ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Tupo busy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kukosa ushindi katika mechi nne mfululizo!!! Hata ingekuwa Derby County wangekuwa tayari wamefukuza kocha.@Aaron ArsenalUlitaka upewe wewe ? Mpira sio siasa za CHADEMA na CCM
Inasemekana hapo ndio mwisho waoArsenal kafa vibaya leo
Walishaufufua kitambo tu na kunitukana kila aina ya matusi .uzi umefufuka
Wameishiwa pumzi sasa Man City kapanda kileleniInasemekana hapo ndio mwisho wao
ilitarajiwa tangu awaliWameishiwa pumzi sasa Man City kapanda kileleni
Mwisho wa siku itafahamikaHuu uzi unaendana na upepo, hauna misingi ya kusimamia.
Huu uzi unachekesha sana kuna wakati una comments za kumshabulia Erythrocyte kuna wakati kuna comments za kumsapoti..Huu uzi unaendana na upepo, hauna misingi ya kusimamia.
Ukweli unabaki kuwa Arteta hana uwezoHuu uzi unachekesha sana kuna wakati una comments za kumshabulia Erythrocyte kuna wakati kuna comments za kumsapoti..
Mwana yupo really sana
Mchukue martinel na nketiah wapeleke man city halafu haaland na de bruyne wapeleke arsenal Kisha mechi ipigwe Tena tuone nani Hana uwezo,maana kwa wachezaji hao na kamzid guardiola possession..wakambi wamewahi izidi man city possession?Ukweli unabaki kuwa Arteta hana uwezo
Posession ya kupigwa 3 !Mchukue martinel na nketiah wapeleke man city halafu haaland na de bruyne wapeleke arsenal Kisha mechi ipigwe Tena tuone nani Hana uwezo,maana kwa wachezaji hao na kamzid guardiola possession..wakambi wamewahi izidi man city possession?
Umekimbilia kwenye possession tu mengine hukuona!!?..ndiyo,nani kawahi mzidi man city possession!?..Kama hakuna kwa nini!?..kivipi useme arteta Hana uwezo!?Posession ya kupigwa 3 !
Brother mimi sio shabiki wa arsenal ila tangu wenger atoke aseno ni kocha gani mwingine unadhani angeliiweka aseno nafasi ya pili mpaka sasa hukubakiwa bado na mchezo mmoja mkononi dhidi ya aliye mtangulia?Ukweli unabaki kuwa Arteta hana uwezo
Swali lako ni rahisi sanaBrother mimi sio shabiki wa arsenal ila tangu wenger atoke aseno ni kocha gani mwingine unadhani angeliiweka aseno nafasi ya pili mpaka sasa hukubakiwa bado na mchezo mmoja mkononi dhidi ya aliye mtangulia?
Achana na mambo ya possessiom wewe inamankusweke , mpira wa kizamani...Kabla ya mechi Halaand aliwaambia sina haja ya kugusa mpira mara nyingi lakini nikigusa ni goli, na ndicho kilichotokea.Mchukue martinel na nketiah wapeleke man city halafu haaland na de bruyne wapeleke arsenal Kisha mechi ipigwe Tena tuone nani Hana uwezo,maana kwa wachezaji hao na kamzid guardiola possession..wakambi wamewahi izidi man city possession?