Km kawaida km sio 0-1 basi 0-2 hizo zinaatosha sana, City anakufa akiwa kwao

Mikel Arteta imeiwasha Arsenal sasa ipo Moto 🔥
 
Kumpa kijana huyu mikoba ya kufundisha Arsenal itakuwa kamari ya kijinga sana kuicheza na nachukua nafasi hii kupinga kabisa njama hizo .

Arteta aliyezaliwa 26/3/1982 hana uzoefu wa maana wala ujasiri wowote wa kuipa Arsenal mataji , katika kipindi alichoitumikia Arsenal pamoja na kupewa Arm band hakuwahi kutoa mchango wowote wa kusaidia timu yake , hata kwa kuhamasisha kwa maneno tu kama wafanyavyo Ma Captain wa vilabu vingine , aliitwa Man City kuwa kocha msaidizi July 3 2016 , mpaka sasa ni chini ya miaka miwili , huyu si wa kupewa timu tajiri kama Arsenal

Arsenal inahitaji kocha mzoefu mwenye mafanikio yasiyotiliwa mashaka , Au la kama viongozi wanapenda kumpa kazi hiyo yule aliyechezea klabu yao basi nafasi hiyo wapewe wachezaji wenye uchungu mkubwa waliotoa jasho na damu kuipa timu mataji , wachezaji hao wapo na majina yao yanafahamika , lakini si Arteta .

Nakala imfikie Arsene Wenger .
Haya sasa

Subira yavuta kheri😀
 
Yaani kwa ubongo wako wewe ndio watu mnaotaka kuku wa kisasa anatotolewa leo wiki 2 chakula utakuta hata danadana hujui
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Kumpa kijana huyu mikoba ya kufundisha Arsenal itakuwa kamari ya kijinga sana kuicheza na nachukua nafasi hii kupinga kabisa njama hizo .

Arteta aliyezaliwa 26/3/1982 hana uzoefu wa maana wala ujasiri wowote wa kuipa Arsenal mataji , katika kipindi alichoitumikia Arsenal pamoja na kupewa Arm band hakuwahi kutoa mchango wowote wa kusaidia timu yake , hata kwa kuhamasisha kwa maneno tu kama wafanyavyo Ma Captain wa vilabu vingine , aliitwa Man City kuwa kocha msaidizi July 3 2016 , mpaka sasa ni chini ya miaka miwili , huyu si wa kupewa timu tajiri kama Arsenal

Arsenal inahitaji kocha mzoefu mwenye mafanikio yasiyotiliwa mashaka , Au la kama viongozi wanapenda kumpa kazi hiyo yule aliyechezea klabu yao basi nafasi hiyo wapewe wachezaji wenye uchungu mkubwa waliotoa jasho na damu kuipa timu mataji , wachezaji hao wapo na majina yao yanafahamika , lakini si Arteta .

Nakala imfikie Arsene Wenger .
Bado unapinga au.
 
Kukurupuka haswa ukiwa huna utaalamu wa jambo unaloongelea ni ujinga ambao in the long run utakuumbua tu.
Mpira ni sayansi sio sindimba.Ila Tanzania kila mtu ni mchambuzi hata asiyejua chochote.Kujenga timu ya ushindani is a process sio kama kupika chakula kwamba utaweka chumvi na kutia kidole kama imekolea.
 
Mnachopaswa kukumbuka nyie wote mnaonitukana ni kwamba baada ya Arsenal kuingia JF na kusoma uzi huu , Arteta hakupewa kazi hii , Akapewa Unai Emery .

Sasa mnaponitukana angalieni msingi wa hoja yangu , Arteta alikuja baadaye baada ya Unai kuondoka , na mpaka hapo mimi ndiye niliyeshinda kwa kushawishi timu yangu ya Arsenal kumpiga Stop kwanza Arteta ili kupisha akomae kidogo
 
Wewe zumbukuku huna taaluma yeyote ya ukocha wakusikilize Arsenal?.Baada ya kuajiriwa na Arsenal Dec 20 2019.Arteta alifanikiwa kuchukuwa FA May 2020.
Kusema Arsenal walikusikiliza ni kutusi uwezo wa kufikiri wa Board ya Arsenal.Na katika kuthibitisha umbumbumbu wako ukamalizia kwa kuandika aione Arsene Wenger.Kwenye post yako ya Dec 2 2020 uliandika eti Arsenal imfukuze Arteta ama sivyo watashuka daraja!!!
Usichokijua ni kwamba kujenga timu ni process sio sawa na kupika maharage kwamba utaweka chumvi na kuonja kama imekolea.
Jikite kwenye uchawa wa siasa mpira sio fani yako.Unaweza kushabikia lakini huna uwezo wa kufanya uchambuzi wa kitaalamu.
 
Mnachopaswa kukumbuka nyie wote mnaonitukana ni kwamba baada ya Arsenal kuingia JF na kusoma uzi huu , Arteta hakupewa kazi hii , Akapewa Unai Emery .

Sasa mnaponitukana angalieni msingi wa hoja yangu , Arteta alikuja baadaye baada ya Unai kuondoka , na mpaka hapo mimi ndiye niliyeshinda kwa kushawishi timu yangu ya Arsenal kumpiga Stop kwanza Arteta ili kupisha akomae kidogo
Au tufufue na ule unaodai afukuzwe kazi ?
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom