Napinga Mikel Arteta kupewa mikoba ya Wenger sababu hana uwezo

Napinga Mikel Arteta kupewa mikoba ya Wenger sababu hana uwezo

Acha kupiga ramli wewe,

Ipo siku huu uzi utafufuliwa kukuumbua, kama baadhi ya nyuz zako type ya hii zinavyokuumbuaga

Hao makocha wazoefu wamepewa man u wameisaidia nini? Unajua hata arsene alipokuja arsenal, waandishi walikebehi, ARSENE NI NANI?

Zidane aliishusha had daraja madrid B, lkn kafanya vzr Madrid A

Fergi alianza vibaya, had akataka afukuzwe,


Usitoe garantii kuwa atafail, wanaweza kuja hao Wazoefu wakapoteana sana tu, tumeona kwa van gall kwa man u,

Kavurunda,

Wabongo tunawajua kila mtu kocha kila mtu mchambuz wa mpira, lkn mmeshindwa kuisaidia taifa starz kwenda hata CHANView attachment 779439
Aya uzi ushafufuliwa nini maoni yako 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom