Napinga Mikel Arteta kupewa mikoba ya Wenger sababu hana uwezo

Napinga Mikel Arteta kupewa mikoba ya Wenger sababu hana uwezo

Arsenal bingwa mwaka huu dalili zote zinaonekana
Arsenal akipoteza point na wanaomfuata wanapoteza. Hadi mwisho wa msimu itaendelea kubaki hivyo.
 
Huu uzi aisee ni situational thread.

Gunners akishinda mleta uzi anaonekana mpuuzi lkn kwa hali hii ni kwikwi kwiiiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom